Katika nyakati za karibuni huyu Kigogo2014 alitumiwa na Chadema kama msemaji wao kwa kutukana viongozi wengine wa upinzani kama wasiofaa na kuwa chama cha upinzani kilichopo ni chadema tu.
Kigogo2014 akaonekana ndio mtu wa maana kuliko hata wanachedema wakongwe. Ila kwa tunaojua huyu bwana hana lolote la maana hasa baada ya waliokuwa wakimpa taarifa wakati wa JPM kuondolewa maeneo yao ya kazi.
Alipokosa ajenda ndio akajifanya kuipenda sana chadema ili abaki kuwa relevant kwenye mitandao.
Leo baada ya Mbowe kuwekwa kizuizini anawatukana sana chadema kuwa wamekaa kimya hawafanyi lolote kuhusu mbowe. Hivi alitaka wafanyaje labda katika mazingira tulionayo.
Hili liwe funzo kwa wanasiasa kushabikia hustlers wa mitandao kama kigogo asiyekuwa na ajenda na anayetaka kuwa juu ya kichwa cha kila mtu. Amewatukana sana akina zito, lipumba na mbatia mkakaa kimya. Leo anawatukana chadema wote.
Hana Chama Kigogo
 
Mbowe amejikataa mwenyewe!Chadema ya sasa sio ile ya 2010 kushuka chini. Wewe fikiria unafukuza watu kama Zitto,Slaa,Mdee Matiko na wengineo wenye morale haswa.
Unategemea mtu kama Mnyika atakua sawa kweli?Wa kulaumiwa,mi Mbowe mwenyewe na si mwingine.
Wale Bawacha wanaenda kujigalagaza ubalozini kule, serious kabisa?
Angekuwa Mdee leo hii tunajadili episode nyongine.
Alieua CHADEMA ni Mbowe mwenyewe.
 
Do not be silly, wapi kuna andiko la CDM kuwa Kigogo ni msemaji wao na ni mwanachma wao au ni mshirika wao?
Katika nyakati za karibuni huyu Kigogo2014 alitumiwa na Chadema kama msemaji wao kwa kutukana viongozi wengine wa upinzani kama wasiofaa na kuwa chama cha upinzani kilichopo ni chadema tu.
Kigogo2014 akaonekana ndio mtu wa maana kuliko hata wanachedema wakongwe. Ila kwa tunaojua huyu bwana hana lolote la maana hasa baada ya waliokuwa wakimpa taarifa wakati wa JPM kuondolewa maeneo yao ya kazi.
Alipokosa ajenda ndio akajifanya kuipenda sana chadema ili abaki kuwa relevant kwenye mitandao.
Leo baada ya Mbowe kuwekwa kizuizini anawatukana sana chadema kuwa wamekaa kimya hawafanyi lolote kuhusu mbowe. Hivi alitaka wafanyaje labda katika mazingira tulionayo.
Hili liwe funzo kwa wanasiasa kushabikia hustlers wa mitandao kama kigogo asiyekuwa na ajenda na anayetaka kuwa juu ya kichwa cha kila mtu. Amewatukana sana akina zito, lipumba na mbatia mkakaa kimya. Leo anawatukana chadema wote.
 
Ngangari walikutana na NGUNGURI...

Ukitaka uwajue WATANZANIA waangalie kwenye yafuatayo:

1)Mathalani umaarufu wa MZEE MPILI na NGUVU YA KIUSHAWISHI ya askofu Gwajima 🤣🤣

2)Huku mitaani bado wanabishania ile CHANJO aliyowepa Rais wetu msikivu mh.SSH...wako wanaosema amechomwa sindano ya TETANUS 🤣🤣🤣

3)Huku vijiwe vya kahawa wako wanaobishana kuwa leo MO DEWJI hakuweka hizo B.20 🤣🤣

Hii inatoa taswira gani?!!!

WATANZANIA NI WATU WATULIVU WASIOPENDA SIASA ZA VURUGU NA MIVITANO ISIYO MAANA "tug of war"......

UTULIVU wao unaweza kuuita UJINGA...ila ndiyo salama yao....

Chadema hawatofanikiwa kwa SIASA ZAO ZA KUTAKA "REGIME CHANGE through endless strikes"...🤣

Kuna MKENYA mmoja amepost humu JF akitukebehi kuwa "eti nchi yetu ina 3.3% skilled labour out of 60 million" 🤣

Amesahau kuwa NIGERIA ina unskilled labour 21.4%....bado haijawasaidia kuinua UCHUMI WA WALALAHOI....bado haijawazuia MEND na BOKO HARAM kufanya yao....🤣🤣🤣

Tanzania litabaki taifa la KIPEKEE...KIPEKEE KABISA....

