Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 5,992
- 12,328
Hayo mavyakula ya protein mengine husababisha gesi kurundikana sana tumboni na kuleta matatizo ya mmeng'enyo wa chakula tumboni.Nu nadra Sana vyakula vya Protein kumnenepesha mtu.
Vyakula vya wanga ndio hunenepesha zaidi kuliko.
Ni heri wanga, protein na vitamin vyote vikatumika kwa kiasi kwa afya njema kabisa ya Binadamu.