Mkuu umejitahidi sana kumtetea lakini ndio hivyo tena, pole.Utarudi wewe kijijini kulima, ukiacha kwomba omba. Wivu tiiiiii
Mkuu umejitahidi sana kumtetea lakini ndio hivyo tena, pole.Utarudi wewe kijijini kulima, ukiacha kwomba omba. Wivu tiiiiii
Nasikia boss wa Clouds naye yuko kwenye list aliyonayo Sianga.Tunasubiri ajiuzulu ingawa ni ngumu sana kujiwajibisha mwenyewe kisha tuhamie huko Clouds ili kuyachimbua hayo madudu, mara mbindingu madudu yanaanikwa hadharani bila utetezi ebo.
Unatusemea wewe kama nani? sema wewe na familia yako kama wakazi wa Dar ndo mnamuhitaji mhalifu makonda.
Nasikia boss wa Clouds naye yuko kwenye list aliyonayo Sianga.
Tafadhari usipite bila kukaguliwanapita tu
Hatupangii kazi nyingine form 4 failureAlikuwa mstari wa mbele kusema ule usemi wa watala kuwa vijana wajiajiri waache uvivu ata kazi ya shoe shine inafaa kwa kijana graduate. Sasa cha kushangaza imegeuka kwake mbigiri zimeota kibaruani kwake sio kwa kumwaga machozi kule. Kumbe ajira tamu sana aisee. Aya tumkaribishe kijiweni ya kupangiwa kazi nyingine.
Muuza unga ni mama yako . Vita ya madawa ya kulevya inaongozwa na Tume sio Makonda. Msifiche uhalifu wa vyeti kwenye suala la Madawa.Nawasemea nyinyi mimi nikiwa mwana Dar Es Salaam ninayepinga uhalifu wenu wauza unga....wengi wenu mnakasirika kwa kuwa mmekatiwa mirija, bado sana....tunataka kuwanyonga pia kwani tunamuomba Mh. rais asaini hii sheria.
Bado mkuu...tunasubiriHivi cheti ameshatoa?
Yes tunamuhitaji makonda. Tatizo huyu tulienae sasa sio makonda ni bashite. Paul mwenyewe yuko Tabora hukoWana Dar Es Salaam tunamuhitaji Makonda, ni mchapa kazi na anafanya kazi kwa niaba ya watanzania. Big up rais wetu kutupa mtu huyu kwa ajili ya jiji letu ambalo lilichafuka kupitiliza.
Kiongozi; F.IV hana cheti halafu awe sawa na aliyeishia tena F.IV. Ushahidi kwamba alifika F.IV ni cheti cha F.IV. Kama hana cheti hakufika hicho kidato. Huyo ni STD. VII wala hakuna kumung'unya maneno. Soon litatokea "ajabu la dunia" la STD VII mwenye degree. Vijana wakiaswa wasome kwa bidii wakiwa huko mashuleni wanafanya ujinga na kuendekeza ujinga matokeo ndio hayo.Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..
Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!
Mi kwa kweli Mungu ananiona, simuonei huruma hata kidogo!Huyu msukuma mwenzangu imemkalia vibaya Sana aisee. Mpaka namuonea huruma
Basi jela inamuhusu kwa wizi na kutumia utambulisho wa mtu mwingine.Hatupangii kazi nyingine form 4 failure
Huyu yake jela tu watu wakamuwoweBasi jela inamuhusu kwa wizi na kutumia utambulisho wa mtu mwingine.
nkiki? afya inasumbua? au matembezi tu ya kawaida ya kuosha machokwa hiyo kesho anaachia ngazi mbona nasikia yuko kwa Zuma
Bila shaka wewe ndo utakuwa bibi ya bashite, safi sana kaza buti mpaka kielewekeUtarudi wewe kijijini kulima, ukiacha kwomba omba. Wivu tiiiiii