Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Ndg zangu wachaga kuna ukweli hasa Machame.
Kuna kampuni ya Elerai construction Arusha ni Machame wote.
 
Kule Kenya kampuni zipo kikabila; Bongo baadhi ya kampuni zipo kidini.
Bakheresa inaajiri kidini zaidi. Hats wafanyakazi wanakiri hivyo. Nashangaa watu wanatokwa na mapovu kutetea dhambi.
Tittle ni kuhusu Bakheresa, ila kuna vichwa maji wameleta mambo ya CRDB, .....
Matokeo ya dhambi ya udini yatataangamiza wore in long run.
 
Inawezekana ikawa kweli ila mbona wakristo wapo pia? Upande wa customer service azam media head wa pale ni Mkristo na kuna wengine wengi mawafahamu
 
Hapana hii haitakiwi maana kila kampuni ikifanya hivi unafikiri nchi itakuwaje? Kutakua hakuna haja ya kuwa na watu competent bali wafia dini tu
Dalili zinaonesha hupendi na unachukizwa na uwekezaji wenye mafanikio wa SSB na AzamTV.

Kuna aina za watu wenye choyo na roho mbaya. Hawa huwa hawapendi jambo lisilo la wapendwa wao lisimame. Wakizeeka huwa walozi!!
 
watu hamkosi sababu
Mkuu sinaga ubaguzi kwa wachaga, na ukisoma posts zangu nyingi huwa nawatetea hasa wanaposhambukiwa bila sababu.
Hili nisemalo ni kweli.
Mzee Lema nani asiyemjua Tz?
Elerai construction ni kampuni ya class one au two, wakandarasi watanielewa.
Lkn inasumbuliwa na ukabila
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Wewe ndio unaleta udini hayawani wewe. Acha unafiki. Mmezoea majungu na unafiki mpaka kwenye biashara za wenzenu. Anzisha yako utoe ajira
 
wakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
na mtazid kubaki nyuma hivo hivyo maana elimu kwenu ilipita kushoto
Siku chache kabla ya mtihani wa darasa la saba 1978 mwalimu aliingia darasani na kitabu Cha mahudhurio alituita mmoja baada ya mwingine ukifika kwa mwalimu anauliza Fulani wewe dini gani? Ukijibu Islam anakwambia kakae, ukijibu vingine atasimama muda kidogo akihojiwa na mwalimu anajaza. Hii Siri ilifichuka Morogoro watoto waliulizwa hivyo wakaenda kusema kwa wazazi wao baada ya malalamiko mengi kwa Sasa hawaulizwi tena Hilo swali ndio mwanzo wa idadi ya watoto wa kiislamu kufaulu kwa wingi. Ni mpumbavu na mjinga tu ambaye anaweza kuamini hilo mliloandika hapo ndio maana hadi sasa Islam akipata nafasi kubwa watu midomo inawajaa utafikiri wamebumba maji,
 
Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.

Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza

Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Ni vema umejisema we ni mwizi wa vyeti vya watu! kama unajiita athuman na sio muislam hicho cheti cha athuman umekitoa wapi?
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!

Sasa hapa Tisa na Kumi nenda Azam Media uone balaa lake. Katika kila Watu 25 wenye majina ya Kikristo ni 2 tu waliobakia tu Waislamu 'waliotukuka.
 
MADA YAKO NI YA KIPUUZI SANA. NGOJA NIKUPE SOMO KWANZA NATAKA UJUE TANZANIA WAISLAM NI 85% KUBALI USIKUBALI KWA KUTAZAMA KWAKO ANGALIA WALEVI WENGI UTAKUTA WAISLAM WAFUNGWA WENGI WAISLAM MAANA YAKE WAISLAM TANZANIA NI WENGI . NA UKIBISHA ANGALIA MWEZI WA RAMADHAN WAISLAM WANAPOKUWA KATIKA MWEZI HUO WA RAMADHANI UNAONAJE NCHI NZIMA KIMYAAA SIO MABAA SIO DISCO SIO MAHOTEL YOTE KIMYA MALAYA WOTE WANA HESHIMA UHALIFU UNAPUNGUA KABISAAA MPAKA MAKAFIRI WENGINE WANASEMA WAISLAM UKIAMUA MIEZI YOTE WAIFANYE KAMA RAMADHANI SIJUI ITAKUWAJE. NDUGU YANGU WAISLAM WAKILALAMIKA HAWAAJIRIWI SERIKALINI NYINYI MNASEMA WAISLAM HAWAKUSOMA. SASA HAO HAWAKOSOMA WAMEAJIRIWA NA AZAM MADEREVA WA MALORI VIWANDANI BADO MNALALAMIKA KWA HIYO WAAJIRIWE NA NANI NA NGWAJIMA
Waislam hardly wanaweza kuwa 40% maximum nchi nzima. Wapo concentrated pwani zaidi ndo majority.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom