cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,902
- 78,952
Aheri ingekuwa hivyo ndugu, huyu daudi hada adabu kwa wakubwa zake, na ndoa maana hawezi funga goli
Mmmmmh unamtamani tu au uwe mkewe
Aheri ingekuwa hivyo ndugu, huyu daudi hada adabu kwa wakubwa zake, na ndoa maana hawezi funga goli
Apangiwe kazi kwa elimu ipi na kazi gani labda tumkaribishe kijiweni sisi ndo tumpangie kaziAlikuwa mstari wa mbele kusema ule usemi wa watala kuwa vijana wajiajiri waache uvivu ata kazi ya shoe shine inafaa kwa kijana graduate. Sasa cha kushangaza imegeuka kwake mbigiri zimeota kibaruani kwake sio kwa kumwaga machozi kule. Kumbe ajira tamu sana aisee. Aya tumkaribishe kijiweni ya kupangiwa kazi nyingine.
Ile yake ya zamani ya upiga debe,uchimba mchanga, uchomaji makaa.Apangiwe kazi kwa elimu ipi na kazi gani labda tumkaribishe kijiweni sisi ndo tumpangie kazi
Aanzie hapo hapo!Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..
Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!
nkiki? afya inasumbua? au matembezi tu ya kawaida ya kuosha macho
Afadhali wewe ulipangishiwa chumba manzese bei sio kali yule aliyepangishiwa makongo sijui atarudisha nyumbaAcha wivu.
Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..
Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!
Afrika kusini....Mheshimiwa Rais anarudi....Hashim Mgandilwa anampokea......kifuatacho!!!!!!!Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.
Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.
Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.
Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!
Nawasilisha..
hhahahahhha, haika mbe, haika sangiinchiny........hah haha haa kuore jiwe litakalosalia 😀😀
Safari Koromije moja hiyo...jiji lishamtumbukia nyongo arudi tu kijijini kwao akafanye kilimo na hivi mvua hazinyeshi maji ataita mma.usimdharau aliye chini yako..huijui kesho yake&huijui kesho yako.