Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,213
- 27,421
watakula wapi na bidhaa za bakhresa ndio bora na rahisi kwa mlaji?Kama madai hayo ni kweli wakristo wote wasinunue bidhaa za azam
watakula wapi na bidhaa za bakhresa ndio bora na rahisi kwa mlaji?Kama madai hayo ni kweli wakristo wote wasinunue bidhaa za azam
Ofisi ya Heleni Bi Kijo Simba LHRC wafanyakazi wote wakristo,mameneja na wakurugenzi wote Tanesco wakristoBakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Tena waanze kesho asububi ili awape ajira wanaona ndio wenye haki ya mupata ajira nchi hii kuazia serikalini mpaka kwenye kampuni binafsi.Kama madai hayo ni kweli wakristo wote wasinunue bidhaa za azam
Kuna vitu vingi vinavyo fanya binadamu asononekesasa kama humuonei wivu hilo sononeko la moyo unalolitafutia faraja linatokea wapii? duuu pole![]()
UDART kuna usukuma ubaya upo wapi???IPP kuna UCHAGGA, AZAM kuna UISLAM, SAHARA kuna USUKUMA
Ofisi ya Heleni Bi Kijo Simba LHRC wafanyakazi wote wakristo,mameneja na wakurugenzi wote Tanesco wakristo
Yani hawa watu nmetokea kutowapenda hata kidogo ni wabaguzi mno,hawa azam wa.puuzi sana hata king'amuzi chao wamejaza channels za kihindi as if consumer wa bidhaa zao ni waislam wote nmekiuza juz hcho kisimbus chao nmenunua dstv na home kwangu marufuku bidhaa za huyu n.g.urue
Ati mnasusia kwi kwi kwi Bakhressa ni maji usipoyanywa utaoga, utafulia nguo, utamwagia bustani utapikia mtasafishia hivyo vimkokoteni vyenu, hivi kwa siku unamgusa Bakhressa mara ngapi tena kwa kujua au kutokujua mnastarehesha baraza tu, angesema wa Kijiji labla ningemuelewa kidogoKwanzia kesho nasusia bidhaa zake. Kasoro king'amuzi tu. Sipendi ujinga mimi
Azam tv yupo kamuntu na chales ko namstahi kwanzaSi ususie vyote kabisa ili umkomoe kabisa
Mkuu trust me naweza kuishi bila huyo mungu wenuAti mnasusia kwi kwi kwi Bakhressa ni maji usipoyanywa utaoga, utafulia nguo, utamwagia bustani utapikia mtasafishia hivyo vimkokoteni vyenu, hivi kwa siku unamgusa Bakhressa mara ngapi tena kwa kujua au kutokujua mnastarehesha baraza tu, angesema wa Kijiji lanla ningemuelewa kidogo
hahaha. 'Niko' namtumbo ya UDART siyajuiUDART kuna usukuma ubaya upo wapi???
Kuna Jane Shirima pia, ila wewe komaa ili umkomoe afilisike kabisaAzam tv yupo kamuntu na chales ko namstahi kwanza
Kwa waafrika walivyowezi acha aajiri waislam maana ni waadilifu hata Dangote ni tajiri afrika sababu ya uislamu wake.JPM leo kasifia bakhresa kwenye uaminifu wa sukari ya viwandaniBakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
sasa ile c profession yao? wamesoma san uchumiKama rcdb kuna kimaro,mushi,kiria, n.k
hahaha kuwa na mzuzu n sifa ya ziada,ama kweli hawa wavaa ndala wanatishaHujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Kwanza huyu sio Mungu, utakonda bure tu kwani utajikuta unakuwa mtumwa, ukienda sehemu utakuwa kila unchokula utauliza ni bidhaa ya nani hii.Mkuu trust me naweza kuishi bila huyo mungu wenu
sii kweliIPP kuna UCHAGGA, AZAM kuna UISLAM, SAHARA kuna USUKUMA
na mtazid kubaki nyuma hivo hivyo maana elimu kwenu ilipita kushotoMfumo kristo uliwaacha nyuma sana waislamu, sasa Bakhresa ni muumini mzuri wa hiyo dini wacha awasaidie ndugu zake na dini yake inamuelekeza kufanya hivyo.
Huyu Firdaus inamuhusu na vile vibira.