Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Safari Koromije moja hiyo...jiji lishamtumbukia nyongo arudi tu kijijini kwao akafanye kilimo na hivi mvua hazinyeshi maji ataita mma.usimdharau aliye chini yako..huijui kesho yake&huijui kesho yako.

Utarudi wewe kijijini kulima, ukiacha kwomba omba. Wivu tiiiiii
 
Bora E-FM...Clouds mmekuwa biased sana hadi kwenye vitu vya msingi kama kwa Hili Swala la Bashite...nyinyi ni Media hamtakiwi kubase upande mmoja....Swala la Bashite hamkuligusia hata kidogo hadi sasa Ametoroka nchini...na anatarajia Kujiuzulu ndo mnajileta leta hapa....kafeni uko....
 
Tunasubiri ajiuzulu ingawa ni ngumu sana kujiwajibisha mwenyewe kisha tuhamie huko Clouds ili kuyachimbua hayo madudu, mara mbindingu madudu yanaanikwa hadharani bila utetezi ebo.
 
Nimeipenda hii na ni kweli tupu. Big up Mkuu.

Huyo rais mwenyewe naye Bashite vilevile.

Unafikiri imekuwaje mpaka Bashite kapita kuwa mkuu wa mkoa kama nchi haina proper vetting kuangalia background checks?

Kitoto kimezaliwa 1982 tu juzi hapa watu wanashindwa kufanya background check?

Angekuja muhuni kazaliwa 1947 kweusi space huko hata pa kuanzia wangeweza?
 
Huyo RC wa Arusha anajulikana tabia zake ni wale wale nae ajiandae na background checks ni mjuaji sana akipewa dar tunaanza nae kama wateule wa Trump wanasumbuliwa baada ya kupata uwaziri.
Hahaaaaaaaaa
 
Vonix mie nishaanza background check!
Halafu,akija mkuu wa mkoa mwenye hekima na busara kitapungua nini?
Kama kuleta wakuu wa mikoa "wakali na wapenda kiki" kuupunguza kasi upinzani kushafeli kupitia Makonda,je kutawezekana kwa Gambo,aliyemshindwa Lema!
Hivi kweli Chama changu kinashindwa pata uungwaji mpaka kuwatumia mikuu wa mikoa walio vihiyo?
It is enough!
 
Safari Koromije moja hiyo...jiji lishamtumbukia nyongo arudi tu kijijini kwao akafanye kilimo na hivi mvua hazinyeshi maji ataita mma.usimdharau aliye chini yako..huijui kesho yake&huijui kesho yako.
Alikuwa mstari wa mbele kusema ule usemi wa watala kuwa vijana wajiajiri waache uvivu ata kazi ya shoe shine inafaa kwa kijana graduate. Sasa cha kushangaza imegeuka kwake mbigiri zimeota kibaruani kwake sio kwa kumwaga machozi kule. Kumbe ajira tamu sana aisee. Aya tumkaribishe kijiweni ya kupangiwa kazi nyingine.
 
Back
Top Bottom