Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Sirro na mkulu walishatoa hukumu kwenye vyombo vya habari hawa walipata wapi ujasiri?
Ni jukumu la kanisa kuchunga kondoo zake
 
Hili jambo lipo wazi kabisa kwamba kosa la Mbowe ni kuisumbua Serikali kwa mambo mbalimbali yakiwemo ya janga la Corona na kudai katiba mpya wakati si ajenda ya Serikali ya CCM kwa sasa.

Yote sawa, sasa ndiyo mumpatie UGAIDI ?
“It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all doubt.”
~Mark Twain
 
What I know about the boy from Arumeru, has completely changed the manner in which the Machames are respecting the traditional dynasties. a painful fact but It's an irreversible.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Jibu la hili swali lako la kijinga ni hili:
YOU CAN FOOL SOME PEOPLE FOR SOME TIME, BUT YOU CAN'T FOOL ALL PEOPLE ALL THE TIME!!!
Askofu Shoo ni mrumishi wa Mungu aliye Hai na anapoongea ana maono.
Askofu Shoo amejaribu hata kufafanua kuwa ANAMJUA MBOWE NA AMEKUWA MBUNGE WAKE FOR YEARS NA HAJAWAHI ONA MHE . MBOWE AKIWA NA VIASHIRIA VOVOTE VA KIHAINI!!
Watz wote tunajua Mhe. Mbowe ni MFANYABIASHARA NA MWANASIASA TU, nothing else!!
HILI LA UHAINI LIMETENGEZWA TU NA SERIKALI YA SAMIA KAMA MIPANGO OVU YA KUMMALIZA MHE. MBOWE KISIASA MAANA NDIYE MWANASIASA MACHACHARI TOKA UPINZANI ANAYEISUMBUA CCM. Haya mambo kuna siku Mungu atayaweka hadharani tu. Time gonna tell!
 
Hairuhusiwi kusema chochote wakati kesi ikiwa mahakamani.
Mbona wao wanasema? Hujamsikia Samia akihojiwa na BBC? Au hujamsikia Afande Zero akidai Mbowe siyo malaika??
Watz tuacheni unafika hasa Viongozi wakubwa utatupeleka kubaya!!Leo JPM yuko wapi???Kama kuna Viongozi hawakujifunza kwa JIWE basi nji hii ina laana kubwa!!!!
 
Huyo Askofu si ni Chadema au huwa humuoni akizungumziaga masuala ya Chadema? si ajabu kumtetea Mbowe.
Pambafu!!
Askofu akikemea UOVU unaofanywa na Serikali ya CCM huyo ni CHADEMA...!!
Askofu akimwombea Rais na kuomba Mungu aiponye nji na Corona ni CCM!!
Hii nji ili kufikia Demokrasia ya kweli pana kazi kubwa ya kufanya! Ndo maana swala la KUPATA KATIBA MPYA is inevitable!!!
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Nguvu zimetoka kwenye uhalisia wa mazingira ya kesi yenyewe.
Hii kesi ni mpango mahsusi wa watu wenye nia ovu juu ya haki za watu.
Huwezi jificha kwenye kichaka cha kesi ipo mahakamani ili uendelee kumtesa mtu bila hatia.
Na kama mahakama zitaendelea kuwa mhuri wa serikali kukubali watu wateswe kupitia mgongo wao hata ile imani kidogo iliyobakia kwao itaondoka soon.
 
Wewe wasema. Tabia ya kuita Wanadamu Mungu itakupeleka Moroni. Acha Chuki Binafsi Kwa Mbowe na Shoo. Hawajakunyima hewa hapa duniani. Matatizo ya Mbowe hayakupi Ugalibwala Pesa mfukoni. Muache Askofu Shoo hakujipa Uaskofu.
Ndugu ,ungejibu hoja yangu kwamba hii ni nchi ya sheria.Ndio maana Mbowe kesi yake IPO mahakamani.Kwann huyu sijui mchungaji aingilie?Isitoshe ,siamini katika watu .Naamini Mungu wa mbinguni.Inaonekana unaamini watu sio mungu wako.Huyo mchungaji wako Shoo ni MTU tu kama watu wengine.Amezaliwa kwa sexual intercourse ya Mme na mke.Ni binadamu wa kawaida tu.Kwa hiyo usinipangie cha kuongea kwa kuwa una Mungu Shoo
 
Jibu la hili swali lako la kijinga ni hili:
YOU CAN FOOL SOME PEOPLE FOR SOME TIME, BUT YOU CAN'T FOOL ALL PEOPLE ALL THE TIME!!!
Askofu Shoo ni mrumishi wa Mungu aliye Hai na anapoongea ana maono.
Askofu Shoo amejaribu hata kufafanua kuwa ANAMJUA MBOWE NA AMEKUWA MBUNGE WAKE FOR YEARS NA HAJAWAHI ONA MHE . MBOWE AKIWA NA VIASHIRIA VOVOTE VA KIHAINI!!
Watz wote tunajua Mhe. Mbowe ni MFANYABIASHARA NA MWANASIASA TU, nothing else!!
HILI LA UHAINI LIMETENGEZWA TU NA SERIKALI YA SAMIA KAMA MIPANGO OVU YA KUMMALIZA MHE. MBOWE KISIASA MAANA NDIYE MWANASIASA MACHACHARI TOKA UPINZANI ANAYEISUMBUA CCM. Haya mambo kuna siku Mungu atayaweka hadharani tu. Time gonna tell!
Ningekuwa mimi ni Baba Askofu Shoo NINGESALI na watu waone matokeo
 
Back
Top Bottom