Amejiharibia mwenyewe...Ameshakuwa liability badala ya kete kwakukosa hekima na busara kama yule wa mkoa ule aliyeongea akapitiliza....Mama aliletwa SMT na Mzee Kikwete na huo ukweli aliusema siku analihutubia bunge.
Hawezi kuwa na ujasiri wa kumpinga JK na ukizingatia ni mama ndio ushawishi wa awamu ya nne unavyozidi kujikita.
Mwigulu pia ni nguvu ya JK kufika alipofika hivyo hawezi kupindua kwa ushawishi wake.
Mwigulu anafaa uwaziri na hafai kabisa kuwa rais.