Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Ismail Aden Rage je ... Mjela jela kakosa
 
Hlafu kajichanganya kwenye hizi mbili:

Ujenzi-ishughulikie barabara na viwanja vya ndege(badala ya kushughulikia barabara,reli,viwanja vya ndege,bandari na majengo/miundombinu mingine ya serikali)
Uchukuzi-ishughulikie bandari,reli anga na usafiri wa majini(badala ya kushughulikia usafiri wote:treni(sio reli),ndege(sio viwanja),meli na sekta zingine za kichukuzi)

Sijui hajifunzi kwa bibi(UK) wao wana Ministry of Transport(MoT) ambayo ndiyo uchukuzi na Ministry of Works(MoW) ambayo ndiyo ujenzi

Nampa shavu hapa:Department for Transport (DfT) UK

You mean waka copy?. Nadhani mgawanyo wa wizara unategemea zaidi nature ya jamii husika na ni vigumu kufanya copy n paste.
 
Jumla mawaziri 50, kaongeza watatu ukifananisha na lililopita. Lakini yote kheri maana serikali ndogo si sera ya CCM.
 
You mean waka copy?. Nadhani mgawanyo wa wizara unategemea zaidi nature ya jamii husika na ni vigumu kufanya copy n paste.

Mmh hebu angalia hii...je haifananii mazingira yetu?


Attorney General's Office (AGO) JAJI WEREMA
Cabinet Office (CO) HAIKURUDI
Department for Business, Innovation and Skills (BIS) MAMA NAGU
Department for Communities and Local Government (CLG) MKUCHIKA
Department for Culture, Media and Sport (DCMS) NCHIMBI
Department for Education (DfE) KAWAMBWA
Department of Energy and Climate Change (DECC) NGELEJA
Department for Environment, Food and Rural Affairs (DEFRA) PROF MAGHEMBE
Department of Health (DH) DR MPANA
Department for International Development (DFID) SITTA
Department for Transport (DfT) MAGUFULI
Department for Work and Pensions (DWP) MAMA KABAKA
Foreign and Commonwealth Office (FCO) MEMBE
Government Equalities Office (GEO)
Her Majesty's Treasury (HMT) HATUHITAJI
Home Office (HO) NAHODHA
Ministry of Defence (MoD) DR MWINYI
Ministry of Justice (MoJ) C.KOMBANI
 
pamoja na kuwa simpendi mkwere kwa kila jambo analofanya ila kwa hili la wizara ya ujenzi natarajia mabadiliko makubwa sana kwenye mstakabari wa nchi yetu, na kwa mama tibaijuka pia natarajia kuonana maendeleo kwa speed nzuri sana, sijui nani kamshauri kwani nahisi kama siyo yeye aliyefanya hivi.

May be, but what if government will provide little fund in this very ministry, is it not suicidal mission for the fate of these two ministers.
 
May be, but what if government will provide little fund in this very ministry, is it not suicidal mission for the fate of these two ministers.

Waberoya u are right mkuu inategemea hapo wizara bajeti yake itatengewa kiasi gani otherwise itakuwa ni wizara zina mawaziri wachapakazi lakini serikali haiziwezeshi wizara husika
 
Ila hili la Dr Shukuru Kawambwa kupewa Wizara ya Elimu sijui labda kama ni mtizamo wangu tofauti
 
Duh!!!! Profesa Homeli Mwakyusa naye nje nilikuwa sijagundua
 
Tusubiri utendaji wao wa kazi. Wanaapishwa lini?
 
There are currently 1321 users browsing this thread. (393 members and 928 guests)

 
Back
Top Bottom