nimegundua wakristo baadhi tuna wivu ssna na azam na hasa kwa sababu ni muislam. Mungu atusamehe. nawataka radhi waislam kwa niaba ya wakristo.Kwanini hamtaki hata kutumia akili kwenye mambo kama haya? Yaani wewe hujawahi kuona wakristo Azam au chuki zako za kidini tu?
Hiyo kampeni hata upige na ukoo wako wote utashindwa? Wenzako walizianza tangu miaka ya 2000 na kibaya zaid anazidi kwenda mbele kuliko kurudi nyuma.
Hapana hii haitakiwi maana kila kampuni ikifanya hivi unafikiri nchi itakuwaje? Kutakua hakuna haja ya kuwa na watu competent bali wafia dini tuHii tabia ya ulalamishi Wakristo mmeanza lini? Focus kwenye mambo makubwa. Achana na mambo madogo madogo. Kampuni yake ana uhuru wa kuajiri mtu yeyote ambaye yeye anamwona ana vigezo. Ili mtadia havunji sheria.
Hii tabia ya ulalamishi na nyie wakristo mmeanza lini? Mimi naamini kila mtu ana haki ya kuajiri watu anaotaka kwa vigezo vyake.... Vijana mjikite kwenye mambo ya msingi ya kujenga nchi. Hiyo ni Kampuni binafsi ana uhuru kuajiri watu anaowataka kwa kufuata vigezo vyake. Binafsi nachukia sana tabia ya ulalamishi.
wivu.comMkuu vipi kuhusu story za majini pia maana nasikiaga. Au ni kuharibiana tu biashara?
Jamaa ni wadini kweli hawa........Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.
Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza
Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Ndugu Heading haijasema hakuna wakristo kabisa,but ni wachache na hawako idara nyeti, fikiria kama pale AzamICD utawala wote kuanzia general manager mpka mfagizi walikuwa islamic kasoro mtu mmoja tu operation manager ndo alikuwa Christian napo ni msaidizi tu, sasa hiyo hali waionaje??? Yaan mpaka operator wa ile machine ya kunyanyua container ni Islamic na si Azam tu hata pale kwa TRH ni hivyo hivyo na ukiwa Christian unapigwa majungu mpaka wanakung'oa kazininimeuliza swali tu hawa wakristo walioajiriwa azam media kwao ilikuaje?
Kwa kweli hata mimi naona mawaziri weeengi wamevaa kanzuTo be honest hii mambo nishawah kujiuliza maana kila nikipita pale azam tv hata kwa mbaya....
Yan lazma ukute ni kanzu...tu.
Mkulu kaiona hii comment ur next bakhesa !!
Hapa sio uarabuni ni Tanzania hakuna udini...
kuna muislam kaajiriwa azam tv ambaye hana sifa?Kwa haraka pale azam TV wakristo sizan hata kama 10% wanafika ukilinganisha na waislam
Ukiona hivyo aidha hao wanaonyimwa kazi itakuwa HAWANA VIGEZO, ama uzoefu unaweza kuwa ulionesha WAMEKITHIRI KWA WIZI NA ULEVI.Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Ustaje kampuni zingine kuficha udhaifu wa azamIPP kuna UCHAGGA, AZAM kuna UISLAM, SAHARA kuna USUKUMA
nadhani ni wivu tu nawafahau wakristo wengi tu wameajiriwa na bakhresaKwenye media lazima achanganye ili kufunika kombe
Ila kweli azam imejaa udini ukienda kuomba kazi unaitwa shedrak wanakuangalia km kituko hivi
Ila akienda mtu kavaa balagashia kesho yake anaitwa
Inauma eeh!?..serikalini nako kupoje?Kwa haraka pale azam TV wakristo sizan hata kama 10% wanafika ukilinganisha na waislam
Kwahiyo seminary za kiislam kuongoza kwa kupata zero na zile za katoliki kuongoza kwa kupata div.1 huwa ni upendeleo sio? Serikali haiwezi kuacha watu wenye ueledi na kuajiri vilaza kwa kuwaonea sympathy; huko Azam kuna ubaguzi wa wazi wazi na dini huangaliwa zaidi ya uelediKwa hiyo wakristo wakiwa wengi wameshinda kwa vigezo ,wakislam wakiwa wengi wana udini,
Nina shaka na elimu yako
Nazungumza uhalisia uliopo mkuunadhani ni wivu tu nawafahau wakristo wengi tu wameajiriwa na bakhresa
Hujalazimishwa kununua bidhaa za bakhresa.Mwambie aandike bidhaa anazozalisha ni kwa waislam pekee,uone kama kuna mkristo ataigusa,na ukizingatia mambo yenu mengi ni ya ki majini,hakuna mkristo atakaribia.
Jiulize kwa nini asijikite na viwanda vyake Pemba au Unguja na anavileta kwetu,sisi mnaotuita makafiri,ambao ni Tanz,Malawi,Burundi na Rwanda.
Hizo nchi nilizotaja bakhresa na udini wake,analipwa pesa ambayo imepita mikononi ya wala Nguruwe na anaipokea,ambayo mnaita najisi na kuiweka mfukon.
Halafu unaongea ufyoro,pyuuuuuuu!.
Nafanya kaz kwa mchaga. Na hapa kazin mchaga ni mmoja tu wengine sisi ni wamakonde na wanyamwez.Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Sababu ni mahiri zaidi ktk utangazaji, sehemu zingine ni kanzu tupu hadi wauza ice cream, hili jambo ni la kweli.mbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Hudhani!!! Huna hakika!! Unajua CEO wa Azam TV ni nani?Kwa haraka pale azam TV wakristo sizan hata kama 10% wanafika ukilinganisha na waislam