Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,670
- 13,150
Sirro na mkulu walishatoa hukumu kwenye vyombo vya habari hawa walipata wapi ujasiri?Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Ni jukumu la kanisa kuchunga kondoo zake