Wewe ambae unafahamu UKWELI, kwanini basi usiweke hapa FACTS & FIGURES?!Fwatilia mkuu.. ukweli upo
Halafu watu wa aina yenu hata mkiambiwa mtaje physical locations ya biashara za Bakhresa huenda wala hamfahamu let alone kufika!
Lakini licha ya yote hayo, mnataka kusema mnafahamu demograph ya wafanyakazi wao wote!!
Ukweli mchungu ni kwamba, nyie ndugu zetu wa upande wa pili ni Wabaguzi!!
Msipowa-profile watu kwa dini zao basi kwa makabila yao!
Wakati wa JK ilikuwa kila cku kulalamikia udini kila linapoteuliwa jina la Mwislam ingawaje ratio ya Muslims in government offices ilikuwa far less compared to Christians hata kwa teuzi alizokuwa anafanya JK mwenyewe!
Ikulu kaingia Mkristo mwenzenu; mmegeuza kibao na kukimbilia kwenye ukabila!
Hiyo ndiyo dhambi ya chuki na ubaguzi aliyokuwa anaisema Mwalimu!
Juu akiwepo mtu asiye wa dini yenu, mtamtuhumu udini... akija wa dini yenu, mnageukia ukabila!
Shame on y'all! By y'all I mean Muslims and Christians mnaondekeza chuki za kidini na ukabila.