Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..

Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!
Mkuu hatakuwa ameishia fom foo bali drs la saba maana hana chet icho cha CSEE
 
Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..

Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!

Alitakiwa ku-resit huo mtihani wa form four kwa gharama aliyotumia kwenye certificate ya kuvua samaki.
 
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..
Kashifa, kashifa kashifa! Vyombo vya Clouds, mh. Mkuu wa mkoa! Hizi kashifa ulizozileza za Clouds ni zipi na taarifa ya kujiuzuru mkuu wa mkoa umezipata toka vyanzo gani?
 
Hayo ndo matunda ya kuchezea watumishi wa Mungu. Aende akamuombe msamaha Mch . Gwajima.
 
Tunasubiri muda huo ufike maana sasa wamekaa kimya walidhania ni mziki mdogo wakamuita kiherehere , aongee alipopiga kimya naona wamejuaa wamemchongea na wamesababisha tuone hapo kweli kuna kitu! Bashite aende tu na radio yake ya wafu!! Kiherehere chao kitawarudi soon!!!
Ngoma ikivuma sana hupasuka.
 
Jo Kusaga muda mrefu anahusishwa na madawa ya kulevya kwani hata wasanii wake wa bongo fleva aliokuwa anawatumia kuwapeleka Afrika Kusini na mizigo wanasema hivyo na hili pia linamuhusu kijana govi (Ruge Mutahaba) ambaye ni mkuu wa kusaka vijana wa kuwalostisha.
naniliu kumbe ni "govinda"??

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuweni na huruma jmn sheria ichukue mkondo wake km ni kweli, tusimseme sana inatoshaaaaaa" ukiona kwa mwenzio kunaungua ujue kwako kunateketea" let's focus forward tuangalie pia namna ya kujikomboa na ugumu huu wa maisha, najaribu kuwaza kwa sauti tu!
ngoja atumbuliwe kwanza afu ndio tuendeleze na majukumu mengine kama sio ivo aonyeshe ganda la kidato cha nne
#OnyeshaCheti/Jiuzulu#
[emoji15] [emoji15]
 
Kiapo cha mkuu wa mkoa mpya kitakuwa hivi...
Mimi Bw.....
Naapa kwamba sitochungulia mambo ya watu.
Sito deal na wauza ngada tena maana siyo watu wa mchezo ndiyo maana jk alikuwa anawahanya.
Walimu RIP Amina na wame RIP ulaji wa bashite.
Ninaapa kuwa nitakula kimya kimya bila kubugudhi dili za watu wengine.
Wauza ngada na viwanja vya watu kuweni huru na amani siko kwa ajili ya kuharibu deal zenu.
Enyi wananchi tuvumiliane.
 
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..
Sasa clouds media kama wanafanya vizuri kwanini wasisifiwe na raisi na huyo bashite aliona clouds ndio media pendwa ndiomana akaitumia hiyo....napia chuki kwa clouds media zinatoka wap kwasabab bashite alikua anaitumia au kwasabab magufuli alipiga simu wa tz tuache unafiki tena redio inayo kupa kazi kulingana na talent yako hizo media zingine ninataka vyeti talenta baadae ndomana clouds INA mafanikio sana kwansabab INA watu wenye ubunifu kuliko wanao amini vyeti.....Leo Mnahusisha clouds na bashite mbona wa tz tuna roho ya chuki kwenye mafanikio ya watu.........HATA YESU ALIPO IANZA SAFARI YA KUTANGAZA INJILI WALIMTIA MOYO ILA ALIPO ONESHA MAFANIKIO WAKAANZA VIKWAZO......naanza kuamini sasa hata bashite anaweza akawa hana kosa ila no saba ya mafanikio yake ,kama ilivyokua kwa yesu,hata clouds, hata kina diamond na alikiba, na hata Dr slaha pia....am crying for my poor country[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom