Au huenda Mungu nae wa mchongo wazee!!!!

Kila binadamu amezaliwa na wazazi wake.

Hakuna binadamu wa mwanzo.

Hakuna binadamu wa mwanzo kwa binadamu wote.

Kila binadamu ana mwanzo wake mwenyewe.

Na hili linathibitika kwa utofauti wa rangi zetu na vinasaba🧬 vyetu.

Kama kungekuwa na binadamu wa mwanzo kwa binadamu wote basi binadamu wote tungefanana vinasaba na rangi zetu kwa sababu tungekuwa tumetokana na binadamu mmoja tu.

Lakini sivyo, Binadamu tuna tofautiana, kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wajapani, wachina, wafilipino, waarabu, wahindi weusi, wahindi weupe n.k

Sasa kwa huu utofauti uliopo, Haiwezekani kwamba tuwe tumetokana na binadamu mmoja tu wa mwanzo.

Kwa hivyo, Hakuna binadamu wa mwanzo wa watu wote ulimwengu.

Habari za uwepo wa binadamu wa mwanzo kwa binadamu wote ni myths tu.
Vipi hakuna binadamu wa mwanzo hahaha, kila kitu kina mwanzo wake nani aliye muumba binadamu? Kama binadamu hakumbwa vipi afe? unaposema sema binadamu wanaziliana wenyewe hio ni issue ingine kabisa na pia nilisha kuambia hawezi binadamu kupata mtoto kwa shahawa tu bila mkono wa Mungu, wangapi wanawake wanamwagiwa shahawa na wanaume zao na hawawezi shika mimba kwa sababu gani, narudia tena tulizaliana vipi kama hakuna binadamu wa mwanzo.

Kuhusu kuwa tofouti kama sote tumetoka kwa Adamu we labda huelewi genetic drift ndio sababu upo kwenye giza. Binadamu wote tumetoka kwa Adam we endelea kubisha tu.

Na hi ardhi au tuseme dunia na mbingu vipi zilijijenga zenyewe au kuna aliye zijenga. Sa aliye zijenga ni nani.
 
Vipi hakuna binadamu wa mwanzo hahaha,
Je ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na mwanzo?
Kila kitu kina mwanzo wake.
Kama kila kitu lazima kiwe na mwanzo wake, Hata huyo Mungu lazima awe na mwanzo wake.

Huyo Mungu hawezi kuwepo tu, from nowhere.

Huyo Mungu haiwezekani atokee tu from nothing.

Kufanya EXEMPTION kwa Mungu asiwe na chanzo, Hiyo ni logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.
nani aliye muumba binadamu?
Binadamu hawaumbwi.

Binadamu wanazaliwa, kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hakuna binadamu aliyeumbwa.

Hili swali tayari nilishakujibu lakini bado huelewi.
Kama binadamu hakumbwa vipi afe?
Kufa na kuzaliwa ndio nature(asili) ilivyo.

Hatuwezi kuishi milele kwa sababu kama hatufi, Tutazaliana kwa wingi na kuwa wengi sana duniani, kiasi kwamba hata sehemu za kuishi zitaisha.

Kutakuwa na msongamano mkubwa wa watu na viumbe kiasi kwamba hata huduma za kijamii zitakuwa shida kwa wingi wa watu.

Hivyo ili watu wengine wapate nafasi ya kuishi lazima wengine wafe. Na ndio maana tunakufa ili kuwapatia nafasi viumbe wengine waishi.
unaposema sema binadamu wanaziliana wenyewe hio ni issue ingine kabisa na pia nilisha kuambia hawezi binadamu kupata mtoto kwa shahawa tu bila mkono wa Mungu,
Hii ni logical fallacy ya non-sequitur.

Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

Shahawa hazihitaji uwepo wa huyo Mungu. Upatikanaji wa mtoto hauhitaji uwepo wa huyo Mungu.

Ni wewe tu unajaribu kupachika na kufosi imani zako za huyo Mungu kuzihusisha na shahawa.

Nenda kasome zaidi kuhusu logical fallacies.
wangapi wanawake wanamwagiwa shahawa na wanaume zao na hawawezi shika mimba kwa sababu gani,
Sababu za mwanamke kutoshika mimba zipo nyingi sana.

Kwani hukusoma Biology?

Nenda kasome Biology itafute sababu mbalimbali za kwa nini wanawake hawashiki mimba.

Hakuna uhusiano wowote wa mimba na uwepo wa Mungu.
narudia tena tulizaliana vipi kama hakuna binadamu wa mwanzo.
Tunazaliana kupitia kujamiiana.

Sexual intercourse.
Kuhusu kuwa tofouti kama sote tumetoka kwa Adamu we labda huelewi genetic drift ndio sababu upo kwenye giza. Binadamu wote tumetoka kwa Adam we endelea kubisha tu.
Unasema binadamu wote tumetoka kwa Adamu kwa sababu ndivyo ulivyo aminishwa kwenye Biblia.

Hata mwislamu atakwambia binadamu wote tumetoka kwa Allah kwa sababu ndivyo alivyo aminishwa na Quran .

Zote hizi ni imani mbili zisizo na uthibitisho wowote ule.

Hakuna uthibitisho wala ushahidi wowote ule wa binadamu wa kwanza kuwa ni Adamu.

Kwa hiyo kusema kwamba binadamu wote tumetoka kwa Adamu ni uongo.

Unajaribu kufosi imani zako za kwenye vitabu vya dini zisizo na ukweli wala uthibitisho wowote ule.
Na hi ardhi au tuseme dunia na mbingu vipi zilijijenga zenyewe au kuna aliye zijenga. Sa aliye zijenga ni nani.
Kama kila kitu lazima kiwe kimefanywa na fulani, Hata huyo Mungu lazima awe amefanywa na fulani.

Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa, hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.

Mungu huyo haiwezekani atokee tu from nowhere.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kimeumbwa, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havijaumbwa na havihitaji muumbaji.
 
Je ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na mwanzo?

Kama kila kitu lazima kiwe na mwanzo wake, Hata huyo Mungu lazima awe na mwanzo wake.

Huyo Mungu hawezi kuwepo tu, from nowhere.

Huyo Mungu haiwezekani atokee tu from nothing.

Kufanya EXEMPTION kwa Mungu asiwe na chanzo, Hiyo ni logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.

Binadamu hawaumbwi.

Binadamu wanazaliwa, kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hakuna binadamu aliyeumbwa.

Hili swali tayari nilishakujibu lakini bado huelewi.

Kufa na kuzaliwa ndio nature(asili) ilivyo.

Hatuwezi kuishi milele kwa sababu kama hatufi, Tutazaliana kwa wingi na kuwa wengi sana duniani, kiasi kwamba hata sehemu za kuishi zitaisha.

Kutakuwa na msongamano mkubwa wa watu na viumbe kiasi kwamba hata huduma za kijamii zitakuwa shida kwa wingi wa watu.

Hivyo ili watu wengine wapate nafasi ya kuishi lazima wengine wafe. Na ndio maana tunakufa ili kuwapatia nafasi viumbe wengine waishi.

Hii ni logical fallacy ya non-sequitur.

Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

Shahawa hazihitaji uwepo wa huyo Mungu. Upatikanaji wa mtoto hauhitaji uwepo wa huyo Mungu.

Ni wewe tu unajaribu kupachika na kufosi imani zako za huyo Mungu kuzihusisha na shahawa.

Nenda kasome zaidi kuhusu logical fallacies.

Sababu za mwanamke kutoshika mimba zipo nyingi sana.

Kwani hukusoma Biology?

Nenda kasome Biology itafute sababu mbalimbali za kwa nini wanawake hawashiki mimba.

Hakuna uhusiano wowote wa mimba na uwepo wa Mungu.

Tunazaliana kupitia kujamiiana.

Sexual intercourse.

Unasema binadamu wote tumetoka kwa Adamu kwa sababu ndivyo ulivyo aminishwa kwenye Biblia.

Hata mwislamu atakwambia binadamu wote tumetoka kwa Allah kwa sababu ndivyo alivyo aminishwa na Quran .

Zote hizi ni imani mbili zisizo na uthibitisho wowote ule.

Hakuna uthibitisho wala ushahidi wowote ule wa binadamu wa kwanza kuwa ni Adamu.

Kwa hiyo kusema kwamba binadamu wote tumetoka kwa Adamu ni uongo.

Unajaribu kufosi imani zako za kwenye vitabu vya dini zisizo na ukweli wala uthibitisho wowote ule.

Kama kila kitu lazima kiwe kimefanywa na fulani, Hata huyo Mungu lazima awe amefanywa na fulani.

Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa, hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.

Mungu huyo haiwezekani atokee tu from nowhere.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kimeumbwa, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havijaumbwa na havihitaji muumbaji.
Tatizo we unafaninisha muumba na waumbwa hilo ndio kosa viumbe vyote vinarejea kwa Muumba, Mwenyezi Mungu, Aliyeumba kila kitu. Hakuna aliyemuumba Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu ameumba kila kitu isipokuwa yeye. We kama huamini Mungu hayo ni matatizo yako.

Binadamu wa kwanza kaumbwa kutokana na udongo, wengine wamezaliwa kutokana na shahawa lakini zikifika kule kwenye uzazi wa mwanamke hiyo process Mungu ndio anahusika mpaa binadamu kuzaliwa inaitwa
physical processes as tools used by God.

Naona mimi na wewe tuko mbali kabisa kimawazo we endelea kuamini hakuna Mungu na shahawa peke yake ndio zimekuleta duniani na umezaliwa we bila kuhusika kwa Mungu.

Mimi wacha niamini kila kitu kimeumbwa na Mungu kuanzia ardhi, mbingu na vilioma ndani yake. Mimi namini bila Mungu mimi nisingekuwepo duniani.
 
Tatizo we unafaninisha muumba na waumbwa hilo ndio kosa viumbe vyote vinarejea kwa Muumba, Mwenyezi Mungu, Aliyeumba kila kitu.
Kwanza, Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu. Unafosi tu uwepo wake.

Pili, Hujathibitisha viumbe kuumbwa na huyo Mungu.

Unaleta hadithi za vitabuni zisizo na uthibitisho wowote ule.
Hakuna aliyemuumba Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu ameumba kila kitu isipokuwa yeye. We kama huamini Mungu hayo ni matatizo yako.
This kind of fallacy is called special pleading fallacy.

Unafanya EXEMPTION kwa Mungu asiwe na chanzo, Halafu unaanza kufosi binadamu wawe na chanzo.

Unachofanya wewe ni kutetea imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.
Binadamu wa kwanza kaumbwa kutokana na udongo,
Thibitisha.
wengine wamezaliwa kutokana na shahawa lakini zikifika kule kwenye uzazi wa mwanamke hiyo process Mungu ndio anahusika mpaa binadamu kuzaliwa inaitwa
physical processes as tools used by God.

Naona mimi na wewe tuko mbali kabisa kimawazo we endelea kuamini hakuna Mungu na shahawa peke yake ndio zimekuleta duniani na umezaliwa we bila kuhusika kwa Mungu.
Huyo Mungu akiaminiwa anafaidika nini?

Huyo Mungu asipoaminiwa anapungukiwa nini?

Huyo Mungu kama anataka kuaminiwa na binadamu wote, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?

Huyo Mungu kama haihitaji kuaminiwa, Unachohangaika kumwamini ni nini?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Mimi wacha niamini kila kitu kimeumbwa na Mungu kuanzia ardhi, mbingu na vilioma ndani yake. Mimi namini bila Mungu mimi nisingekuwepo duniani.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Kuamini ni uhuru wako wa kikatiba kabisa.

Lakini ukidai hicho unacho kiamini ni ukweli lazima uthibitishe.

Kwa hiyo kabla hujasema Mungu ndio muumbaji wa dunia, Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
 
Kwanza, Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu. Unafosi tu uwepo wake.

Pili, Hujathibitisha viumbe kuumbwa na huyo Mungu.

Unaleta hadithi za vitabuni zisizo na uthibitisho wowote ule.

This kind of fallacy is called special pleading fallacy.

Unafanya EXEMPTION kwa Mungu asiwe na chanzo, Halafu unaanza kufosi binadamu wawe na chanzo.

Unachofanya wewe ni kutetea imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.

Thibitisha.

Huyo Mungu akiaminiwa anafaidika nini?

Huyo Mungu asipoaminiwa anapungukiwa nini?

Huyo Mungu kama anataka kuaminiwa na binadamu wote, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?

Huyo Mungu kama haihitaji kuaminiwa, Unachohangaika kumwamini ni nini?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?

Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Kuamini ni uhuru wako wa kikatiba kabisa.

Lakini ukidai hicho unacho kiamini ni ukweli lazima uthibitishe.

Kwa hiyo kabla hujasema Mungu ndio muumbaji wa dunia, Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Nimeisha kuambia kila mmoja afate anavyo ona sawa, sina time kubishana na unavyo waza wewe.
 
Sio huna muda wa kubishana na mimi.

Sema huna hoja za kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wako unaye hangaika kumuelezea na kumtetea.

Mungu anayetetewa na binadamu ni Mungu mchovu, dhaifu na goigoi sana.

Mungu anayeshindwa kujitetea mwenyewe ni Mungu wa kutengenezwa na binadamu.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe, ajitetee na kujiongelea kama ana huo uwezo.

Sio wewe unahangaika kumuelezea na kumtetea.

Hakuna Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Huyo Mungu wako kama yupo, Ajitokeze ani prove wrong.
 
Sio huna muda wa kubishana na mimi.

Sema huna hoja za kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wako unaye hangaika kumuelezea na kumtetea.

Mungu anayetetewa na binadamu ni Mungu mchovu, dhaifu na goigoi sana.

Mungu anayeshindwa kujitetea mwenyewe ni Mungu wa kutengenezwa na binadamu.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe, ajitetee na kujiongelea kama ana huo uwezo.

Sio wewe unahangaika kumuelezea na kumtetea.

Hakuna Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Mungu huwezi kumuona sababu ukimuona unakufa ndio mana hakuna binadamu atakae muona. Sa faida yake ipi we umuone afu unakufa pale pale. Anaye kuambia Mungu ni dhaifu lazima atakuwa kichaa tu kama wewe. Mimi na uhakika binadamu hawezi hata kupumua bila ya Mungu wacha mengine.
 
Mungu huwezi kumuona sababu ukimuona unakufa ndio mana hakuna binadamu atakae muona.
Kama Mungu haonekani, Ulijuaje yupo?

Kama Mungu haonekani, Unathibitishaje yupo?

Kama Mungu haonekani, Ni binadamu gani alimuona akajua yupo?

Kama hakuna, Huoni kwamba hata huyo Mungu hayupo?
Sa faida yake ipi we umuone afu unakufa pale pale. Anaye kuambia Mungu ni dhaifu lazima atakuwa kichaa tu kama wewe. Mimi.na uhakika binadamu hawezi hata kupumua bila ya Mungu wacha mengine.
Mimi simwamini huyo Mungu na nina pumua vizuri tu.

Kuna watu waamini Mungu wako hospitalini na wanasali na kumwamini huyo Mungu kila kukicha wakifunga na kuomba, Lakini wana pumulia mipira.

Na wengine wanakufa kabisa, Na huyo Mungu unayedai kwamba anajalia pumzi hasaidii chochote hadi mauti zinawafika.

Sasa huyo Mungu wako, anasaidia kupumua nini?
 
Kama Mungu haonekani, Ulijuaje yupo?

Kama Mungu haonekani, Unathibitishaje yupo?

Kama Mungu haonekani, Ni binadamu gani alimuona akajua yupo?

Kama hakuna, Huoni kwamba hata huyo Mungu hayupo?

Mimi simwamini huyo Mungu na nina pumua vizuri tu.

Kuna watu waamini Mungu wako hospitalini na wanasali na kumwamini huyo Mungu kila kukicha wakifunga na kuomba, Lakini wana pumulia mipira.

Na wengine wanakufa kabisa, Na huyo Mungu unayedai kwamba anajalia pumzi hasaidii chochote hadi mauti zinawafika.

Sasa huyo Mungu wako, anasaidia kupumua nini?
Mungu kama huna imani vipi utamini yupo? Tatizo wewe huna imani hata Shetani anajua kuna Mungu wewe unatuambia hakuna Mungu.

Hizo ndoto zako zipeleke kwa wajinga sio kwangu. Mungu huwezi muona sababu hana size ya kuingia ndani ya duniani, sababu yeye kaiumba hi dunia sa vipi aingie ndani ya kitu kakiumba ili tumuone au hahaha.

Kufa ni time imeisha pangwa wewe huna guarantee utaishi mpaa kesho unayo, hiyo guarantee huna, hawa wagonjwa wanaweza wakaishi wewe ukazikwa kabla yao.
 
Mungu kama huna imani vipi utamini yupo?
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Tutahakikisha vipi hiyo imani yako ya uwepo wa Mungu ni ukweli?

Kwanza Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu. Unafosi imani zako uchwara za vitabuni tu.
Tatizo wewe huna imani hata Shetani anajua kuna Mungu wewe unatuambia hakuna Mungu.
Hakuna Shetani.

Hakuna Mungu.

Mungu na shetani wote ni fictional characters.
Hizo ndoto zako zipeleke kwa wajinga sio kwangu.
Huna hoja unaleta viroja.

Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Hujathibitisha uwepo wa Shetani.

Una rukaruka tu.
Mungu huwezi muona sababu hana size ya kuingia ndani ya duniani, sababu yeye kaiumba hi dunia sa vipi aingie ndani ya kitu kakiumba ili tumuone au hahaha.
Ulimuona huyo Mungu akiumba dunia?

Unathibitisha vipi Mungu aliumba dunia?

Au unaleta hadithi zako za kwenye hekaya za Biblia ulizopumbazwa na kuaminishwa?
Kufa ni time imeisha pangwa wewe huna guarantee utaishi mpaa kesho unayo, hiyo guarantee huna, hawa wagonjwa wanaweza wakaishi wewe ukazikwa kabla yao.
Kufa kila mtu atakufa.

Hata wewe unayemwamini Mungu bado utakufa tu.

Kwa hiyo kumwamini Mungu au kutokumwamini Mungu, Hakuhusiani na kufa.
 
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Tutahakikisha vipi hiyo imani yako ya uwepo wa Mungu ni ukweli?

Kwanza Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu. Unafosi imani zako uchwara za vitabuni tu.

Hakuna Shetani.

Hakuna Mungu.

Mungu na shetani wote ni fictional characters.

Huna hoja unaleta viroja.

Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Hujathibitisha uwepo wa Shetani.

Una rukaruka tu.

Ulimuona huyo Mungu akiumba dunia?

Unathibitisha vipi Mungu aliumba dunia?

Au unaleta hadithi zako za kwenye hekaya za Biblia ulizopumbazwa na kuaminishwa?

Kufa kila mtu atakufa.

Hata wewe unayemwamini Mungu bado utakufa tu.

Kwa hiyo kumwamini Mungu au kutokumwamini Mungu, Hakuhusiani na kufa.
Tatizo lako hufahamu unauliza kuna mtu kamuona Mungu nimeisha kujibu hakuna aliye muona Mungu akaishi katika binadamu na pia Mungu ukubwa wake ni zaidi ya dunia na mbingu wewe macho yako hayawezi kumuona yeye ndiye anatuona. Kifo hakihusiku na kumuamini Mungu au kutokumuamini Mungu lakini anaye chukua roho yako anapewa amri na Mungu kuja chukua roho yako utayaona hayo siku ukifa.
 
Tatizo lako hufahamu unauliza kuna mtu kamuona Mungu nimeisha kujibu hakuna aliye muona Mungu akaishi katika binadamu na pia Mungu ukubwa wake ni zaidi ya dunia na mbingu wewe macho yako hayawezi kumuona yeye ndiye anatuona.
Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, Kwa nini unaelezea kitu ambacho hakijawahi kuonekana?

Huoni kwamba unadanganya kwa kuelezea kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuonekana?

Mungu hajawahi kuonekana, Wewe unajidai kumuelezea as if ushawahi kumuona!!

Huoni kwamba una elezea illusion zako tu?
Kifo hakihusiku na kumuamini Mungu au kutokumuamini Mungu lakini anaye chukua roho yako anapewa amri na Mungu kuja chukua roho yako utayaona hayo siku ukifa.
Bado Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu. Unafosi tu uwepo wake.

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
 
Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)

Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!

Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Kwani hujui kuwa sentensi yako inaonyesha ni ya vuguvugu
 
Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, Kwa nini unaelezea kitu ambacho hakijawahi kuonekana?

Huoni kwamba unadanganya kwa kuelezea kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuonekana?

Mungu hajawahi kuonekana, Wewe unajidai kumuelezea as if ushawahi kumuona!!

Huoni kwamba una elezea illusion zako tu?

Bado Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu. Unafosi tu uwepo wake.

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Wewe usiye amini Mungu maishani mwako, unaweza kutupa dalili vipi Mungu hayupo na ulienda wapi kumtafuta mpaka ukapata dalili đź’Ż hakuna Mungu. God is not meant to be perceived through physical senses but rather through faith, reason, and the signs in creation. Tatizo lako unajaribu kuchukua mbinu ya kisayansi na kuitumia kwenye mambo ambayo hayakukusudiwa si ndio hapo unazidi kujichangan'ya.
 
Wewe usiye amini Mungu maishani mwako, unaweza kutupa dalili vipi Mungu hayupo na ulienda wapi kumtafuta mpaka ukapata dalili đź’Ż hakuna Mungu.
Mungu hayupo popote pale.

Kama unabisha, Thibitisha Mungu yupo.

Na yupo wapi?
God is not meant to be perceived through physical senses but rather through faith, reason, and the signs in creation.
These are just human's arguments with no evidences.

They are just claims with no proofs.

The fact that an almighty God and all powerful God needs humans like you to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.

If that God exists let him come to speak for himself and defend himself.
Tatizo lako unajaribu kuchukua mbinu ya kisayansi na kuitumia kwenye mambo ambayo hayakukusudiwa si ndio hapo unazidi kujichangan'ya.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Imani inaweza kuwa hata ya uongo.

Sasa unathibitishaje kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli?

Tutahakikisha vipi hiyo imani yako ya uwepo wa Mungu ni ukweli na si uongo?

Kwanza Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu.
 
Mungu hayupo popote pale.

Kama unabisha, Thibitisha Mungu yupo.

Na yupo wapi?

These are just human's arguments with no evidences.

They are just claims with no proofs.

The fact that an almighty God and all powerful God needs humans like you to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.

If that God exists let him come to speak for himself and defend himself.

Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Imani inaweza kuwa hata ya uongo.

Sasa unathibitishaje kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli?

Tutahakikisha vipi hiyo imani yako ya uwepo wa Mungu ni ukweli na si uongo?

Kwanza Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Waje kwanza watueleze Mungu wa Israel,anaependa watu wake, alivyowaacha wakadondokewa na makombola kutoka Iran. Hilo ni tukio moja tu. Kama yupo,na hana msaada kwa watu wanaoitwa wake,wanaoteseka, ana faida gani? Wanaompigia debe,utakuta ni wale wasio na changamoto yoyote. Mungu ni kila tukio lililoshindikana.

Haya, kama kweli yupo na anaweza, iweje kundi la watu waamini uwepo wake,wengine wasimuamini? Ikiwa ni kweli, nae mbaguzi tu.
 
Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)

Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!

Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Anajua ww ulitaka Mungu afanyaje
 
Mungu hayupo popote pale.

Kama unabisha, Thibitisha Mungu yupo.

Na yupo wapi?

These are just human's arguments with no evidences.

They are just claims with no proofs.

The fact that an almighty God and all powerful God needs humans like you to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.

If that God exists let him come to speak for himself and defend himself.

Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Imani inaweza kuwa hata ya uongo.

Sasa unathibitishaje kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli?

Tutahakikisha vipi hiyo imani yako ya uwepo wa Mungu ni ukweli na si uongo?

Kwanza Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Dah kaz tena ukweli
Mungu yupo utake usitake yupo

Jitafakari aliyekuumba alf unasema hayupo?
 
Naona unarudia zile zile nyimbo nimekuliza wewe unayesema hakuna Mungu ulienda anapo kaa ukaona hayupo.
 
Dah kaz tena ukweli
Mungu yupo utake usitake yupo
Huku si kujenga hoja bali kufosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.

Thibitisha Mungu yupo na ulijuaje yupo?
Jitafakari aliyekuumba alf unasema hayupo?
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.

Mungu hayupo.

Huyo Mungu kama yupo, ajitokeze mwenyewe ajitetee na kujiongelea kama ana huo uwezo.

Sio wewe unahangaika kumuelezea na kumtetea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom