Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Iv mnataka waajiriwe wakristo wang kwenye iyo azam??? Vp hao mnaowaita waislamu wanasifa /hawana sifa za kufanya izo kazi???? Naomba mrejo
 
Huyu mzee kuna kipindi hata ukipelekwa kwake kuwa unataka kusilimu unapatiwa hadi fedha! kwa udini anafahamika sana sana wala sio kitu kigeni.
 
alexelias
Mkuu ungekuwa na case study inayokuhusu wewe mwenyewe ingependeza zaidi kuliko kufanya generalization , kama ulifanya application kwenye moja ya kampuni zake na ukaambiwa we tumekuacha kwa ajili ya dini yako na mwenzio akachukuliwa kwa ajili ya dini uke ingependezza zaidi!
Ajielewi Huyu jamaa
 
Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.

Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza

Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Wako Sahihi kabisa
 
Sio kweli , Muongo kwani bakhresa yuko Tanzania peke yake? naishi Uganda, huku waislam wachache , inamaana ame import watanzania waislam? congo na Rwanda je? what abaout Malawi , nako kaajiri waislam? au anawapenda waislam wa Tanzania tu, acheni hasad
Mkuu umeniquote pasipo kujuwa nilichokisema kipo katika mlengo upi.
 
We utakuwa mtu wa masoko huko Azam! Nimekuona unavyopambana kuifagilia kule kwenye post yako ya Hotel (operated under islamic principles) ulivyokuwa ukisisitiza kuipenda hiyo hotel na kuupenda uislam. Nikajua tu huyu ni mmoja wao! Nikacheki jina unalotumia lilivyo refu na lenye uhalisia nikagundua kitu!
Kosa lake kuipenda uislam
 
Ujinga mtupu

Eti nijuzeni kuna TAASISI GAN YA KIKRISTU AMBAYO wafanyakazi waislam ni wengi kuliko Wakristo??????
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.


Udini upo:

SSB
MO DEWJI
GSM GROUP OF COMPANIES
 
mbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Hao ni watu unique mzee watu kama kina Charles Hilary na Muhando Duncan ilikuwa lazima wawepo pale kwa sababu ya taaluma zao na ujuzi wao lakini kama sivyo nadhani usingwaona pale.

Ila wewe dereva wa kuendesha endesha juice kutoka hapa kupeleka pale hata ukiwa strd7 inawezekana ndo huu utata unapoanzia,japo sisemi kama upo maana sijui naandika kutokana kilichopostiwa hapa.
 
Karibu secta binafsi zote Kuna ubaguz ila bakhresa group wamezid, ubaguz WA din WA Hali ya juu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom