Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Mkuu trust me naweza kuishi bila huyo mungu wenu
Aliyekuambia yeye ni Mungu nani? Mimi Nina Mungu mmoja tu mmoja tu ambaye hajazaa wala hajazaliwa na wala Hana anayefanana naye ambaye ni Muumba wa mbingu na nchi na vilivyomo basi, na kuhusu bidhaa za Bakhressa utatumia tu utake usitake kwa njia moja au nyingine ati unasusia una ubavu. Tatizo lako umekariri, kwa heri
 
Mimi ni mkristo lakini simshangai Bakresa kujaza waislam katika ajira zake. Sehemu yoyote watu hupata kazi kwa kupigiwa pande na ndugu zao au watu wa karibu. Mtu baki hupata nafasi ya kazi iwapo tu hakuna mtu wa karibu mwenye sifa na vigezo, na hiyo ipo kila mahali hata serikalini.
 
Hii tabia ya ulalamishi Wakristo mmeanza lini? Focus kwenye mambo makubwa. Achana na mambo madogo madogo. Kampuni yake ana uhuru wa kuajiri mtu yeyote ambaye yeye anamwona ana vigezo. Ili mtadia havunji sheria.

Hii tabia ya ulalamishi na nyie wakristo mmeanza lini? Mimi naamini kila mtu ana haki ya kuajiri watu anaotaka kwa vigezo vyake.... Vijana mjikite kwenye mambo ya msingi ya kujenga nchi. Hiyo ni Kampuni binafsi ana uhuru kuajiri watu anaowataka kwa kufuata vigezo vyake. Binafsi nachukia sana tabia ya ulalamishi.
Wameanza tangu Raisi wa awamu ya pili alipo ingia madarakani kwani hukuwepo? Au hujawahi kuwasikia, pia pale NSSF unafikiri ni akina nani walikuwa wanalalamika?
 
Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Hilo liko wazi kama we si muislam upati Kazi labda ubadili dini angalia hata Azam media,marine, labda uwe na utaalamu ambao hakuna jinsi utachukuliwa,udini ndo umeua shule nyingi za kiislam,wakati seminary za Kazi kikristo ukiwa MWALIMU kichwa dini sio kigezo.Makampuni mengi ya waislam hata mighahawa dini ndo CV ya kwanza kisha ufata vingine. Mifano hi ni mingi.
 
Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Mkuu umejua kunichekesha
 
Binafsi ni mteja mkubwa sana wa bidhaa za Azam, kuanzia maziwa, juice, maji, boat, TV, Timu ya mpira ni shabiki; ila kwa ubaguzi huu natoa masaa 24 waje watoe ufafanuzi juu ya tuhuma hizi, vinginevyo nasusia bidhaa zote hizo, wacha wanunue akina mudi peke yao. Na nitapiga marufuku kabisa bidhaa za azam nyumbani kwangu, tena wakiendelea nitaanzisha boycott kila mahali ninapoweza, ubaguzi haukubaliki, tususie tu
 
Mhindi naye akijenga Mall wapangaji wote Wahindi wenziye tena wa dini yake. Mimi naona ni mambo ya kibinafsi tu na ni hiyari ya mtu kutumia mali yake atakavyo. Hakuna sheria imevunjwa hapo!
Sheria za ajira zinapinga ubaguxi wowote wa dini,chama,kabila, jinsia, ulemavu nk.Hakuna kitu kinaitwa binafsi ukishahusha wengi.
 
Hii thread ingekuwa inazungumxia udini uliopo Tanesco, Pspf, ppf, wizarani na katika teuzi ungekuwa ushafutwa siku nyingi! Mods Mungu anawaona
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!

Ni kampuni yake. Usimpangie cha kufanya hata akiamua kuweka 100% waislam ni sawa tu.

Mbona serikalini kuna udini kwa kupendelea ukiristu. Chunguza more than 80% ya teuzi zote ni wakiristu, mbona husemi??

Unachokishangaa kwa bakhresa kimeasisiwa na sirikali ya chama cha mapinduzi.

Tulia dawa iwaingie wapuuzi nyie
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom