Vijana wa kiume lazima muelewe kuwa kuna wanawake wanawazidi kwa mbali kiuwezo iwe wa akili, uchumi na maono

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
22,625
54,706
VIJANA WA KIUME LAZIMA MUELEWE KUWA KUNA WANAWAKE WANAOWAZIDI KWA MBALI KIUWEZO IWE WA AKILI, UCHUMI NA MAONO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

NI kweli wewe ni mwanaume lakini elewa wapo wanawake wanauwezo zaidi yako. Hilo ukubali au ukatae lakini ndio ukweli huo.

Wanaume wengi hujikuta katika wakati mgumu na kujihisi kuumia pale wanapokutana na wanawake waliowazidi kiuwezo.

Wakati shule ikikushinda na kuona masomo magumu, katika mazingira hayohayo kuna wanawake wengi tuu waliona shule ni kitu rahisi sana kama kuchezea manyunyu ya mvua.

Wakati ukizungusha miaka yote somo la hisabati kuna wanawake wengi tuu hilo somo kwao ndio somo rahisi sana.

Wapo wanawake wengi ambao wanafanya biashara uifanyayo ambayo imekushinda na wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa.

Kuna wanawake wengi wamekuzidi Bahati ndio maana yaweza kuwa unateseka na maisha hapo hata gari huna lakini kuna wanawake wengi tuu walipomaliza shule wakapata kazi na wamekuwa na maisha mazuri.

Mfano, Rais Samia Suluhu ni mfano wa wanawake wenye bahati kuzidi wanaume waliowengi tuu. Wapo wanaume wengi walipigana kufa kupona ili wawe marais na wapo wamekufa kisa kupambana kuwa Marais lakini bahati yao ilikuwa ndogo. Lakini Mheshimiwa. Rais Samia Kwa bahati kubwa ndiye Rais wetu hivi leo.

Wakati wewe unaona aibu na kushindwa kuongea mbele za Watu. Kuna kina Halima Mzee, Rose Shaboka, Tulia Akson, Samia Suluhu wanaongea na watu kwenye majukwaa makubwa bila tabu yoyote.

Elewa wapo wanawake wana mipango na maono makubwa na wamefanikiwa kukushinda wewe.

wanaume wengi hawapendi kuamini na kukubali wapo wanawake waliowazidi kiuwezo na ndio maana wengi huwapa shutuma kuwa wanawake hao wamevuliwa chupi, sijui degree za chupi au vyeo vya chupi.

Sikatai wapo baadhi ya wanawake hupata nafasi za juu kwa sababu ya kuvuliwa chupi au kutoa rushwa lakini hiyo haiondoi uwepo wa wanawake wanaopata nafasi za juu bila kutoa rushwa.

Kama ilivyo kwetu wanaume wapo wanaume uwezo mdogo na bila rushwa au mbeleko wao sio lolote.

Sisi Watibeli hatukimbiagi ukweli kwa sababu sio Haki.

Ikiwa kuna Mwanamke amekushinda wewe haimaanishi kuwa huyo Mwanamke atashinda wanaume wote.

Wapo wanaume ambao huyo Mwanamke wanaweza kumtawala na akawa mtiifu na mke mwema.

Jambo moja lazima uweke akilini ni kuwa Mwanamke siku zote hawezi kukubali kuwa chini ya mwanaume aliyemzidi Akili. Yaani Mwanamke akishakuzidi Akili jua hapo huyo sio mkeo.
Mwanamke akuzidi Elimu lakini sio Akili.

Mwanamke akuzidi cheo na pesa lakini sio Akili.

Na bahati nzuri Mwanamke hujua wanaume wenye akili pale atakapoishi na wewe.

Elewa, Mwanamke hutumia hisia zaidi kabla hujamuoa, huishi katika ndoto, matarajio yake na maneno matamu utakayompatia, lakini siku ukianza kuishi naye hisia zake huanza kupungua na ataanza kukuona katika jicho la uhalisia, yaani kutumia akili na hapo ndipo ataanza kugundua kuwa wewe ni mwanaume mwenye akili au laah!

Ni ngumu kwa Mwanamke kujua mwanaume mwenye akili kabla ya kuishi pamoja.

Dharau,
Usitake uheshimiwe na kila Mwanamke kwa sababu hutoipata hiyo heshima.
Wanawake wanadharau wanaume waliowazidi kiuwezo alafu hao wanaume hawataki kukubali wamezidiwa.

Kwa mfano, sikia kijana, wewe mchumbaako labda anakipato kukuzidi, au anauwezo wa akili za shuleni kukuzidi lakini wewe hutaki kuonekana amekuzidi hiyo itapelekea akudharau kwa sababu mtu yeyote asiyekubali ukweli lazima adharauliwe na kudharualika. Unajitutumua wakati ukweli ni kuwa wewe upo chini.

Hii ni tofauti na kijana ambaye ni maskini alafu anamwanamke mwenye kipato lakini akakubali kuwa yeye ni maskini wa kipato na mchumbaake kamzidi, au yeye hakusoma na uwezo wake wa shule ulikuwa mdogo na mchumba wake kasoma na anauwezo mkubwa.

Hapo automatically Huyo Mwanamke lazima amheshimu na hawezi kumdharau kwa sababu kakubali ukweli na kukubali ukweli ni tafsiri ya kuwa mnyenyekevu. Na kuwa mnyenyekevu ni tafsiri ya kuwa na akili kwani umekubali uhalisia.

Watoto wengi wa kishua, waliotoka kwenye familia bora, na wanawake wenye vipato wengi wamepigana kufa kupona kutetea nafasi za vijana waliowazidi kiuwezo kwa tendo tuu la wanaume hao kuukubali ukweli.

Bi. Khadija na Mtume Muhamad ni mifano halisi.

Mfalme Daudi na mtoto wa Mfalme Sauli ni mfano mwingine halisi.

Daudi anakiri kabisa mbele ya Sauli kuwa yeye ni maskini na haoni kama ataweza kuwa sehemu ya familia ya kifalme(kumwoa Mikali Binti Sauli).

Kuwa mwanaume haimaanishi kuwa wewe ndio unauwezo wa kila kitu. Hapana. Uanaume ni kukubali kuwa kuna mambo huyajui na kuna mambo unahitaji kujifunza au kufundishwa au kupewa msaada.

Mwisho nikiwa namaliza, Mwanamke mwenye akili ni yule anayejua anauwezo fulani kumzidi mumewe au mwanaume lakini akautumia uwezo huo kumpa heshima Mumewe.

Lakini hiyo itatokana na ukweli kuwa mumewe au mwanaume huyo akubaliane na ukweli kuwa mkewe au mwanamke huyo amebarikiwa zaidi kuliko yeye katika nyanja fulani.

Acha Nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Wewe utakua mwanamke mwenzao. Hakuna mwanaume duniani anaeweza kuandika upuuzi kama huu. Nakama utakua nimwanaume kweli basi utakua Bado mvulana mdogo mdogo.
 
Mm na swali moja, hao wenyewe uwezo wana cover asilimia ngapi ya waliopo tz?
 
Tangu zamani wanawake ndio walikuwa wazalishaji wa mali huko mashambani.
Mwanaume mmoja anaoa wake kumi ili wamzalishie na kulisha familia.

Kauli ya nani mama ni moja ya ushahidi
Blah blah blah sasa kama huwez kudhibitisha kauli zako with fact and actual numbers means nothing. Ni sawa unapiga kampeni za ccm hapa
 
Wewe utakua mwanamke mwenzao. Hakuna mwanaume duniani anaeweza kuandika upuuzi kama huu. Nakama utakua nimwanaume kweli basi utakua Bado mvulana mdogo mdogo.

Ni uongo kwamba kuna wanawake kibao wamekuzidi karibu kila kitu kuanzia pesa, elimu, mamlaka na akili?

Moja ya dalili ya nilichoandika ni namna ulivyotoa maoni yako.
 
Back
Top Bottom