Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Unakusudia watanganyika ni watu wa hovyohovyo? Hili ni moja wewe ni mbaguzi hatari sana na kama jina lako BEEF, mpumbavu bora ya mjinga. Mimi ni mzaliwa na mkulia wa Zanzibar
 
Unakusudia watanganyika ni watu wa hovyohovyo? Hili ni moja wewe ni mbaguzi hatari sana na kama jina lako BEEF, mpumbavu bora ya mjinga. Mimi ni mzaliwa na mkulia wa Zanzibar
Acheni tabia za hovyohovyo mkikaa Jamii za watu. Uzuri Nimeishi na kulelewa na wakurya. Wakurya mtoto wa kiume anaheshimika sana mtoto wa kike Lazima uwe na heshima iliyotukuka Sasa mzaramo ukitoka Dar. Ukaingia musoma ukataka uishi Kizaramo Lazima uumie. Wazungu wanakawaida wakiwa wanaenda mahali Lazima Wajue mila na tamaduni za eneo husika hata kwa kugoogle apate kuelewa anapokwenda.

Tatizo wa bongo mnapenda kuishi kimazoea matokeo yake mnalalama mnabaguliwa ACHA TABIA ZA HOVYOHOVYO UKIWA MIJI YA WATU
 
anzisha cha kwako.
matabaka ya udini hayataisha kamwe.
maana ndo miongozo ya maisha yetu.
 
Siku chache kabla ya mtihani wa darasa la saba 1978 mwalimu aliingia darasani na kitabu Cha mahudhurio alituita mmoja baada ya mwingine ukifika kwa mwalimu anauliza Fulani wewe dini gani? Ukijibu Islam anakwambia kakae, ukijibu vingine atasimama muda kidogo akihojiwa na mwalimu anajaza. Hii Siri ilifichuka Morogoro watoto waliulizwa hivyo wakaenda kusema kwa wazazi wao baada ya malalamiko mengi kwa Sasa hawaulizwi tena Hilo swali ndio mwanzo wa idadi ya watoto wa kiislamu kufaulu kwa wingi. Ni mpumbavu na mjinga tu ambaye anaweza kuamini hilo mliloandika hapo ndio maana hadi sasa Islam akipata nafasi kubwa watu midomo inawajaa utafikiri wamebumba maji,
ndio mnavyodanganyana huko masjid? nyie mko busy na madrasa elimu mtaijulia WAP
tena muombe mungu nyerere aliwabeba kwa kitsifisha shule za wakristo ili nyie msome
tunajua kaz yenu n kufundshana judo na kareti na kifuga ndevu elimu haipo
hadi sasa MNA chuo kikuu kimoja tu aibuuu
 
Udini na ukabila ni majanga tarajiwa ya nchi hii. Yanafanyika chini kwa chini, yanaonekana lakini hatujayakemea. Kabila la mwenye mali huamua makabila na dini ya wafanyakazi wake.
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Mbaguzi akibaguliwa ndio huita ubaguzi!
Mara hii mmeusahau mfumo kristo?
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku

Udart (mwendokasi) wamejaa wasukuma
 
Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.

Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza

Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Walikufukuza kwa sababu ya fogery. Wewe kwa nini utumie jina la athumani wakati ni mkristo? Kwa nini ufoji? Walikutimua kwa sababu hiyo na nia yako ovu.
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Huo msumeno wako unamaanisha kuwa kwa vile Magu ni mkatoliki basi kina samia wake benchi awaweke kina daudi wote???
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom