faithful
JF-Expert Member
- Aug 10, 2010
- 378
- 34
Hamna kipya, ujinga ni ule ule na ndo maana hatuendelei Tz, yani hili ndo baraza la kuchukua siku 3 kuunda?
Zaidi ya yote sababu za kumuweka Magufuli na Mwakyembe wizara moja ndo nini? Ni watendaji walipaswa kupewa wizara tofauti, kwahiyo amewaweka pamoja ili wafunikane au ndo nini hasa?? THIS IS POLITICAL CONSPIRACY
Hapo kipya ni Prof. Tibaijuka tuu na Vuai ndo tutarajie kuuona utendaji wao wa tofauti, but still hili baraza ni upuuzi mtupu. Wamebadilishana wizara tuu ila ufisadi ni ule ule wanaendelea kulindana, ujinga mtupu!!
Yani hata Shukuru Kawambwa bado yupo?tena wizara nyeti km ile ya ulinzi japo hakuperform but still karudishwa? Jamani huu ushkaji unaishi lini???????? Dk. Mwinyi kafanya nini kwenye ulinzi kipindi kilichopita mpk arudi jamani, au kwa vile mtoto wa ba'mkubwa?
JK everyday you give us reasons to be disappointed by you, day by day..................
We wanted changes yet he gave us the curds that we have already chewed and got fed up with, very very very disappointing!!
binadamu hana jema hata akipewa nini haridhiki!wewe ulitaka apewe nani ili ufurahi?mbona baraza liko bomba tu!au ulitaka mbowe awe waziri wa wanawake na makahaba?kawambwa yupo bomba tu na ana akili sana au ulitaka awe anapayuka kama anna kilango?