sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana.
Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa hio ilibidi maandalizi ya mapema mno yafanyike mtoto awe mdogo ili apite kwa uhakika kwenye njia ya mama yake.
Vyakula vyenye protini viligundulika kufanya mtoto kuwa mkubwa na kuleta shida kupita kwenye njia ndio maana wanawake hasa wajawazito walikatazwa kula.
Siku hizi sishangai wanawake wengi sana kujifungua kwa upasuaji maana hula sana kuku, mayai, nyama, chipsi yai, n.k