Nakumbuka yule ... Attorney General wa UK aliyekutwa kwa maeneo ya ...red street...Wala Mkuu hahitaji barua ya kujiuzulu...soon kutakuwa na jina jipya... life goes on!Bora E-FM...Clouds mmekuwa biased sana hadi kwenye vitu vya msingi kama kwa Hili Swala la Bashite...nyinyi ni Media hamtakiwi kubase upande mmoja....Swala la Bashite hamkuligusia hata kidogo hadi sasa Ametoroka nchini...na anatarajia Kujiuzulu ndo mnajileta leta hapa....kafeni uko....
Ombeni kabla hamjaombewa.... Hawa makasisi....wanafikiri kila mpuuuzi ana mapepo....Siku ya kufa nyani miti yote huteleza! Poleni mashehe na wachungaji mmejitahidi kumwombea lakini ziro hawezi kubadilika kuwa div 1! Mngemwambia atubu mapema dhambi ya kutumia cheti kisicho chake huenda Mungu angeona namna ya kumstiri!
Mkuu povu la nini!!? Tulia kwanza tumalize sakata la Daud Bashite tutakumwagia hapa skendo za hiyo kampuni yako ya mawingu. Punguza povu nondo zinakuja..!! Bashite anatumbuliwa leo,na akitumbuliwa tu namwaga nondo za wapiga dili wa mawingu. We baki hapa hapa jf ili uwe wa kwanza kujua!!!Sasa clouds media kama wanafanya vizuri kwanini wasisifiwe na raisi na huyo bashite aliona clouds ndio media pendwa ndiomana akaitumia hiyo....napia chuki kwa clouds media zinatoka wap kwasabab bashite alikua anaitumia au kwasabab magufuli alipiga simu wa tz tuache unafiki tena redio inayo kupa kazi kulingana na talent yako hizo media zingine ninataka vyeti talenta baadae ndomana clouds INA mafanikio sana kwansabab INA watu wenye ubunifu kuliko wanao amini vyeti.....Leo Mnahusisha clouds na bashite mbona wa tz tuna roho ya chuki kwenye mafanikio ya watu.........HATA YESU ALIPO IANZA SAFARI YA KUTANGAZA INJILI WALIMTIA MOYO ILA ALIPO ONESHA MAFANIKIO WAKAANZA VIKWAZO......naanza kuamini sasa hata bashite anaweza akawa hana kosa ila no saba ya mafanikio yake ,kama ilivyokua kwa yesu,hata clouds, hata kina diamond na alikiba, na hata Dr slaha pia....am crying for my poor country[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Sawa minasubir tu na hii nimoja ya sifa ya watanzani......[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu povu la nini!!? Tulia kwanza tumalize sakata la Daud Bashite tutakumwagia hapa skendo za hiyo kampuni yako ya mawingu. Punguza povu nondo zinakuja..!! Bashite anatumbuliwa leo,na akitumbuliwa tu namwaga nondo za wapiga dili wa mawingu. We baki hapa hapa jf ili uwe wa kwanza kujua!!!
Haijafika..?Nina was was utakuwa chunguNi , maana nimepita jirani na magogoni nikanusa
Bashite out
Gambo DSM
Yule Dogo mpenda media wa kinondoni kaenda Arusha
Daahh ,sorry Mkuu nilikuwa ndotoni ,ngoja tusubiri kesho , nione kama nimekuwa Yusuph MZEE wa ndoto
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.
Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.
Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.
Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!
Nawasilisha..
Cocochanel mi nakupemda tuu [emoji53] [emoji53]Utarudi wewe kijijini kulima, ukiacha kwomba omba. Wivu tiiiiii
Mkuu umejitahidi sana kumtetea lakini ndio hivyo tena, pole.
Bila shaka wewe ndo utakuwa bibi ya bashite, safi sana kaza buti mpaka kieleweke
Afadhali wewe ulipangishiwa chumba manzese bei sio kali yule aliyepangishiwa makongo sijui atarudisha nyumba
Any way tutakomaa hadi bashite atoke tena tutampeleka mahakamani mwambie azamie huko huko SA
mabashite wengi tu..wengine wakikiri hadharani ka Milllard Ayo kwenye "mkasi"..big up kwa kuwa muwazi, sio kama wale!Clouds nao ni mabashite tuu!!?
Du! hii sasa ni shida mwaka huu wataipata fresh.Nasikia boss wa Clouds naye yuko kwenye list aliyonayo Sianga.