Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..

Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!
Kaishia la saba
 
Hali anayopitia Makonda leo hii ni somo tosha kwa watu waliopewa madaraka na kudhani kuwa wao ni kila kitu katika huu Ulimwengu jambo ambalo si kweli hata kidogo.

Ukiacha Makonda,kuna wengine nao wanajiona wao ni kama miungu watu utazani ni wasafi kumbe nao wamejaa "makandokando" kibao tena ambayo yako documented na document hizo ndio baadae zinaweza kuja kutumika kama ushahidi dhidi yao.

Najua kuna wenye kinga lakini kinga hizi sio maneno yaliyoko kwenye Misaafu au Biblia kiasi kwamba hayawezi kufutwa au kubadilishwa.

Mimi nawaambia watu hawa wakisalimika wao basi wajue ama watoto wao au wajukuu zao ndio watakaokuja kulipa haya matendo yao yasiyopendeza mbele za Mungu kwani Mungu hutoa laana kwa mtu na hata vizazi vyake.

Madaraka yanaweza kukufanya ujione wewe ni mkubwa kama tembo ila tambua kwa Mungu wewe ni mdogo kama sisimizi and you are almost nothing.

Endeleeni kunyanyasa na kutesa watu ila mjue wakati wa kulipa unakuja na kama sio nyinyi basi ni watoto wenu ama wajukuu zenu.

Tendeni haki kwani hata kwa Mungu mtabarikiwa na kupata thawabu na hata vizazi vyenu navyo vitabarikiwa.
 
Uongozi ni busara!
Kwangu mimi huyo kijana wa arusha sio kiongozi bora..kiongozi aliyeweka akili muda wote kupambana na wapinzani wake huyo hafai hata kidogo!

Unatakiwa uwaze ni kwajinsi gani utatatua matatizo ya mkoa wako kwa kushirikiana na watu wa mkoa wako na sio kuwaza jinsi gani nitaonekana mimi ndio mchapakazi na hawa wengine waonekane wavivu!

Wale maadui watatu kwa mujibu wa Hayati baba wa taifa hawajaisha hadi tuanze kuwahitaji watu wanaowaona watanzania wenzao kama maadui zao kwasababu ya tofauti zao za kisiasa!
Point umeongea
 
Wangejifunza kwa Magesa Mulongo alikuwa na majivuno zaidi au kama Makonda lakini siku hizi nasikia anapiga mzinga kitaa . Alifikia akaapa siku ya mashujaa Mwz kuwa kwa gharama yoyote Wenje lazima aondoke mjini . Leo anapiga mzinga mtaani.

Madaraka yanalevya sana kuliko madawa yenyewe ya kulevya
 
Hali anayopitia Makonda leo hii ni somo tosha kwa watu waliopewa madaraka na kudhani kuwa wao ni kila kitu katika huu Ulimwengu jambo ambalo si kweli hata kidogo.

Ukiacha Makonda,kuna wengine nao wanajiona wao ni kama miungu watu utazani ni wasafi kumbe nao wamejaa "makandokando" kibao tena ambayo yako documented na document hizo ndio baadae zinaweza kuja kutumika kama ushahidi dhidi yao.

Najua kuna wenye kinga lakini kinga hizi sio maneno yaliyoko kwenye Misaafu au Biblia kiasi kwamba hayawezi kufutwa au kubadilishwa.

Mimi nawaambia watu hawa wakisalimika wao basi wajue ama watoto wao au wajukuu zao ndio watakaokuja kulipa haya matendo yao yasiyopendeza mbele za Mungu kwani Mungu hutoa laana kwa mtu na hata vizazi vyake.

Madaraka yanaweza kukufanya ujione wewe ni mkubwa kama tembo ila tambua kwa Mungu wewe ni mdogo kama sisimizi and you are almost nothing.

Endeleeni kunyanyasa na kutesa watu ila mjue wakati wa kulipa unakuja na kama sio nyinyi basi ni watoto wenu ama wajukuu zenu.

Tendeni haki kwani hata kwa Mungu mtabarikiwa na kupata thawabu na hata vizazi vyenu navyo vitabarikiwa.

Kama nakuelewa vile, je,sca hapa anahusika.
Nawaonea huruma sana watoto wa wakuu wetu wa siku hizi. Maana visasi maana chuki tunayopewa lazima visasi vitakuja kulipwa hapo baadaye. Nawaonea huruma maana maisha hayaishii leo kuna kesho wakati hawana kinga
 
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..

Ikiwa atachukua uamuzi wa kujihudhuru nafasi yake,atakuwa amejitunzia heshima kubwa japo amechelewa kama ni kweli hana vyeti vyake halisi.
Naalitakiwa achukue uamuzi kama huo mapema.
 
Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..

Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!
Kidacho cha 4? Mkuu mbona una huruma sana? Kidato cha 4 alipata zero kwa hiyo huyo ni std vii. Darasa la iv pia alifeli akarudia.
 
Wangejifunza kwa Magesa Mulongo alikuwa na majivuno zaidi au kama Makonda lakini siku hizi nasikia anapiga mzinga kitaa . Alifikia akaapa siku ya mashujaa Mwz kuwa kwa gharama yoyote Wenje lazima aondoke mjini . Leo anapiga mzinga mtaani.

Madaraka yanalevya sana kuliko madawa yenyewe ya kulevya
Nini sisi Waafirica hatuna hekima, ukipewa madaraka tumia vizuri.
 
Ikiwa atachukua uamuzi wa kujihudhuru nafasi yake,atakuwa amejitunzia heshima kubwa japo amechelewa kama ni kweli hana vyeti vyake halisi.
Naalitakiwa achukue uamuzi kama huo mapema.
Kwanza anatakiwa kukamatwa kwa kughushi cheti
 
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..
 
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..
Hakuna lolote litakalofanyika. Wenye kuchukua hatua wamepta kigugumizi!
 
Kwa utumbo kweli umekidhi sifa zote .
 
Back
Top Bottom