Au huenda Mungu nae wa mchongo wazee!!!!

Vipi nachangan'ya Adam na Hawa si ndoo tunakufamisha ki elimu ili upate akili hahaha, maisha yote duniani yalitoka kwa babu mmoja linaungwa mkono na mistari mingi ya ushahidi kutoka kwa taaluma mbalimbali za kisayansi. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia uelewa huu. Mfano
ushahidi wa Genetic evidence.
Universal Genetic code, all known living organisms use the same genetic code, which suggests a common origin. This code is nearly universal, with only minor variations in some organisms.

Kufanana kwa DNA na RNA na vingine inaonyesha kwamba viumbe vyote vinashiriki kwenye same genetic, majority of our genetic code is identical. Hata hivyo zipo zipo tofouti ni ndogo sana..
Hakuna sayansi inayosema binadamu alitokana na Adamu.

Hakuna sayansi inayosema binadamu aliumbwa na Mungu.
 
Vipi nachangan'ya Adam na Hawa si ndoo tunakufamisha ki elimu ili upate akili hahaha, maisha yote duniani yalitoka kwa babu mmoja linaungwa mkono na mistari mingi ya ushahidi kutoka kwa taaluma mbalimbali za kisayansi. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia uelewa huu. Mfano
ushahidi wa Genetic evidence.
Universal Genetic code, all known living organisms use the same genetic code, which suggests a common origin. This code is nearly universal, with only minor variations in some organisms.

Kufanana kwa DNA na RNA na vingine inaonyesha kwamba viumbe vyote vinashiriki kwenye same genetic, majority of our genetic code is identical. Hata hivyo zipo zipo tofouti ni ndogo sana..
Sasa, mkienda kisomi zaidi, mnatuacha na kutupoteza. Tukiongelea yanayoonekana na yaliyo wazi, kuna viashilia vya uwepo wa huyo msela, ni limbwata tu tulilolishwa na wahuni furani, kwa masrahi yao binafsi.

Ukianza ya Genetics na adam na Hawa, hapo na mi ntauliza kiaina hiyo, ilikuwaje wakadanganywa na nyoka, huku wameumbwa kwa kufanana Mungu na kupewa akili, na Mungu huyo anajua anaenda kuwajaribu, na kuwatesa! Aliumba watu ili wateseke?

Je, leo hii, watu wana rangi za ngozi tofauti. Je, mnaweza niambia kwa nini sote hatufanani? Na kwa nini wengine matajiri, wengine mafukara! Huyo Mungu atakuwa na upendeleo sasa.
 
1751477124504.png
 
Nyoka gani hizo ni hadithi tu aliye wadangan'ya ni shetani.

Utajiri ni bahati nasibu hata genetic drift ni bahati nasibu pia.
 
Kila binadamu amezaliwa na wazazi wake.

Hakuna binadamu wa mwanzo.

Hakuna binadamu wa mwanzo kwa binadamu wote.

Kila binadamu ana mwanzo wake mwenyewe.

Na hili linathibitika kwa utofauti wa rangi zetu na vinasaba🧬 vyetu.

Kama kungekuwa na binadamu wa mwanzo kwa binadamu wote basi binadamu wote tungefanana vinasaba na rangi zetu kwa sababu tungekuwa tumetokana na binadamu mmoja tu.

Lakini sivyo, Binadamu tuna tofautiana, kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wajapani, wachina, wafilipino, waarabu, wahindi weusi, wahindi weupe n.k

Sasa kwa huu utofauti uliopo, Haiwezekani kwamba tuwe tumetokana na binadamu mmoja tu wa mwanzo.

Kwa hivyo, Hakuna binadamu wa mwanzo wa watu wote ulimwengu.

Habari za uwepo wa binadamu wa mwanzo kwa binadamu wote ni myths tu.
Inawezekana na wewe umeleta stor za myths so one one.

Story za kale zaidi zinazoelezea kwa usahihi na detail na sababu ya uwepo wa Binadamu katika history ni Sumerian Tablets only.
 
Nakuuliza hivi 👇

Kama kila kitu kina origin, Je hiyo origin ya kila kitu ilitokea wapi?
Dini: Kila kitu kiliumbwa na Mungu, origin ya Mungu, Mungu sio kitu.

Sayansi: Big bang theory, origin ya big bang, ni homework yako, jisomee. 👇🏽👇🏽👇🏽

https://www.uwa.edu.au/study/-/media/Faculties/Science/Docs/Evidence-for-the-Big-Bang.pdf

What Is the Big Bang Theory?

NASA Science (.gov)
The Big Bang - NASA Science

Hauamini kuhusu dini, sawa, sio lazima kuamini, unaweza kupotezea, mambo ya imani sio ya kulazimishana.

Haukubaliani na Sayansi. Prove them wrong, hivyo ndivyo Sayansi inavyotaka, sio kupinga tu bila facts na data.
 
Mwanasayansi gani alishuhudia hiyo Big-Bang ikitokea?

Aliye introduce hiyo theory ya Big-Bang alikuwepo wakati wa hiyo Big-Bang?

Nini kilisababisha Big-Bang kutokea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom