Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
Ni kweli wameweka udini sana mbele
 
Uislamu unawasumbua sana wasio waislamu.....sekta nyingi wakiristo ndo mmeshika lakn ikitokea sekta ina waajiriwa 100 kati ya hao 40 ni waislam 60 ni wakiristo watu wataongea mpaka basi
 
Sasa Ndugu yangu Biashara ya Chapati,Juice na Koni ni za watu wa pwani,wewe wa bara utayaweza?waache akinayahe wajiachie bwana!
 
Wakristo mna matatizo yaani hiyo ingetokea wanaotengwa na kubaguliwa ni waislam mungesema wamezowea kulalamika na isitoshe hawana sifa ila i.ekuwa ni kwenu sasa mnasema BAKHRESA GROUP ni wa dini.

Ni hivi hata katika uislam wenyewe unahimiza waislam kusaidiana kwa hiyo mm sishangai katika kampuni zake kukuta waislami wengi ila ingekuwa kuna wakristo aliowaajiri halafu anawanyanyasa na kuwapunja kwa sababu ya iman yao hapo ndio inhekuwa kosa. Kama hakutaka kuweka watu waaina hiyo ni hiyari yake kwani ofisi ngapi za serikali zina majina yanayotokea upande mmoja wa imani ama kabila mbona hamjalalamika kwazo na ndio zetu wote wa imani zote. Acheni maneno fanyeni kazi nanyi muwe na kampuni zenu.

ASSALAM ALAIKUM
 
Charles Hilali nae ni muislam?, alafu wakristo hata mkisusia bidhaa kwa kigezo hicho dhaifu haitosaidia kitu mana waislamu ni wengi kuliko nyie.
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.

hUNA sababu ya kulalamikia udini kwenye mali ya mtu
 
mbona mlikataa kufanya sensa mmefilisika akili nyinyi
Serikali iliyokataa rais, makamu wa rais,jaji mkuu na igp wote walikua waislamu. Sasa wakristo wanahusikaje hapo
 
Charles Hilali nae ni muislam?, alafu wakristo hata mkisusia bidhaa kwa kigezo hicho dhaifu haitosaidia kitu mana waislamu ni wengi kuliko nyie.
Toa ushahidi wa unachosema. Hamuwez kuwa wengi kuliko wakristo.
 
Karibu $96 ya wafanyakazi wa Bakhresa group ni Islamic.
lakini kwa majina sio wale wanaojielewa..kama ni mdada utadhani ni mshia , hijabu zao za kimitego...sidhani hata kama wa swali..wengine pale ni zile sura za kiarabu ..tu..ukiwa mweusi sana sidhani kama utapata kazi hata kama unaitwa hamadi
 
Karibu $96 ya wafanyakazi wa Bakhresa group ni Islamic.
lakini kwa majina sio wale wanaojielewa..kama ni mdada utadhani ni mshia , hijabu zao za kimitego...sidhani hata kama wa swali..wengine pale ni zile sura za kiarabu ..tu..ukiwa mweusi sana sidhani kama utapata kazi hata kama unaitwa hamadi
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.

Mbona hapa kwenye hizi teuzi husemi kitu. Wateuliwa wanalipwa kwa kodi zetu. Lakini kila teuzi ni wakiristu tu as if hii nchi ni ya dini moja.
 
Attachments

  • Screenshot_20180323-221447.png
    Screenshot_20180323-221447.png
    320.4 KB · Views: 42
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom