Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Bora E-FM...Clouds mmekuwa biased sana hadi kwenye vitu vya msingi kama kwa Hili Swala la Bashite...nyinyi ni Media hamtakiwi kubase upande mmoja....Swala la Bashite hamkuligusia hata kidogo hadi sasa Ametoroka nchini...na anatarajia Kujiuzulu ndo mnajileta leta hapa....kafeni uko....
Fox News
 
Hajiuzuru MTU, Daudi kujiuzuru ni sawa na fisi anapo subiria mkono udondoke auokote
 
Nina was was utakuwa chunguNi , maana nimepita jirani na magogoni nikanusa

Bashite out
Gambo DSM
Yule Dogo mpenda media wa kinondoni kaenda Arusha

Daahh ,sorry Mkuu nilikuwa ndotoni ,ngoja tusubiri kesho , nione kama nimekuwa Yusuph MZEE wa ndoto
Huyo Gambo atakimbizwa kama mbwa mwizi, jiji la wenye pesa hili
 
Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..

Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!
Kidato cha 4 kapata zero kwahiyo atakua hana tofauti na mtu wa std 7 .
 
okay ngoja niendelee kufuatilia hii muvi ambayo stering wake anaelekea ku rip
 

Attachments

  • f506afaf71afa96d373cfeb145e1bf1e.gif
    f506afaf71afa96d373cfeb145e1bf1e.gif
    382.9 KB · Views: 52
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..
Sijaelewa umeandika nini!
Siku nyingi hebu andika kwa utulivu na umakini ili wasomaji waweze kuelewa bandiko lako.
Acha haraka za ku-post
 
Sijaelewa umeandika nini!
Siku nyingi hebu andika kwa utulivu na umakini ili wasomaji waweze kuelewa bandiko lako.
Acha haraka za ku-post
Wewe amka ukaoge urudi usome tena. Hujaelewa nini hapo!!?
 
Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..

Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!
bora angerisiti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
okay ngoja niendelee kufuatilia hii muvi ambayo stering wake anaelekea ku rip
hahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji9] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Taarifa nilizozipata sasa ni kua Daudi Albert Bashite vyeti vyake alivisahau south Africa ,ndio kaenda kuvifuata, ( jokes)
 
Back
Top Bottom