Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

Walileta move kwenye kikao cha maaskofu wa KKKT kuunga mkono CHADEMA na mgombea Lowasa, sababu ni KKKT mwenzao, lakini maaskofu wachache wenye akili kama Malasusa waligoma, kilichofuata ni kujenga chuki dhidi yao! Huyo ndiye Shoo.
Hivi si uchaguzi wao ndio walihongana mapesa?
 
Mbowe ni malaika hakksei wala hajawahi kukosea na kuna siku alinguka akiwa amelewa chakari bado nyumba wakawa wanamtetea
Kuwa kashambuliwa na wasiojulikana
Una matatizo sana, ila kama wew ni ccm you are right, si wajua wanaccm huwa hawana.....
 
UKIWAACHA UMEWAOGOPA UKIWACHUKULIA HATUA UMEWAONEA (THE VICTIM CARD)
Hivi wewe kwa akili yako unafikir kuna watu special sana kutawala hii nchi? Kuna maana gani ya kuwa na taratibu na katiba ambayo sirikali hawaifuati? Unawaacha kwa matakwa yako? Unawachukulia hatua kwa matakwa yako?Acheni ujinga, utashi wa mtu haufai kuongoza nchi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mada iliyoko mezani si nani anatawala wala katiba mpya- usitupeleke huko.
Wewe na wenzako nadhani furaha yenu ni kuona tuna rais Mchaga na muumini wa KKKT- rejea project ya Lowassa iliyoshindwa. Muwe na subira kama hamtaki kusubiri hamieni mwezini
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Unaikumbuka case ya rwakatare?
Unakumbuka alichosema mwigulu bungeni juu ya kesi ile?
Unakumbuka leo rwakatare yupo wapi?
Unaweza Kula njama na kumsababishia majeraha mtu?
Gaidi ni nani?
Alilipua kituo gani cha mafuta? Kiko wapi???? Kinamilikiwa na nani?
 
Majibu ya maswali yako yako mbele yako MAHAKAMANI
 
Hata kwa mtu mwenye akili ndogo unagundua pasi na shaka kuwa pale hakuna kesi zaidi ya upotevu wa raslimali za taifa
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Swali: SSH na Sirro walipata wapi guvu za kumhukumu Mbowe kuwa ni gaidi?
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Unadhani intelegensia ya kanisa tena KKKT ni Ndogo kiasi hiki?!!...Kuna Mawaziri,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wabunge,wakuu wa mikoa,wanaccm,cut,act, etc waumini wa KKKT au unadhani ni kama makanisa ya kuigiza!!... KKKT ni moja ya Taasisi kubwa hapa Nchini au hili Unataka ufundishwe pia!!!..
 
HIVI MOJAWAPO YA SIFA YA KUWA TAGA NI LAZIMA UWE KILAZA?!
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Mkuu umesema ameiTUHUMU. Hukusema ameiHUKUMU.

Unajua tofauti ya kati ya kutuhumu na kuhukumu? Serikari inamtuhumu Mbowe. Ni mahakama ndiyo itamuhukumu.
Kama Baba Askofu amekosea tutayajua mahakama ikitoa humumu.
 
Hawa siyo Maaskofu wa Kujipachika. Archana nao kabisaa Kwa kuwa huwezi hata kufunga Gidamu ya Viatu vyao. Kawakebehi hao uliowazoea huko
Ndugu ,ungejibu hoja yangu kwamba hii ni nchi ya sheria.Ndio maana Mbowe kesi yake IPO mahakamani.Kwann huyu sijui mchungaji aingilie?Isitoshe ,siamini katika watu .Naamini Mungu wa mbinguni.Inaonekana unaamini watu sio mungu wako.Huyo mchungaji wako Shoo ni MTU tu kama watu wengine.Amezaliwa kwa sexual intercourse ya Mme na mke.Ni binadamu wa kawaida tu.Kwa hiyo usinipangie cha kuongea kwa kuwa una Mungu Shoo.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Hapo Kuna Askofu au Kuna mhuni aliyejifanya Askofu!??
 
Hili jambo lipo wazi kabisa kwamba kosa la Mbowe ni kuisumbua Serikali kwa mambo mbalimbali yakiwemo ya janga la Corona na kudai katiba mpya wakati si ajenda ya Serikali ya CCM kwa sasa.

Yote sawa, sasa ndiyo mumpatie UGAIDI ?
 
Wewe unapata wapi nguvu ya kumpinga Baba Askofu Dr Shoo ambae ni Mkuu wa KKKT na Mkuu wa CCT.

Huyu si Askofu Rashid au Nabii Geodav
Shoo mwenyewe hakuona uzinzi wa mbowe sasa unadhani ataona hilo?
 
Unadhani intelegensia ya kanisa tena KKKT ni Ndogo kiasi hiki?!!...Kuna Mawaziri,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wabunge,wakuu wa mikoa,wanaccm,cut,act, etc waumini wa KKKT au unadhani ni kama makanisa ya kuigiza!!... KKKT ni moja ya Taasisi kubwa hapa Nchini au hili Unataka ufundishwe pia!!!..
Kwa hiyo?
 
Back
Top Bottom