Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

– Lindi; Mradi wa Kufua Umeme wa Maji - Ruhudji MW 358; Mradi wa Kufua Umeme wa Maji - Rumakali MW 222; Uchimbaji wa madini ya Nickel; Ujenzi wa Madaraja Makubwa na Barabara za Juu za Daraja la Kigongo - Busisi (Mwanza), Tanzanite (Dar es Salaam) na Interchange ya Kamata (Dar es Salaam); Bandari ya Uvuvi (Mbegani) na Ununuzi wa Meli za Uvuvi; Kiwanda cha Sukari Mkulazi; Utafutaji wa mafuta katika vitalu vya Eyasi Wembere na
Ruhuji Ipo Lindi!!!?

Nafahamu ipo Njombe tena inaandikwa Ruhudzi
 
Hiyo aliyosoma Mwigulu ambayo inawataka wananchi wafunge mikanda kama wakati wa kupigana na Nduli Idd Amin ni bajeti ya Tanaganyika!!!
Nilikuwa nasikiliza bajeti ya nchi jirani yetu ya Zanzibar wao bajeti yao imetoa afueni kubwa kwa wananchi kwa kupunguza kodi!!!!
Wafunge mikanda huku genge la wahuni linalipwa 11M kwa kugonga meza tu
 
Yaani na wabunge walikuwa wanashangilia kwa kupiga meza(maana wenyewe wabunge kipato chao si haba), wakati 'wanyonge' wakiendelea kunyongwa kupitia ongezeko la kodi'maumivu'na mmeambiwa kabisa kwamba endeleeni kufunga Mikanda....... kaazi kwelikweli.
Mmhh,

Yaani mafuta yanazidi kupaa, yatafika Hadi 3,000 kwa Mwaka 2021/2022 kwa kuongeza ushu
 
Hii tengua tengua ni moja ya jambo ulilosema jana kuwa lilifanywa na late Magufuli kwa pupa kwa maana alitoa kadi hata bila kuona kosa bali kwa kuambiwa. Hukuishia hapo ukamunanga Mh Rais SAMIA kuwa amefundishwa siasa na JK huku ukisahau kuwa AWAMU YA 5 ndiyo iliyomtambulisha mama Kwenye OPEN EYE politics na kumheshimisha zaidi. Kwa ufupi ulichokifanya jana ni uchonganishi na dharau kubwa kwa viongozi wakuu wa nchi. Namalizia kwa kusema JIANDAE your political carrier will be fated to end badly. Mwigulu Nchemba.
 
Ni dharau ya kiwango cha juu sana kwa mamlaka.
 
Atachapwa sawa sawa
 
Asili ya wasiolizikaa na waanafiki
Hao ndio walikuwa waana msifiaa jpm leo wanamkashifu..

Siku zenu zinakuja maana haata huku majimboni mshaatuchoshaa
 
Hii tengua tengua ni moja ya jambo ulilosema jana kuwa lilifanywa na late Magufuli kwa pupa kwa maana alitoa kadi hata bila kuona kosa bali kwa kuambiwa. Hukuishia hapo ukamunanga Mh Rais SAMIA kuwa amefundishwa siasa na JK huku ukisahau kuwa AWAMU YA 5 ndiyo iliyomtambulisha mama Kwenye OPEN EYE politics na kumheshimisha zaidi. Kwa ufupi ulichokifanya jana ni uchonganishi na dharau kubwa kwa viongozi wakuu wa nchi. Namalizia kwa kusema JIANDAE your political carrier will be fated to end badly. Mwigulu Nchemba.

Eti naye alitaka kuwa Rais. Mtu asiyekuwa na misimamo. Anaangalia upepo ili kujipendekeza.

Watu kama hawa ndio wanaweza kuuza nchi mazima.
 
Hii tengua tengua ni moja ya jambo ulilosema jana kuwa lilifanywa na late Magufuli kwa pupa kwa maana alitoa kadi hata bila kuona kosa bali kwa kuambiwa. Hukuishia hapo ukamunanga Mh Rais SAMIA kuwa amefundishwa siasa na JK huku ukisahau kuwa AWAMU YA 5 ndiyo iliyomtambulisha mama Kwenye OPEN EYE politics na kumheshimisha zaidi. Kwa ufupi ulichokifanya jana ni uchonganishi na dharau kubwa kwa viongozi wakuu wa nchi. Namalizia kwa kusema JIANDAE your political carrier will be fated to end badly. Mwigulu Nchemba.
Madam amvumilie kidogo ila amuonye
 
Mama aliletwa SMT na Mzee Kikwete na huo ukweli aliusema siku analihutubia bunge.

Hawezi kuwa na ujasiri wa kumpinga JK na ukizingatia ni mama ndio ushawishi wa awamu ya nne unavyozidi kujikita.

Mwigulu pia ni nguvu ya JK kufika alipofika hivyo hawezi kupindua kwa ushawishi wake.

Mwigulu anafaa uwaziri na hafai kabisa kuwa rais.
 
Back
Top Bottom