"Ujinga tunaotaniwa nao" ndio USALAMA WETU wa kunywa kahawa kwa kujiachia huku mitaani.....

#SiempreTanzania
#SiempreCCM
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
#SerikaliMbiliMilele
Mkuu hao Wakenya wenye skilled labour ni malofa tu wanajidanganya na kuongea Kiingereza chao kibovu, sisi tunachotaka ni utulivu tu na sio kulinganisha na hao Wakenya wanaolala kwenye nyumba full bati na ambao ni manamba kwenye nchi yao, nimesihi Kenya nawajua kindakindaki hawa jamaa zetu ambao hadi sasa utawakuta miguu yao imejaa funza na nywele zao zimejaa chawa,sema wana ujuzi wa kubaka ng'ombe, mbuzi, kuku n.k
 
Katika nyakati za karibuni huyu Kigogo2014 alitumiwa na Chadema kama msemaji wao kwa kutukana viongozi wengine wa upinzani kama wasiofaa na kuwa chama cha upinzani kilichopo ni chadema tu.
Kigogo2014 akaonekana ndio mtu wa maana kuliko hata wanachedema wakongwe. Ila kwa tunaojua huyu bwana hana lolote la maana hasa baada ya waliokuwa wakimpa taarifa wakati wa JPM kuondolewa maeneo yao ya kazi.
Alipokosa ajenda ndio akajifanya kuipenda sana chadema ili abaki kuwa relevant kwenye mitandao.
Leo baada ya Mbowe kuwekwa kizuizini anawatukana sana chadema kuwa wamekaa kimya hawafanyi lolote kuhusu mbowe. Hivi alitaka wafanyaje labda katika mazingira tulionayo.
Hili liwe funzo kwa wanasiasa kushabikia hustlers wa mitandao kama kigogo asiyekuwa na ajenda na anayetaka kuwa juu ya kichwa cha kila mtu. Amewatukana sana akina zito, lipumba na mbatia mkakaa kimya. Leo anawatukana chadema wote.
Sema amedhulumiwa na wabambikaji
 
Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz"

Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama inavyosomeka hapo chini. Kiuhalisia Kigogo yupo 100% correct kuwa CHADEMA wamemkataa mwenyekiti wao haraka sana.

View attachment 1874083

Baada ya tafakuri nachelea kusema yuko sawa. Freeman Mbowe ni kama amesalitiwa na wenzake katika hili. Aliacha msiba kwenda Mwanza kwa ajili ya kuwapa nguvu wenzake pamoja na wale walioshikiliwa. Na walipoachiwa alisisitiza Kongamano litafanyika Mwanza na hawataondoka mpaka lifanyike. Hivi sasa kila mtu amerudi nyumbani kwake na wamegeuka "Keyboard warriors" kama sisi tu. Amebaki Mbowe gerezani na msimamo wake wa kubaki Mwanza mpaka kongamano lifanyike, kama kukamatwa wakamatwe tu.

Mkutano wa mbowe na Press walikubaliana kuwa mwanachadema yeyote akikamtwa kwa kubumba basi hawatamuwekea dhamna, watawasusia polisi mpaka waachiliwe huru. Ila waliokamatwa pamoja na Mbowe wameshadhaminiwa na wamerejea makwa wakiwa na familia zao nao wanatweet na kusoma JF kama sisi.

Ukweli uliopo moyoni mwa wengi ambao ni washirika wa Mbowe ni kuongea sana na kupiga kelele nyingi za ukakamavu "Ili Mwenyekiti awaone na kuwafikiria au kuwakumbuka wakati fursa mbalimbali zikijitokeza kama za nafasi za ugombea, teuzi n.k". Ndo maana kuna waongeaji wengi "vishandu" ambao tuliwaamini kama ni imara na wakahama kambi kwa hoja ya kuunga mkono juhudi ama CDM kudai wamenunuliwa. Hawakanunuliwa hao bali ni Wachumia matumbo

Mbowe amekamatwa na ndiye mwenyekiti kitaifa , ile mihemko wanayomdanganya nayo imefyata. Hakuna wembe wala tutaingia barabarani kudai sijui nini. Wanachadema ni majasiri wa majibizano lakini si majasiri wa vitendo. Bawacha wamefanya igizo lao jana na limekwisha nao wapo na sisi kwenye Keyboards. Hakuna real Movement ya kuonesha kweli wameguswa na hawakubali mwenyekiti wao kufanywa hivi. CHADEMA WAMEMSALITI MWENYEKITI WAO KWEUPE.
Washamchoka, duh, hata wakina Mzee mugabe, Dos Santos, yule wa Sudan, kina Mengistu, yule wa Gambia, Seseseko n.k. walibwaga manyanga, sasa huyu..?!
Ila CDM kuna walking pale, si bure..
 
Mkuu hao Wakenya wenye skilled labour ni malofa tu wanajidanganya na kuongea Kiingereza chao kibovu, sisi tunachotaka ni utulivu tu na sio kulinganisha na hao Wakenya wanaolala kwenye nyumba full bati na ambao ni manamba kwenye nchi yao, nimesihi Kenya nawajua kindakindaki hawa jamaa zetu ambao hadi sasa utawakuta miguu yao imejaa funza na nywele zao zimejaa chawa,sema wana ujuzi wa kubaka ng'ombe, mbuzi, kuku n.k
Nyie ujuzi wa kubambikia,ugaidi,uhujumu chumi na takatishaji feza,majungu na roho mbaya au vipi?
 
Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz"

Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama inavyosomeka hapo chini. Kiuhalisia Kigogo yupo 100% correct kuwa CHADEMA wamemkataa mwenyekiti wao haraka sana.

View attachment 1874083

Baada ya tafakuri nachelea kusema yuko sawa. Freeman Mbowe ni kama amesalitiwa na wenzake katika hili. Aliacha msiba kwenda Mwanza kwa ajili ya kuwapa nguvu wenzake pamoja na wale walioshikiliwa. Na walipoachiwa alisisitiza Kongamano litafanyika Mwanza na hawataondoka mpaka lifanyike. Hivi sasa kila mtu amerudi nyumbani kwake na wamegeuka "Keyboard warriors" kama sisi tu. Amebaki Mbowe gerezani na msimamo wake wa kubaki Mwanza mpaka kongamano lifanyike, kama kukamatwa wakamatwe tu.

Mkutano wa mbowe na Press walikubaliana kuwa mwanachadema yeyote akikamtwa kwa kubumba basi hawatamuwekea dhamna, watawasusia polisi mpaka waachiliwe huru. Ila waliokamatwa pamoja na Mbowe wameshadhaminiwa na wamerejea makwa wakiwa na familia zao nao wanatweet na kusoma JF kama sisi.

Ukweli uliopo moyoni mwa wengi ambao ni washirika wa Mbowe ni kuongea sana na kupiga kelele nyingi za ukakamavu "Ili Mwenyekiti awaone na kuwafikiria au kuwakumbuka wakati fursa mbalimbali zikijitokeza kama za nafasi za ugombea, teuzi n.k". Ndo maana kuna waongeaji wengi "vishandu" ambao tuliwaamini kama ni imara na wakahama kambi kwa hoja ya kuunga mkono juhudi ama CDM kudai wamenunuliwa. Hawakanunuliwa hao bali ni Wachumia matumbo

Mbowe amekamatwa na ndiye mwenyekiti kitaifa , ile mihemko wanayomdanganya nayo imefyata. Hakuna wembe wala tutaingia barabarani kudai sijui nini. Wanachadema ni majasiri wa majibizano lakini si majasiri wa vitendo. Bawacha wamefanya igizo lao jana na limekwisha nao wapo na sisi kwenye Keyboards. Hakuna real Movement ya kuonesha kweli wameguswa na hawakubali mwenyekiti wao kufanywa hivi. CHADEMA WAMEMSALITI MWENYEKITI WAO KWEUPE.
Propaganda za ktaka kuuleta mifarakano tu. we mbona hatujawahi kukuona kwenye frontline yoyote.
Kaxi kulaumu tu. Makamu myekiti yuko nje, karibu mkuu vijana yuko mahabusu
Top cream yote ilikuwa mahabusu ulitaka nani aorganize kile unachokita
 
Mnafiki huyo,ni mmoja ya wabambikiaji, sijui ni ule wa kiwango kikubwa zaidi, cha Kati au cha walalahoi.
 
Mkuu hao Wakenya wenye skilled labour ni malofa tu wanajidanganya na kuongea Kiingereza chao kibovu, sisi tunachotaka ni utulivu tu na sio kulinganisha na hao Wakenya wanaolala kwenye nyumba full bati na ambao ni manamba kwenye nchi yao, nimesihi Kenya nawajua kindakindaki hawa jamaa zetu ambao hadi sasa utawakuta miguu yao imejaa funza na nywele zao zimejaa chawa,sema wana ujuzi wa kubaka ng'ombe, mbuzi, kuku n.k
Hakika mkuu wangu🤣🤣🤣
 
Watawala wamezidiwa nguvu za HOJA kukabiliana na Chadema.CCM haiwezi kukabiliana na Chadema kwenye uwanja wa siasa sawa.Freeman Mbowe ndiye MHIMILI wa siasa za upinzani.Ni jabali la siasa za Tanzania.Bila nguvu za dola kukabiliana na Mbowe na chama chake,CCM tungeshaisahau.

Kwa hiyo, kunahitajika umakini mkubwa katika maamuzi yao kipindi hiki ambacho mwenyekiti wao yupo gerezani.Hapa ndipo Chadema inapopaswa kuonysha kuwa Chadema ni Taasisi .Ukimya wao umekuwa mzuri mno maana umewapa nafasi ya kutafakari zaidi namna bora ya kupata ufumbuzi.Mbowe ni mtu imara na jasiri.ATAVUKA SALAMA na ataushangaza ulimwengu.
Nawapongeza Chadema kwa utulivu wao.Kesho siyo mbali.Tusubiri.
Mhh sio kwamba ukimya wa viongozi na wananchi unaonyesha he is irrelevant.?,
 
Hakuna cha ajabu. Idadi kubwa ya viongozi waandamizi wa CHADEMA ni maajent wa idara unayofanyia kazi wewe(au kama unavyodai mwenyewe idara uliyokua unafanyia kazi}. Kwa kifupi hapo hakuna cha maana kinachoweza kupatikana

Mbowe is genuine lakini wanaomzunguuka wakiwemo wale waandamizi ni sawa tu na wale wa chama cha zambarau. Wanauaminisha umma kwamba wao ni wapambanaji wa mageuzi na katiba mpya lakini wakati wowote wakipata maelekezo wanahujumu chama na harakati zote za mageuzi
Hii ilimkuta Maghufuli na sasa Mbowe , ni jambo Jema kuishi Kwa falsafa zako kuliko kuwategemea watu, usimwamini mwanadamu Mwenyezi Mungu alisema , Kwa nini? Upendo wa kibinadamu ni wa kinafiki , ukijaribiwa vikali wanakukimbia na wote wanakuacha helpless..!!
 
Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz"

Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama inavyosomeka hapo chini. Kiuhalisia Kigogo yupo 100% correct kuwa CHADEMA wamemkataa mwenyekiti wao haraka sana.

View attachment 1874083

Baada ya tafakuri nachelea kusema yuko sawa. Freeman Mbowe ni kama amesalitiwa na wenzake katika hili. Aliacha msiba kwenda Mwanza kwa ajili ya kuwapa nguvu wenzake pamoja na wale walioshikiliwa. Na walipoachiwa alisisitiza Kongamano litafanyika Mwanza na hawataondoka mpaka lifanyike. Hivi sasa kila mtu amerudi nyumbani kwake na wamegeuka "Keyboard warriors" kama sisi tu. Amebaki Mbowe gerezani na msimamo wake wa kubaki Mwanza mpaka kongamano lifanyike, kama kukamatwa wakamatwe tu.

Mkutano wa mbowe na Press walikubaliana kuwa mwanachadema yeyote akikamtwa kwa kubumba basi hawatamuwekea dhamna, watawasusia polisi mpaka waachiliwe huru. Ila waliokamatwa pamoja na Mbowe wameshadhaminiwa na wamerejea makwa wakiwa na familia zao nao wanatweet na kusoma JF kama sisi.

Ukweli uliopo moyoni mwa wengi ambao ni washirika wa Mbowe ni kuongea sana na kupiga kelele nyingi za ukakamavu "Ili Mwenyekiti awaone na kuwafikiria au kuwakumbuka wakati fursa mbalimbali zikijitokeza kama za nafasi za ugombea, teuzi n.k". Ndo maana kuna waongeaji wengi "vishandu" ambao tuliwaamini kama ni imara na wakahama kambi kwa hoja ya kuunga mkono juhudi ama CDM kudai wamenunuliwa. Hawakanunuliwa hao bali ni Wachumia matumbo

Mbowe amekamatwa na ndiye mwenyekiti kitaifa , ile mihemko wanayomdanganya nayo imefyata. Hakuna wembe wala tutaingia barabarani kudai sijui nini. Wanachadema ni majasiri wa majibizano lakini si majasiri wa vitendo. Bawacha wamefanya igizo lao jana na limekwisha nao wapo na sisi kwenye Keyboards. Hakuna real Movement ya kuonesha kweli wameguswa na hawakubali mwenyekiti wao kufanywa hivi. CHADEMA WAMEMSALITI MWENYEKITI WAO KWEUPE.
Inaonekana kesi ni ngumu na Wana wote wameamua kuchochora , kile kisa cha Nani atamfunga paka kengele ndo hiki sasa ...!! Anyway Kesho kuna Tamko , tusikilizie comeback
 
Back
Top Bottom