Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Siku chache kabla ya mtihani wa darasa la saba 1978 mwalimu aliingia darasani na kitabu Cha mahudhurio alituita mmoja baada ya mwingine ukifika kwa mwalimu anauliza Fulani wewe dini gani? Ukijibu Islam anakwambia kakae, ukijibu vingine atasimama muda kidogo akihojiwa na mwalimu anajaza. Hii Siri ilifichuka Morogoro watoto waliulizwa hivyo wakaenda kusema kwa wazazi wao baada ya malalamiko mengi kwa Sasa hawaulizwi tena Hilo swali ndio mwanzo wa idadi ya watoto wa kiislamu kufaulu kwa wingi. Ni mpumbavu na mjinga tu ambaye anaweza kuamini hilo mliloandika hapo ndio maana hadi sasa Islam akipata nafasi kubwa watu midomo inawajaa utafikiri wamebumba maji,

Mkuu nimeongelea kwa uhalisia kabisaa, mikoa inayokua ya mwisho kitaifa ni ile ile, sijasema hawana akili La hasha? hata top 10 ya kitaifa wapo wengi tu siku hizi
 
Ukianza kuchuguza bata utamla.sasa wewe uliyotowa post je?ukienda coca hata kazi upati wewe sio wa kulekule.leteni hoja za muhimu humu ndani.nenda coca kamatapata kazi.acheni kumchuguza bata.
 
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.
Sidhani kama ni kweli, mimi nina ndugu yangu ni dereva pale na ni Mkristo wa makanisa ya Kipentekoste.
 
alexelias
Mkuu ungekuwa na case study inayokuhusu wewe mwenyewe ingependeza zaidi kuliko kufanya generalization , kama ulifanya application kwenye moja ya kampuni zake na ukaambiwa we tumekuacha kwa ajili ya dini yako na mwenzio akachukuliwa kwa ajili ya dini uke ingependezza zaidi!
Kuwa practical kidogo, mengine hupaswi kuambiwa kwa mdomo au barua bali yanajieleza yenyewe
 
Usitetee usichokijua,mkristo anayeajiriwa kwenye viwanda vya bakhresa ni lazima awe mtaalam au na kipaji,wafanyakazi wa chini wote ni waaslam,tena ukiwa shombe hata huandiki maombi,nywele zako ndiyo CV ya kukupa kazi.Povu ruksa
Kwahiyo Unataka kusema HAKUNA Waislamu wenye taaluma na uzoefu sawa na Charles Hillary?! Kwa elimu na utaalamu gani alionayo Charles Hilary hadi uone he's so exceptional that no any other Muslim can fit his post?

Ni kipi ambacho ni very exceptional walichonacho Raymond Nyamwihula, Ivona Kamuntu na Jane Shirima ambacho Waislamu hawana hadi uamini ukiona Wakristo wameajiriwa pale kwa sababu ni exceptional na Waislamu wasingeweza ku-fit?

Kulikuwa na Taji Liundi pale na Phillip Cyprian! Hivi unaamini kabisa hakuna Mwislam wa ku-fit nafasi zao?!

Halafu unadai eti wafanyakazi wa chini WOTE ni Waislamu!!

Unaweza kutaja idadi yao?!

Acheni UDINI nyinyi!!
 
Charles Hillary, Ivona Kamuntu na wengineo.
Fwatilia kwa kina mkuu.. usikuruouke. Ukiacha azam media ambako kama wangefwata hivyo vigezo vyao wangefeli coz watangazaji wanaokizi vigezo vyao ni wachache. Sema sehemu nyingine ambayo kuna raymond na john hapo azam. Tuweni wakweli kwenye mabo ya msingi
 
sasa ile c profession yao? wamesoma san uchumi
hapa kwa bakhresa hata fundi garage lazma awe mvaa kubazi ndio hoja yetu
Inakuuma? Kunywa sumu na wewe utatuambia ni mwanaume hawa wanaume wa hivi sijui wake zao wanaishije.
 
mbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
usihangalie tv tu tambua pale yupo tido ndio maana wanashindwa kuwaweka majina hayo but ni wadin sana hao fanya utafiti uone
 
Mbona serikalini kuna udini? Au umeona hapo tu embu chunguza kwa makini na sehemu zingine me naanza kukutajia Bungeni kuna udi i Dai ushahidi nikupe.
 
Wakristo wavaa hovyo sana hawataki vimini wala vichwa wazi ushangingi na kazi na milegezo wapi na wapi??

Hawataki wala kitimoto,, sasa kama mmekereka anzishen viwanda vyenu ila sio kipind cha mfungo nyie mnatafuna tafuna tu .....muda wa swala wote kuswali ....
Hivi ule ni mfungo au sherehe za kula bila kipimo??
 
Unajuwa Waislam uwa wanajitambua sana tena uwa wako humble ....lakin Tz udini ulianza zamani ...simnakumbuka Nyerere alivyowanyanganyaga wahind Mali zao zote na waarabu pia...kisha akachukua zile Mali nakuzigawa Bure kwa wananchi.
 
Mimi nakumbuka shirika moja kubwa linaitwa world visheni nilikosa nafasi kwa dini yangu. Nikatamalaki. Kwa hiyo sioni ajabu kwa Bakhresa kuwabeba waislamu kuna sehemu ameona wamebanwa.
world vision ni la kidini kama ilivyo Compassion,wanataka uwe unajua biblia na hata mkatoliki anayesomewa tu biblia hawezï ajiriwa huko, bakhresa hajasajili Shirika la dini,kwahyo tunamripoti kunakohusika
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom