Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,220
- 30,801
Hapo itakuwa nilitype by mistake hio si issue ya kumiza kichwa sana, unless uwe mjinga tu unatafuta point ndio utaona issue kubwa 😄
Hakuna sehemu yeyote nilikwambia gravity kuna aliyeiona.Mimi nilisomea chini ya mti sawa lakini hukujibu swali langu la gravity nani aliwahi kuiona gravity
Nimekwambia tunaweza kupima gravity.
Acceleration due to gravity can be measured.
Gravity na Hewa haviaminiwi.naona unaruka ruka tu kama nyani. Kuhusu kuipima hakuna aliye kuja na correct results. Ingawa nguvu ya gravity ni moja wapo ya nguvu nne za kimsingi katika physics, na effects zake huzingatiwa kwa urahisi. Kupima gravity yenyewe moja kwa moja ni changamoto ngumu wewe jidangan'ye tu.
Wanasayansi hutumia njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kutumia torsion balances and gravimeters, nguvu za uvutano na effects zake, lakini kupata result ya msingi ya G (the gravitational constant) kwa ukweli bado wako mbali sana na bado ni shida kubwa ambayo haijatatuliwa katika physics.
Wewe nakuambia ni mnafiki tu huna unalo lijua, vipi unamini vitu bado mpaa leo wanasumbuka kupata results za uhakika. Kama wewe unataka mpaa umuone Mungu wewe uliwahi kuiona gravity eti tunaipima kichaa kweli kweli.
Hata hewa huioni lakini unaoamini ipo ndio na mimi simuoni Mungu namini yupo. Mfano Meteorologists, who are scientists specializing in the study of weather, use various tools and methods to observe waither je wanaweza kusema leo mvua itashuka 💯 hakuna haiwezekani na hata wakisema leo mvua haitashuka na badaye inashuka, we huoni wana bahatisha tu, sio kila kitu lazima Scientist wakudangan'ye na wewe uamini hakuna aliye Perfect isipo kuwa Mungu tu.
Gravity na Hewa si mambo ya imani.
Gravity na Hewa vinajulikana vipo na vinapimika.
Huyo Mungu wako hayupo kwa namna yoyote ile. Haonekani, Hashikiki, Hasikiki na hapimiki.
Huyo Mungu ni mawazo uchwara tu ya kufikirika na kusadikika.