Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 501
Hadi messengers...Hadi wanaofanya usafi?
Hadi messengers...Hadi wanaofanya usafi?
Embu tuwekee Makisio ya CRDB, TRA, BOT kwanza kisha tuendeleeKaribu asilimia 96 ya wafanyakazi wa serikali ni wakristo, je tusemeje hapo ?
tambua wanunuzi wengi ni wakristo wakistukia atalala doro ohooooKampuni yake Kila kitu chake umpangie, vyenu vya Umma (SU) mmevibinafsisha vyote, wafanyakazi tukabaki kama vifaranga vya kuku vilivyofiwa na mama yao na kudhulumiwa juu, majengo yamebaki magofu, watu wanajitolea kuficha aibu ya nchi mnaanza midomo, mbona Mengi kajaza wachaga hamsemi, akiwa upande wa pili midomo juu, mkuu pambana na hali yako
Mambo yakishakuwa tyt huwa mtu unatafuta excuse ili usionekane ni mzembe wa kufikiria watu wanaleta udini huku wakiwa na hoja zisizo na msingi haileti maana kabisa hakuna evidence yoyote ya kumshtumu mtu watu wanaendeshwa na hisia za imani zao. Ukishaanza kuleta uislam na ukristo ni dhahiri una matatizo ya akili na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo zaidi ya kidonge cha piritonSie watu tuna matatizo c kidogo na ni Malofa hasa!
Wakristo azam media Ni wachache mnoHudhani!!! Huna hakika!! Unajua CEO wa Azam TV ni nani?
Unawajua wataalamu wa vipindi ni kina nani?
Fuatilia waratibu wa Sinema Zetu utapata jibu.
Mnapopalilia udini kumbukeni udini wenu na ukabila.
Swali: ITV, SIBUKA, TBC NA STARTV kukoje tuhabarishe pia takwimu zako.
Vigezo ni muhimu
Karibu $96 ya wafanyakazi wa Bakhresa group ni Islamic.
Wameanza tangu Raisi wa awamu ya pili alipo ingia madarakani kwani hukuwepo? Au hujawahi kuwasikia, pia pale NSSF unafikiri ni akina nani walikuwa wanalalamika?
mkuu sasa kama yapo unashindwaje kusema? watakuja kupata madhara baadaye tz ni nchi yenye wakristo wengi sana kama hawajuiKwa hiyo hakuna wanaotumia bidhaa za mkristo mwenzao na wakasema wanatumia vya mkristo mwenzao??
Heshimu imani ya kila mtu haijalishi wewe upo imani gani muislam amuheshimu mkristo na mkristo halikadhalika msilete husia za kidini katika masuala ya kiubinadamu
Uaminifu ndio kitu muhimu, we umeingia na gia za uongo ,je ukikabidhiwa kitita, kigezo cha uislam ni uaminifu kuna wanaoogopa dhambi.Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.
Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza
Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.
Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza
Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Unaweza kuthibitisha hili???? wakristo wapo pale kibao achaeni hizo mtawaponza wenzenuHujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Nkuu issue siyo kusema kama wapo au la. Muhimu hapa ni kutoweka maslahi ya kidini mbele kwa sababu za kibiashara huoni kama inaweza kumpunguzia soko mfanyabiashara ikiwa utang'ang'ania kumnasibisha na udini? Haijalishi awe muislam au mkristo.mkuu sasa kama yapo unashindwaje kusema? watakuja kupata madhara baadaye tz ni nchi yenye wakristo wengi sana kama hawajui
Muongo sana huyu , kuna wafanyakazi akina john kibao, mitaani wauza ice cream kibao akina clement , na mimi kuna mzee wangu mzee joseph mwanae ni mwanasheria paleKama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Nkuu issue siyo kusema kama wapo au la. Muhimu hapa ni kutoweka maslahi ya kidini mbele kwa sababu za kibiashara huoni kama inaweza kumpunguzia soko mfanyabiashara ikiwa utang'ang'ania kumnasibisha na udini? Haijalishi awe muislam au mkristo.
Sema kungekuwa na asilimia wakristo 30 waislamu 70Jamani muacheni naye awabebe wa upande huo! Wameachwa nyuma sana kwenye ajira.
Kama ni udini hakuanza kwake baada ya uhuru wakatoliki wakachukua nchi bwelelee