kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,218
Toa uthibitisho kwamba majority ya wasukuma ni wapagani. Kwani huko pwani wapagani hakuna ???Kanda ya ziwa ni mwanza,mara,kagera,shinyanga..mwanza na shinyanga wasukuma,wengi wao wapagani,mara sifahamu,kagera kuna pockets za waislam