inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,740
- 22,490
Kwani mikoa gani ina watu wengi?..tuanzie hapo,mkoa ambao ukristo umetamalaki ni mbeya tuListi mikoa yote ya Tanzania then taja mikoa yenye waislam majority
Kwani mikoa gani ina watu wengi?..tuanzie hapo,mkoa ambao ukristo umetamalaki ni mbeya tuListi mikoa yote ya Tanzania then taja mikoa yenye waislam majority
Ataajiri vibagalashia wenzake tu. Mwendo mdundoameleta ndege 15 sasa sijui itakuaje. azam air
Kanisa si ni mali ya mtu binafsi,huwa mnaanzisha tu hata kama mnasali wawili!..sasa fikiria waislam wote wangekua wanasali..dar ingejaa misikitiHesabu idadi ya makanisa na ya misikiti hapo Dar alaf ulete majibu
Mkuu kupata namba ya waislam na wakristo ni ngumu sababu asilimia 70% wenye majina ya kiislam hawakanyagi msikitini hivyo hivyo wakristo wa huko vijijini unakuta anaitwa peter au said ila msikiti na kanisa hajawahi kanyagaKanda ya ziwa ni mwanza,mara,kagera,shinyanga..mwanza na shinyanga wasukuma,wengi wao wapagani,mara sifahamu,kagera kuna pockets za waislam
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Wapo wawili tumbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Kabisa na waafrika tumezidi katika ubaguzi.Kuna shirika/organization moja hivi imejaa wakurya na wajaluo ni hatari. Ili mradi tuna dini na makabila, udini na ukabila haviwezi kuisha.
Ungekuwa si mdini usinge andika hayo kaishi pemba halafu urudi hapa. Tatizo mnatoka Dar na ustaarabu wenu wa kijinga mnataka kwenda kuharibu Jamii za watu. Pemba ukiishi ukifata ustaarabu wao kamwe hutoona huo Udini na ubaguziWengi ya wapemba ni wadini (wa Unguja ni wachache mno mambo ya udini) akiwemo huyo Bakhresa ni mpemba.
Hahahaaa acha wa watoto wabimdogo tubebane hakuna jinsi kila mmoja Apambane na hali yake wakaajiriwe zile hospital za mission wanazotutambiaga. Tukiumwa Hatuna pa kukimbilia zaidi ya hukoWatoto wa Mama mkubwa wanalia.
Sifa ziende kwa awamu ya tano.
Wakienda zenji wajiandae kuruka na ungo. Km Ndio mpango huoKama madai hayo ni kweli wakristo wote wasinunue bidhaa za azam
Ni kweli basi kila mmoja Apambane na hali yake. Waislam tunapambana na 0 zetu 😛 na watoto wa bi mkubwa Pambaneni na makaratasi yenu yote maisha mradi mkono uende kinywaniwakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
Ni kweli si wakati wote Samaki Mmoja akioza wote wameoza Ila kwa Asilimia kubwa ubaguzi wa dini na makabila Kwenye Sekta binafsi ni changamoto Kubwa sana.Nafanya kaz kwa mchaga. Na hapa kazin mchaga ni mmoja tu wengine sisi ni wamakonde na wanyamwez.
Si wakat wote samaki mmoja akioza wote wameoza.
Wewe Hizo sehemu umezitaja kwa sababu unazifaham tu. Ila ubaguzi unaazia kwa yule anayehisi anabaguliwa. Na Rudia mkiishi Jamii za watu fata ustaarabu wao acheni tabia za hovyohovyo.BEEF LASAGNA kwa taarifa yako mi ni mzaliwa wa Pemba Vitongoji nimekulia Unguja Mwembemakumbi na Mdo Kizimbani. Bakhresa ni Mpemba na ofisi zake ziko Malindi jirani na Benki ya Posta. Kama wewe ni wa Pemba wengi wenu hiyo tabia ya udini mnayo sana
Idini ndiyo nini na wewe?Idini ndio nini?
Ni vile kakosa waislamu kwenye hizo nafasi. Lakini ni mdini wa kutupwambona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.