Mwambie awauzie wa imani yake au kabila lake,kwenye kusaka wateja wote wao ila ajira upendeleoHii tabia ya ulalamishi Wakristo mmeanza lini? Focus kwenye mambo makubwa. Achana na mambo madogo madogo. Kampuni yake ana uhuru wa kuajiri mtu yeyote ambaye yeye anamwona ana vigezo. Ili mtadia havunji sheria.
Hii tabia ya ulalamishi na nyie wakristo mmeanza lini? Mimi naamini kila mtu ana haki ya kuajiri watu anaotaka kwa vigezo vyake.... Vijana mjikite kwenye mambo ya msingi ya kujenga nchi. Hiyo ni Kampuni binafsi ana uhuru kuajiri watu anaowataka kwa kufuata vigezo vyake. Binafsi nachukia sana tabia ya ulalamishi.
