Ndio tuseme Mbowe kapoteza nafasi adhimu nyingine?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,111
115,903
Katika watu wenye bahati kwenye siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe linaweza kuja kuwa la kwanza kabisa. Jamaa ana bahati za aina yake, na kila siku hupata bahati zingine. Cha ajabu kila mara huwa anachezea bahati na kila mara bahati zinamfata!

Mbowe bahati yake ya kwanza ilikuwa kuoa katika familia ya Muasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei. Kupitia ndoa Mbowe akajikuta tu yupo kwenye siasa. Kutoka biashara ya night club hadi siasa kwa bahati sana, wala haikuwa ndoto yake kujiingiza kwenye siasa. Siasa imemfata nyumbani, chama kaletewa na baba mkwe.

Siku Mtei anaacha madaraka CHADEMA kulifanyika uchaguzi, akaja kushinda Bob Makani lakini Mtei akamshawishi Makani amauachie Mbowe kiti, simply sababu waliona chama kinahitaji damu mpya, lakini pia ukweli Mtei aliona chama kitakua salama Kwa "Mkwe" wake.

Kupitia siasa na connection za siasa. Mbowe alitoa biashara ya familia kutoka "Mbowe Club" hadi club Bilicanas na kutoka kukodi jengo la serikali hadi kununua na kujenga lingine kubwa.

Mwaka 2005 wakati Kikwete anataka kugombea Urais, Mbowe akapata "Bahati" ingine. Kikwete akawa tayari kuhamia CHADEMA iwapo CCM hawatampitisha. Alipopitishwa na CCM, CHADEMA wakabaki marafiki zake sana, na Kikwete akawa mmoja wa Marais wachache ambao anawaita wapinzani hadi Ikulu, TV zinawapa airtime, ruzuku za kutosha n.k.

Wale "CCM hardliners" kila wanapojaribu kulazimisha wapinzani washughulikiwe wanakuta Kikwete na Hayati Sitta wakati ule "Wanawalinda wapinzani" ilifikia mahali hadi Samuel Sitta akaweka kanuni kuwa kamati zote Bungeni ziongozwe na wapinzani, hapa ndio kina Zitto na Halima Mdee wakaibuka.

Cha ajabu ilipofika wakati wa kuweka alliance na Kikwete na Sitta, hiyo "Golden opportunity" wakaikanyaga sana, Mbowe akaacha chama kiingiliwe na 'wanaharakati' wasiojua siasa; Dr. Slaa na Tundu Lissu na agenda zikawa kila mara zinabeba sura ya wanaharakati, hadi mavazi wakaja na gwanda; yaani more militant than "Political movements".

Chama kika invest kwenye maandamano na kumwaga sumu majukwaani, hakuna kabisa "Behind the scene compromise". Hata Mbowe yeye mwenyewe akionekana kutaka kufanya political deals anaelemewa na "wanaharakati ". Chama kikafukuza kila mwenye mawazo tofauti; Kitila Mkumbo, Zitto, Silinde na wengine, hadi sasa wapo mahakamani na kina Halima.

Licha ya Kikwete na Sitta kuwapa nafasi ya kutosha, mashambulizi pia yaliwapata, ilipokuja wakati wa Bunge la katiba mpya, Mbowe akafanya kosa lingine kubwa sana kihistoria; kuwaacha "Wanaharakati ambao wengine kumbe walikuwa mamluki" kushirikiana na mamluki wa vyama vingine na kususia Katiba mpya, badala ya kukomaa angalau basi ipatikane Tume huru ya uchaguzi.

Alipokuja Magufuli, Mbowe na wengine walipata adhabu kubwa sana, kesi na kufungwa kila mara kiasi wakati Samia anaingia, Mbowe akapata bahati ingine kuubwa ya kuitwa Ikulu peke yake, bila hata wanasiasa wengine wa upinzani ili kuleta maridhiano na kuelekea Katiba Mpya.

Hii hali iliwaumiza sana wanasiasa mbalimbali wa CCM na upinzani. Wanasiasa CCM waliona Mbowe amepata ukaribu sana na Ikulu kuwazidi wao, anaweza kuutumia kwa faida yake kisiasa. Wakati upinzani wengine waliona hata kwanini CHADEMA peke yao, na kwanini Mbowe peke yake?

Ghafla tu mara wanaharakati wale wale waharibifu, wasio na heshima wakaanza tena vurugu za kukipush tena chama, muelekeo wa harakati na sio chama cha siasa. Matusi tuliyoshuhudia na tunayoshuhudia inaonekana wazi wanaharakati wamekiteka tena chama na siasa haipewi kipaumbele, ni "Kumwaga sumu" na "Kuwachana" watawala.

Siasa imewekwa mbali, wanaharakati ndio wanaongoza chama, ajabu wanaharakati wale wale waliokimbia chama wakaenda kula maisha na CCM ndio hawa hawa wanarudi na kukiteka tena chama na kusambaza chuki badala ya kufanya siasa.

Inaonekana Mbowe kashindwa kabisa kuwacontrol wanaharakati na sasa siasa za maridhiano kuelekea Katiba mpya ndio zinakufa taratibu. Je, hizi golden opportunity zitakuja tena?
 
Katika watu wenye bahati kwenye siasa za Tanzania...Jina la Freeman Mbowe linaweza kuja kuwa la kwanza kabisa....jamaa ana bahati za aina yake....na kila siku hupata bahati zingine..cha ajabu kila mara huwa anachezea bahati na kila mara bahati zinamfata......

Mbowe bahati yake ya kwanza ilikuwa kuoa katika familia ya Muasisi wa Chadema...Edwin Mtei.....kupitia ndoa Mbowe akajikuta Tu yupo kwenye siasa...
Kutoka biashara ya night club Hadi siasa Kwa bahati sana...wala haikuwa ndoto yake kujiingiza Kwenye siasa...siasa imemfata nyumbani,chama kaletewa na Baba mkwe......
Siku Mtei anaacha madaraka Chadema...kulifanyika uchaguzi...akaja kushinda Bob Makani...lakini Mtei akamshawishi Makani amauachie Mbowe kiti simply sababu waliona chama kinahitaji damu mpya lakini pia ukweli Mtei akiona chama kitakua salama Kwa "Mkwe" wake...
Kupitia siasa na connection za siasa..Mbowe alitoa biashara ya familia kutoka "Mbowe Club" Hadi club Bilicanas na kutoka Ku rent jengo la serikali Hadi kununua na kujenga lingine...kubwa.....
Mwaka 2005 wakati Kikwete anataka kugombea Urais..Mbowe akapata "Bahati" ingine.. Kikwete akawa tayari kuhamia Chadema iwapo Ccm hawatampitisha...alipo pitishwa na Ccm ,Chadema wakabaki marafiki zake sana...na Kikwete akawa mmoja wa Ma Rais wachache ambao anawaita wapinzani Hadi Ikulu...TV zinawapa airtime...Ruzuku za kutosha n.k......
Wale "Ccm hardliners" kila wanapojaribu kulazimisha wapinzani washughulikiwe...wanakuta Kikwete na Marehemu sitta wakati ule "wanawalinda wapinzani"... ilifikia mahali Hadi Samuel Sitta akaweka kanuni kuwa kamati zote Bungeni ziongozwe na wapinzani...hapa ndo kina Zitto wakaibuka na kina Halima...cha ajabu ilipofika wakati wa kuweka alliance na Kikwete na Sitta ..hiyo "Golden opportunity" wakaikanyaga sana...Mbowe akaacha chama kiingiliwe na 'wanaharakati" wssiojua siasa...Dr Slaa na Tundu Lissu....na agenda zikawa kila mara zinabeba Sura ya wanaharakati..Hadi mavazi wakaja na gwanda ...yaani More militant than "political movements ".....chama kika invest kwenye maandamano na kumwaga sumu majukwaani...hakuna kabisa "behind the scene compromise "...hata Mbowe yeye mwenyewe akionekana kutaka kufanya political deals anaelemewa na "wanaharakati "....chama kikafukuza kila mwenye mawazo tofauti...Kitila Mkumbo, Zitto,Kina Silinde na wengine...Hadi sasa wapo mahakamani na Kina Halima.....licha ya Kikwete na Sitta kuwapa nafasi ya kutosha...mashambulizi pia yaliwapata ...ilipokuja wakati wa Bunge la katiba mpya....Mbowe akafanya kosa lingine kubwa Sana kihistoria...kuwaacha "wanaharakati ambao wengine kumbe walikuwa mamluki"kushirikiana na Mamluki wa vyama vingine na kususia "katiba mpya"..badala ya kukomaa angalau basi ipatikane Tume huru ya uchaguzi......
Alipokuja Magufuli Mbowe na wengine walipata adhabu kubwa Sana ..Kesi ,na kufungwa kila mara ...kiasi wakati Samia anaingia..Mbowe akapata Bahati ingine kuubwa....Kuitwa Ikulu peke yake bila hata wanasiasa wengine WA upinzani...kuleta maridhiano na kuelekea Katiba Mpya.....
Hii Hali iliwaumiza Sana wanasiasa mbalimbali...wa ccm na upinzani...
Wa ccm waliona Mbowe amepata ukaribu Sana na Ikulu kuwazidi wao...anaweza kuutumia Kwa faida yake kisiasa....wa upinzani wengine waliona hata kwanini Chadema peke yao..na kwanini Mbowe peke yake??....ghafla Tu mara wanaharakati wale wale waharibifu wasio na heshima wakaanza tena vurugu...za kukipush tena chama muelekeo wa harakati na sio chama cha siasa....matusi tuliyoshuhudia na tunayo shuhudia inaonekana wazi wanaharakati wamekiteka tena chama.....na siasa haipewi kipaumbele...ni "kumwaga sumu" na "kuwachana" watawala...siasa imewekwa mbali... wanaharakati ndo wanaongoza chama.... ajabu wanaharakati wale wale waliokimbia chama wakaenda Kula maisha na Ccm ndo hawa hawa wanarudi na kukiteka tena chama na kusambaza chuki badala ya kufanya siasa....... inaonekana Mbowe kashindwa kabisa kuwa control wanaharakati....na sasa siasa za maridhiano kuelekea katiba mpya ndo zinakufa taratibu....je hizi golden opportunity zitakuja tena,.??...

Pia ongelea gharama. Opportunity haiji pasipo gharama,
 
Wacha kupotosha, Chadema hawapewi ruzuku na serikali kwasababu Kikwete alikuwa rafiki wa Mbowe, wanapewa ruzuku kwasababu wanakidhi takwa la kisheria.

Mbowe anaitwa ikulu kwasababu ya nguvu alizonazo binafsi, na ushawishi mkubwa kilichonacho chama anachokiongoza, kuitwa ikulu hakuji kwa bahati kama unavyosema, kunakuja baada ya msukumo wanaoupata mamlaka pale wanapojaribu kwenda kinyume cha sheria, mfano. Mbowe alipofungwa jela miezi sita na Samia kwa uonevu.

Samia hakupenda kumuita ikulu, lakini ilimlazimu kufanya vile baada ya kuona shinikizo lililokuwepo kutoka nje, akashindwa kuziba masikio, mwisho akatiii amri, kwasababu ni yeye aliyesema mwanzo "ukinipara nitakuparua", akijiona "mungu mtu", asijue nje kuna nguvu zaidi asiyoitarajia ambayo ingemchafulia utawala wake, ambao sasa ni wazi umefitinika.

Lastly, kuwalaumu Dr. Slaa na Lissu kwa kuwaita wanaharakati, utambue hizo harakati zinasababishwa na mjinga asiyetaka kusikia anachoambiwa licha ya kukosea, anasema wazi ameziba masikio, huyo ndie anayesababisha zitafutwe njia tofauti za kumfikishia ujumbe, hilo sio kosa la Dr. Slaa au Lissu.
 
Kuna kusimama imara kwenye KANUNI ZA MSINGI za chama cha siasa na kuna kutafuta FURSA ZA KUKUBALIKA na wenye mamlaka.

You either stand firm on party/ideological principles or compromise for political expediency.

Sidhani kama Mbowe angepania kukamatia hizo “golden chances” kama unavyoziita (compromises, actually), CHADEMA ingekuwa na nguvu ilizonazo miaka yote hii hadi leo ambapo wana mbunge mmoja tu. Wote tunajua Mbowe hakuitwa Ikulu peke yake kwa upendeleo tu. His party has unrivalled political clout in Tz.

Mara nyingi watawala wa CCM na propagandists wao wamekuwa wakitamani sana CHADEMA i-compromise. Yaani iwe “completely compromised”. Yaani ilegee kabisa (kama mlenda) kiasi cha kutokuwa na nguvu kisiasa nchini. “Sadly”, it hasn’t happened, yet.

Kwa bahati mbaya sana inaelekea Mbowe ama si mjinga kiasi hicho au hana mamlaka ya kudhibiti misimamo ndani ya chama kama alivyo mwenyekiti wa CCM. Na bahati mbaya zaidi, harakati ni mkakati muhimu sana wa siasa za upinzani duniani kote hasa kwenye nchi zinazoongozwa kidikteta; ambapo katiba na sheria zinapuuzwa na watawala. Hivyo kuwepo wanaharakati CHADEMA ni jambo la asili.
 
CDM haina hata diwani lakini inaogopwa sn na CCM
 
Katika watu wenye bahati kwenye siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe linaweza kuja kuwa la kwanza kabisa. Jamaa ana bahati za aina yake, na kila siku hupata bahati zingine. Cha ajabu kila mara huwa anachezea bahati na kila mara bahati zinamfata!

Mbowe bahati yake ya kwanza ilikuwa kuoa katika familia ya Muasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei. Kupitia ndoa Mbowe akajikuta tu yupo kwenye siasa. Kutoka biashara ya night club hadi siasa kwa bahati sana, wala haikuwa ndoto yake kujiingiza kwenye siasa. Siasa imemfata nyumbani, chama kaletewa na baba mkwe.

Siku Mtei anaacha madaraka CHADEMA kulifanyika uchaguzi, akaja kushinda Bob Makani lakini Mtei akamshawishi Makani amauachie Mbowe kiti, simply sababu waliona chama kinahitaji damu mpya, lakini pia ukweli Mtei aliona chama kitakua salama Kwa "Mkwe" wake.

Kupitia siasa na connection za siasa. Mbowe alitoa biashara ya familia kutoka "Mbowe Club" hadi club Bilicanas na kutoka kukodi jengo la serikali hadi kununua na kujenga lingine kubwa.

Mwaka 2005 wakati Kikwete anataka kugombea Urais, Mbowe akapata "Bahati" ingine. Kikwete akawa tayari kuhamia CHADEMA iwapo CCM hawatampitisha. Alipopitishwa na CCM, CHADEMA wakabaki marafiki zake sana, na Kikwete akawa mmoja wa Marais wachache ambao anawaita wapinzani hadi Ikulu, TV zinawapa airtime, ruzuku za kutosha n.k.

Wale "CCM hardliners" kila wanapojaribu kulazimisha wapinzani washughulikiwe wanakuta Kikwete na Hayati Sitta wakati ule "Wanawalinda wapinzani" ilifikia mahali hadi Samuel Sitta akaweka kanuni kuwa kamati zote Bungeni ziongozwe na wapinzani, hapa ndio kina Zitto na Halima Mdee wakaibuka.

Cha ajabu ilipofika wakati wa kuweka alliance na Kikwete na Sitta, hiyo "Golden opportunity" wakaikanyaga sana, Mbowe akaacha chama kiingiliwe na 'wanaharakati' wasiojua siasa; Dr. Slaa na Tundu Lissu na agenda zikawa kila mara zinabeba sura ya wanaharakati, hadi mavazi wakaja na gwanda; yaani more militant than "Political movements".

Chama kika invest kwenye maandamano na kumwaga sumu majukwaani, hakuna kabisa "Behind the scene compromise". Hata Mbowe yeye mwenyewe akionekana kutaka kufanya political deals anaelemewa na "wanaharakati ". Chama kikafukuza kila mwenye mawazo tofauti; Kitila Mkumbo, Zitto, Silinde na wengine, hadi sasa wapo mahakamani na kina Halima.

Licha ya Kikwete na Sitta kuwapa nafasi ya kutosha, mashambulizi pia yaliwapata, ilipokuja wakati wa Bunge la katiba mpya, Mbowe akafanya kosa lingine kubwa sana kihistoria; kuwaacha "Wanaharakati ambao wengine kumbe walikuwa mamluki" kushirikiana na mamluki wa vyama vingine na kususia Katiba mpya, badala ya kukomaa angalau basi ipatikane Tume huru ya uchaguzi.

Alipokuja Magufuli, Mbowe na wengine walipata adhabu kubwa sana, kesi na kufungwa kila mara kiasi wakati Samia anaingia, Mbowe akapata bahati ingine kuubwa ya kuitwa Ikulu peke yake, bila hata wanasiasa wengine wa upinzani ili kuleta maridhiano na kuelekea Katiba Mpya.

Hii hali iliwaumiza sana wanasiasa mbalimbali wa CCM na upinzani. Wanasiasa CCM waliona Mbowe amepata ukaribu sana na Ikulu kuwazidi wao, anaweza kuutumia kwa faida yake kisiasa. Wakati upinzani wengine waliona hata kwanini CHADEMA peke yao, na kwanini Mbowe peke yake?

Ghafla tu mara wanaharakati wale wale waharibifu, wasio na heshima wakaanza tena vurugu za kukipush tena chama, muelekeo wa harakati na sio chama cha siasa. Matusi tuliyoshuhudia na tunayoshuhudia inaonekana wazi wanaharakati wamekiteka tena chama na siasa haipewi kipaumbele, ni "Kumwaga sumu" na "Kuwachana" watawala.

Siasa imewekwa mbali, wanaharakati ndio wanaongoza chama, ajabu wanaharakati wale wale waliokimbia chama wakaenda kula maisha na CCM ndio hawa hawa wanarudi na kukiteka tena chama na kusambaza chuki badala ya kufanya siasa.

Inaonekana Mbowe kashindwa kabisa kuwacontrol wanaharakati na sasa siasa za maridhiano kuelekea Katiba mpya ndio zinakufa taratibu. Je, hizi golden opportunity zitakuja tena?
Nimejaribu kukupa heshima na kusoma hii hadithi ndefu lakini sikuona lolote la maana!
Kwani wewe unatakaje!? Unachohitaji ni nini hasa!?
 
No offence kaka ila nilidhani utaandika facts instead umeandika riwaya ambayo practicaly haina direction.
 
na book space
P
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom