Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Wakati mwingine muwe mnakaa kimya kama mnaona kabisa mawazo yenu si ya kujenga, kwanini mkubali kuwa mbolea ya kukuza utengano? kwanini ukubali kuwa mfia dini, kwanini ukubali kuwa mfia chama na kwanini ukubali kutoambilika juu ya mtu fulani? kuna ubaya gani au ugumu gani ukachagua kuruhusu akili yako ikafanya kazi na kusimamia ukweli na haki, madikteta huwa wanaingizwa madarakani na watu kama nyie wafia dini, chama na kutoambilika juu ya mtu fulani..Ndugu yangu duniani umekuja peke yako na utaondoka peke yako, kama huwezi kuifanya dunia kuwa sehemu bora ya kuishi ni bora pia usiiharibu, usishiriki kufifisha tabasamu katika nyuso za watu kwa ajili ya kutetea ujinga
Sasa wewe umeahindwa nini kukaa kimya? kuliko kuja na porojo zako hapa wewe umeifanyia nini dunia ili iwe sehemu bora ya kuishi. Si kila mtu anamawazo finyu kama yako.
 
kuna dogo mmoja alikuwa anapenda sana kufanya kazi kwenye kampuni ya bakhresa ya pale buguruni akafanya michakato wee akampata mtu wa kumuunganisha akapata kazi kwa kuhonga tsh 70000/=akafanya siku ya kwanza akawa kosa alolifanya ni kujitambulisha kwa jina la kikristo basi nasikia alikuwa anabaguliwa hata kazi yenyewe haikuchukua wiki
 
Sasa kama vichwa vyote vimejaa upande wa wala kitimoto ulitaka awaache na achague vilaza kisa tu anawaonea huruma?
Sasa kuna ubaya gani kwa Azam kutumikisha Vilaza na akawaacha ambao vichwa vyao vyote vimejaa kitimoto?
 
Sio kwel kabisa em fanya utafiti vizur kuna wahindi tena wahindu kuna Christians na waislam pia tena had ma boss Christians wapo Azam imejitahid sana kubalance katika hilo
 
Kabla hatujamlaumu Bakresa hebu na siye wengine tujiulize rafiki zetu wengi ni watu wa dini zipi.
Ukweli unabaki pale pale hata huku mitaani marafiki zetu wengi ni wa dini za kufanana na hata ndugu zetu wengi ni wa dini za kufanana mfano sisi kwetu kuanzia ukoo wa mama na mpaka kwa baba aslilimia 99 ni wakristo sasa siku nikiwa na kampuni lazima katika nafasi zisizo hitaji weledi wa hari ya juu nitajaza tu ndugu zangu wasio na ajira na huwezi sikia hata siku moja naweka tangazo la ajira.

Alafu haya mambo huwa ni chain, yani ukishaweka wasaidizi wako wa karibu hata watatu wa dini yako nao wataleta wengine tena wa dini hiyo mwishowe unakuta hata mfagiaji ni wa dini hiyo.
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.

The same to Mkombozi Bank na Chuo cha SAUT
 
Unajuwa Waislam uwa wanajitambua sana tena uwa wako humble ....lakin Tz udini ulianza zamani ...simnakumbuka Nyerere alivyowanyanganyaga wahind Mali zao zote na waarabu pia...kisha akachukua zile Mali nakuzigawa Bure kwa wananchi.
Huyo yeye hakufanya ajizi akaamua nchi moja iwe na Balozi mbili Italy na Balozi wa Vatican hahahahaha hakuna anayeuliza ila mleta huu uzi labda alitaka kujua kama sisi upande wa pili tunajua yanayoendelea akaona aandike kuhusu Bakhresa tutakuja tu? Jibu ni kwamba tunajua
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku

Nna buku kumi yako ya vocha
 
Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Mkuu ni kwelu kabisa ndio maana Charles Hilary kapewa kazi ni muislam yule hata na Patrick Nyembera wote waislam wale,uko sahihi kabisa
 
Mkuu ni kwelu kabisa ndio maana Charles Hilary kapewa kazi ni muislam yule hata na Patrick Nyembera wote waislam wale,uko sahihi kabisa
Tido Mhando pia ni muislam wa Bagamoyo.
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
sio kweli kwamba kuna udini,Tunaomba takwimu za wajiriwa wote wa azam,

Muongozaji wa kipindi cha RACING SHOW anaitwa michael maluwe,mchambuzi wa soka wa azam anaitwa walter harison,wasomaji wa taarifa ya habari kuna charlesi hHilary,na Evona Kamuntu, je hao dini gani mkuu?
kuwa muazi sema tu uliomba kazi ukakosa basi...
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom