Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Mhindi naye akijenga Mall wapangaji wote Wahindi wenziye tena wa dini yake. Mimi naona ni mambo ya kibinafsi tu na ni hiyari ya mtu kutumia mali yake atakavyo. Hakuna sheria imevunjwa hapo!
Ni kweli Ila Sijajua sheria zetu za nchi hili jambo wanalichukuliaje kama liko sawa basi tusilalamike kama si sawa basi kufanyike mabadiliko.
 
Ni kweli Ila Sijajua sheria zetu za nchi hili jambo wanalichukuliaje kama liko sawa basi tusilalamike kama si sawa basi kufanyike mabadiliko.

Ni mali yake binafsi kwa hivo ana hiyari kufanya atakalo. Ila kama kazi zimetangazwa na vigezo vya dini havipo na mtu akakosa kazi sababu sio muislam hapo pana tatizo. Hizi za kupeana msikitini hakuna sheria inayo mbana.
 
Hii tabia ya ulalamishi Wakristo mmeanza lini? Focus kwenye mambo makubwa. Achana na mambo madogo madogo. Kampuni yake ana uhuru wa kuajiri mtu yeyote ambaye yeye anamwona ana vigezo. Ili mtadia havunji sheria.

Hii tabia ya ulalamishi na nyie wakristo mmeanza lini? Mimi naamini kila mtu ana haki ya kuajiri watu anaotaka kwa vigezo vyake.... Vijana mjikite kwenye mambo ya msingi ya kujenga nchi. Hiyo ni Kampuni binafsi ana uhuru kuajiri watu anaowataka kwa kufuata vigezo vyake. Binafsi nachukia sana tabia ya ulalamishi.

alexelias
 
mbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
We utakuwa mtu wa masoko huko Azam! Nimekuona unavyopambana kuifagilia kule kwenye post yako ya Hotel (operated under islamic principles) ulivyokuwa ukisisitiza kuipenda hiyo hotel na kuupenda uislam. Nikajua tu huyu ni mmoja wao! Nikacheki jina unalotumia lilivyo refu na lenye uhalisia nikagundua kitu!
 
Mkuu ungekuwa na case study inayokuhusu wewe mwenyewe ingependeza zaidi kuliko kufanya generalization , kama ulifanya application kwenye moja ya kampuni zake na ukaambiwa we tumekuacha kwa ajili ya dini yako na mwenzio akachukuliwa kwa ajili ya dini uke ingependezza zaidi!
Inawezekana una point lakini sina hakika kama mtu anaweza akakuambia wazi kuwa kilichokukosesha hii nafasi ni udini, udini ni uovu na hivyo hufanyika sirini. Ila kwanini wanalalamikiwa kila siku hawa jamaa, pengine kuna jamb.
 
Mhindi naye akijenga Mall wapangaji wote Wahindi wenziye tena wa dini yake. Mimi naona ni mambo ya kibinafsi tu na ni hiyari ya mtu kutumia mali yake atakavyo. Hakuna sheria imevunjwa hapo!
Inawezekana hujawaza kwa mapana ndugu yangu, huwezi ukapalilia utengano halafu ukajitetea hujavunja sheria yoyote so its ok, kwa kifupi tu pia labour law halafu uitafakari comment yako..ila katika nadharia tu ya kawaida mtu akakutenga, nawewe ukamtenga na yule akajua anatengwa unafikiri mwisho wa siku nini kitatokea kama sikupotea kwa msamiati utaifa.
 
Jiangalie wewe kwa level yako. Msaidizi wa nyumbani kwako unamuajiri vipi? Mara nyingi ni ndugu au mtu wa kwenu au mnasali naye. Ndicho anachofanya Bakhressa kwa kuwa yeye anaamini watu wa imani yake ndio waaminifu kwake. Hawatomdhuru.
 
Fungua vyako utuoneshe kwa mifano. au nawewe ni mzilankende!!!
Wakati mwingine muwe mnakaa kimya kama mnaona kabisa mawazo yenu si ya kujenga, kwanini mkubali kuwa mbolea ya kukuza utengano? kwanini ukubali kuwa mfia dini, kwanini ukubali kuwa mfia chama na kwanini ukubali kutoambilika juu ya mtu fulani? kuna ubaya gani au ugumu gani ukachagua kuruhusu akili yako ikafanya kazi na kusimamia ukweli na haki, madikteta huwa wanaingizwa madarakani na watu kama nyie wafia dini, chama na kutoambilika juu ya mtu fulani..Ndugu yangu duniani umekuja peke yako na utaondoka peke yako, kama huwezi kuifanya dunia kuwa sehemu bora ya kuishi ni bora pia usiiharibu, usishiriki kufifisha tabasamu katika nyuso za watu kwa ajili ya kutetea ujinga
 
Inawezekana una point lakini sina hakika kama mtu anaweza akakuambia wazi kuwa kilichokukosesha hii nafasi ni udini, udini ni uovu na hivyo hufanyika sirini. Ila kwanini wanalalamikiwa kila siku hawa jamaa, pengine kuna jamb.
Unashangaa Azam kulalamikiwa wakati hata Rais wa nchi anaitwa mdini kwenye teuzi zake, kwa kuwa unafiki ni jadi ya binadamu hapa mtasema amechagua wenye vigezo ila kwa Bakhresa mtasema udini japo hatujawahi kusikia kamapuni ikiyumba kwasababu ina watu wasiokuwa na ujuzi.
Waislam wakilalamika wanaitwa hawana elimu ndio maana hawajapewa ajira ila kama mngekuwa na busara hata ndogo tu mngefanya tafiti kwenye makampuni ya waislam na wakristo muone wapi kuna afadhali.
Azam kuna wakuu wa vitengo wengi wakristo sema mlitaka kusikia mkurugenzi ni jamaa yenu ndio mngefurahi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom