Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,973
Mama kubali tu mumeo amefariki,unateseka bure
Mama kubali tu mumeo amefariki,unateseka bure
Kwani aliteua ni Mungu?Acha dharau kwa mamlaka ya uteuzi mkuu
Mvuto utaanza kuupata pale rungu la kodi litakapoanza kukucharaza....., Na litacharaza Kweli... Kweli....Yaani hakuna mvuto wowote Kama zamani,mm nimejua kupitia jukwaa hili nilikuwa sijui chochote aisee
Mvuto utaanza kuupata pale rungu la kodi litakapoanza kukucharaza....., Na litacharaza Kweli... Kweli....
Bora wafanye kazi zao na kodi zisiwe kandamizi..., nikitaka mvuto taangalia Jumong.....Waweke kodi hata ifike 100% kwenye kila kitu ni sawa tu. Ila bunge no mvuto kabisa.
Kodi lazima ziwe kandamizi maana hawako madarakani kwa uchaguzi halali.Bora wafanye kazi zao na kodi zisiwe kandamizi..., nikitaka mvuto taangalia Jumong.....
Wanahisi watanzania wote wanatumia umemeHivi wanachakachua na mafuta ya taa hapa nchini au huko nje?
Aisee watanzania kufunga mkanda sio.Mwingulu yupo serious kweli?
U Yanga katikati ya Budget?
Kabisa.Huyu mnyiramba nae ana kigeugeu sana,sio wa kumwamini sana
Kinyonga...!!!Huyu kabla ya uchaguzi alisema NEC ni tume huru wala haina walakini wowote.
WatamnangaNdo utajua mtu mweusi si wakuamiani hata kidogo, pia huyu mama naona ana entertain huu upuuzi kwa kumsema mwenzie but na yeye ajue akiondoka hawa hawa watamsema vibaya sana kuliko hata JPM kwa maana yeye anamapungufu mengi sana