Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

Watanzania ni watu hatari sana tena sana na hii tabia inaanzia kwenye ngazi ya familia mpk taifa..watanzania wanaamini bila kujipendekeza huwezi kufanikiwa elimu walionayo inabaki stamp tu. Kupitia JPM marais wajao wanatakiwa kujifunza kuwa hata yule uliemuamini na kumpa nafasi akusaidie kwa kuamini wote mnafata ideology moja jua yupo pale kwa ajili ya mshahara na cheo si kuamini ktk kile unachokiamini wewe.

Natamani katiba mpya na mavyeo yote ya kuteuliwa yawe ya mtu anaomba na kufanya interview kwa maana hawa wanaowateua marais hawaamini ktk yule anayewateua ila wanaamini ktk vyeo na mshahara.

Pia cheo cha Makamu wa Rais kifutwe makamu wa Rais awe Rais wa Zanzibar kwa maana Rais akiwepo nchini kazi za makamu wa Rais unaweza hata usizijue leo waziri mkuu ana kazi zenye mashiko kuliko makamu wa Rais , Rais wa Zanzibar akija Bara anakuja kama mjumbe wa baraza la mawaziri why wakt yeye ni Rais wa Upande mwingine why asiwe makamu wa Rais na ikitokea Rais wa Muungano amefariki au kushindwa kutimiza majukumu yake yeye anachukia madaraka kwa muda wa miezi 3 kwa ajili ya kuandaa uchaguzi akichaguliwa Rais yeye anarudi kwenye umakamu wake nasema hvyo naweza onekana chizi lakini kwa roho ya watanzania kupenda madaraka Mungu apishe mbali tunaweza pata makamu wa Rais mwenye tamaa siku moja akashirikiana na maadui wakamuhujumu Rais tukajikuta tunazika kwa maaana anajua kabla ya mazishi yeye ndo anakuwa Rais.

Kinachowafanya makamu wengi wa Kiafrika kuto hujumu marais wao ni kutokujua hatma yake baada ya msiba kwa maana wenye mabaka wanaweza fanya yao hilo tu.. lakini wakiona kumbe inawezekana na transition of power inafanyika smoothly ni hatari sana.

Faida ya Rais wa Zanzibar kuwa makamu wa Rais kwanza muungano utaimalika zaidi pili huyu hawezi kuhujumu kwa maana anajua hawezi kuwa Rais hata ikitokea Rais aliepo kufa au kushindwa kutimiza majukumu .Hapa ndo kazi ya Tiss kuhakikisha hawa viongozi wetu wanafanyiwa upembuzi hakinifu tusiruhusu tu watu kupata madaraka ovyo ovyo wanaweza kututia hasara siku moja kwa tamaa zao .
 
IMG-20210610-WA0173.jpg
 
Huyu asipopigwa chini, nitaanza kumwangalia mama kwa macho mawili. Ni dharau kubwa kusema mama amejifunza kuongoza nchi kutoka kwa JK ndani ya miezi mitatu, wakati mama amekuwa VP kwa miaka mitano!
Hivi wanyiramba ndo wako hivi? Yule chizi wa chadema naye ndo hivyo tena!
 
Kodi ya Ardhi kulipwa kupitia luku
Hapo mlipaji ni mpangaji
Mzigo kwa mlalahoi asiye na uwezo wa kujenga
Huu ni upuuzi
Uwezo mdogo wa kubuni
 
Watanzania mko wapi, bajeti yenu inasomwa huku.😂😂😂

Watu hawana hata mpango...
Hiyo aliyosoma Mwigulu ambayo inawataka wananchi wafunge mikanda kama wakati wa kupigana na Nduli Idd Amin ni bajeti ya Tanaganyika!

Nilikuwa nasikiliza bajeti ya nchi jirani yetu ya Zanzibar wao bajeti yao imetoa afueni kubwa kwa wananchi kwa kupunguza kodi!!!!
 
Ndo utajua mtu mweusi si wakuamini hata kidogo, pia huyu mama naona ana entertain huu upuuzi wa kumsema mwenzie but na yeye ajue akiondoka hawa hawa watamsema vibaya sana kuliko hata JPM kwa maana yeye anamapungufu mengi sana
Hakuna Rais mwenye mapungufu makubwa zaidi ya IDD AMIN II MWENDAKUZIMU KUTOKA CHATO. Huyu alikuwa mhalifu kabisa mtekaji, muuaji, mpika data, muongo na fisadi.
 
Back
Top Bottom