Babu zetu waliwakataza wanawake kula mayai na nyama wakiwa na mimba kuzuia mtoto kuwa mkubwa, wengi wamekiuka hujifungua kwa upasuaji

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,014
Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana.

Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa hio ilibidi maandalizi ya mapema mno yafanyike mtoto awe mdogo ili apite kwa uhakika kwenye njia ya mama yake.

Vyakula vyenye protini viligundulika kufanya mtoto kuwa mkubwa na kuleta shida kupita kwenye njia ndio maana wanawake hasa wajawazito walikatazwa kula.

Siku hizi sishangai wanawake wengi sana kujifungua kwa upasuaji maana hula sana kuku, mayai, nyama, chipsi yai, n.k
 
waeza waza chakula (nyama, bia, mayaii etc).... ila mwili wa mwanadamu ni wa tofauti sanaaa
kuna wengine wembambaa haoooo yaaani hata ale mara 6 kwa sikuu mwili hauridhiiikiiii kuna wenginee wanenee hata wale POPCORN mara 10 kwa siku mwili haupunguiii
Nyonga ikigoma funguka imegomaaa /// uchungu wa kuja na kuacha/ etc ni changamoto

kikubwa kujali afya zetuuu na kufuata taratibu tuelekezwazoo
 
Kuna matatizo makuu mawili siku hizi;

1. Kuzaa sio tena jambo linalokuja natural, imekuwa fashion. Wanawake wanashika mimba siku hizi kwa vile tu Rihana (mfano) ana mimba. Na ikitokea huyo Rihanna akajifungua kwa operation basi kina bossbabe na bosschic nao wote wanaenda kupigwa kisu.

2. Wanawake wengi wanaishi kwa mtaji wa nyuchi zao. Hivyo kuhofia kutoonekana mnato wanaamua kupigwa visu.

Kwa kifupi hakuna uasilia tena wa jambo lolote. Kila kitu kinaendeshwa kwa nguvu ya trend za mitandao na maslahi ya kipato.
 
Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana.

Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa hio ilibidi maandalizi ya mapema mno yafanyike mtoto awe mdogo ili apite kwa uhakika kwenye njia ya mama yake.

Vyakula vyenye protini viligundulika kufanya mtoto kuwa mkubwa na kuleta shida kupita kwenye njia ndio maana wanawake hasa wajawazito walikatazwa kula.

Siku hizi sishangai wanawake wengi sana kujifungua kwa upasuaji maana hula sana kuku, mayai, nyama, chipsi yai, n.k
Naunga mkono hoja. Wazungu wanatutengenezea matatizo mengi yasiyo na lazima.
 
Kuna matatizo makuu mawili siku hizi;

1. Kuzaa sio tena jambo linalokuja natural, imekuwa fashion. Wanawake wanashika mimba siku hizi kwa vile tu Rihana (mfano) ana mimba. Na ikitokea huyo Rihanna akajifungua kwa operation basi kina bossbabe na bosschic nao wote wanaenda kupigwa kisu.

2. Wanawake wengi wanaishi kwa mtaji wa nyuchi zao. Hivyo kuhofia kutoonekana mnato wanaamua kupigwa visu.

Kwa kifupi hakuna uasilia tena wa jambo lolote. Kila kitu kinaendeshwa kwa nguvu ya trend za mitandao na maslahi ya kipato.
Hiyo namba mbili ina ukweli?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mama p wangu alipokuwa na ujauzito mbona nilikoma.
Saa 9 usiku eti "baba p naomba kaninulie miwa"
Mara hujakaa vizuri anakwambia kanichumie ukwaju kwenye mti"saa 2 usiku!

Kubwa zaidi mpaka pombe ya chibuku alikunywa,

Hivi wazungu huwa hawana mambo haya why sisi wamatumbi tu?
 
Siku hizi hawali maembe mimba zinawapeleka vibaya utasikia baby nataka balimi tano! Na halewi!..
Hapo ataomba na ka konyagi ka kusakafia balimi zake tano!..
Balimi inasakafiwa na konyagi. Nisawa na kifunga linta ya tofali katika nyumba ya mawe
 
Kuna matatizo makuu mawili siku hizi;

1. Kuzaa sio tena jambo linalokuja natural, imekuwa fashion. Wanawake wanashika mimba siku hizi kwa vile tu Rihana (mfano) ana mimba. Na ikitokea huyo Rihanna akajifungua kwa operation basi kina bossbabe na bosschic nao wote wanaenda kupigwa kisu.

2. Wanawake wengi wanaishi kwa mtaji wa nyuchi zao. Hivyo kuhofia kutoonekana mnato wanaamua kupigwa visu.

Kwa kifupi hakuna uasilia tena wa jambo lolote. Kila kitu kinaendeshwa kwa nguvu ya trend za mitandao na maslahi ya kipato.
Wapumbavu tu, mbona dawa za uzazi wa mpango zinawasababishia nyuchi kuwa madimbwi, baridi, ugumba na kupelekea Me kukosa kabisa msisimuko wa ladha ya tendo la ndoa lakini hawaangalii hilo

Wakati mwingine ni heri kujifunza kila kitu kuliko kujua kila kitu sababu tu ya ulimbukeni wa kutopitwa na kitu chochote duniani
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom