- Thread starter
- #101
Ila kuna kitu mnakoseaga sana aise. Matusi ya nini? Kila mtu ana imani yake anayoona ni sahihi kwake. Tatizo kubwa la upande wanaomuamini Mungu, ni kutaka kukonvinsi wengine wamuamini. Ukiwauliza sababu za kumuamini, hawana. Ukiwapa vigezo vya kutokuwepo kwake,hawataki.Kenge ni baba na mama yako waliozaa punguani kama wewe usiyefikiri sawasawa.
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Unafosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.
Idiot.
Sasa basi, mada hizi nadhani ni kwa ajili ya kubadilishana mawazo,matusi hayasaidii jamani.