Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Pole ya nini, kuna lililo haribika na uongo wenu mnaousambaza?

Nakupa pole wewe kwa kufata mkumbo wa wenye maslahi yaliyoguzwa. Ni kama wengi hamjajitambua
asa si aweke vyeti kama anasingiziwa.
 
Vyeti vilipotea. Punguzeni udaku. Kama vyeti mali wekeni vya Mr. Sugu, Mboe na Mbunge wa Stendi ya mkoa.
 
Uongozi ni busara!
Kwangu mimi huyo kijana wa arusha sio kiongozi bora..kiongozi aliyeweka akili muda wote kupambana na wapinzani wake huyo hafai hata kidogo!

Unatakiwa uwaze ni kwajinsi gani utatatua matatizo ya mkoa wako kwa kushirikiana na watu wa mkoa wako na sio kuwaza jinsi gani nitaonekana mimi ndio mchapakazi na hawa wengine waonekane wavivu!

Wale maadui watatu kwa mujibu wa Hayati baba wa taifa hawajaisha hadi tuanze kuwahitaji watu wanaowaona watanzania wenzao kama maadui zao kwasababu ya tofauti zao za kisiasa!
Sasa donta Dar hapa unafkiri ataeza pambana na nani?
 
Muuza unga ni mama yako . Vita ya madawa ya kulevya inaongozwa na Tume sio Makonda. Msifiche uhalifu wa vyeti kwenye suala la Madawa.


Umeshajiuliza wadhifa wa Mkuu wa Mkoa? Basi jiulize tena, then njoo uropoke nikusahihishe.
 
Kuna watu wengine hawalali bashite bashite bashite yaan hata haimuuhusu mtu ila kwasabab tu kuna mdomo basi mtu anasema weee mpaka povu huyo hajasoma labda ni kwl au uongo wereva atajua mwenyewe angalau ana ujasiri wa kusimamia anachokiamini angalau ametaja neno madawa ya kulevya hadharani Paul makonda ndo aliipa kiki ishu ya dawa za kulevya! Asingetaja mtu unadhan ishu ile ingepaa? Mara ngapi moshi ulikuwa unafunikwa? Yeye akaufungulia...wote tukasikia harufu hao waliosoma sijaona aliyewapa jambijambi wauza madawa kama makonda tuache kunyoosheana vidole ingekuwa una mtt kama TID ungemuelewa makonda..kila mtu ana dark side yake wewe mwenyewe unayo hakuna mkamilifu bali Mungu ,let's be positive.
 
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..
Mkuu hiyo kesho bado haijafika au?
 
Hata huyo gambo akija hapa lazma atii utaratibu. This is Dar es salaam bana
 
Back
Top Bottom