Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

nadhani muda si mrefu chadema watakuja na mume wa kwanza wa josephine kuelezea alivyoibiwa mke muvi bado mbichi kabixaaaa

Upumbavu huo wanauweza CCM tu CDM hawana huo musa watu wako site wanasaka KURA
 
Aseme leo, si ameandaa mwenyewe shughuri sasa anakimbia wapi tena? na mie nina swali kwake, tunataka kujua kanisa lake linahusiana vipi na siasa za CDM/Ukawa, na je ni sahihi kama taasisi ya kidini kuhusika akitivuli katika siasa?

..siku nyingine msiyatume mapepo hayawezi kumshinda mtumishi wa Mungu.!
NB: yani Dr mihogo leo anaendeshwa na riz 1!!kweli dunia sio mbaya walimwengu ndio wabaya aaah sio walimwengu bana mapepo ndio wabaya.!!!
 
hivi ni kwa nini mlinzi wa chama usiku ule alimtelekeza dr mihogo barabarani?
 
Mda mrefu anautumia kutuambia mambo ya familia ya dr slaa wakati ya kwake naye tunayajua na kina mbasha,,, jibu hoja gwajima tupé uthibitisho kwa nini hawa maaskofu 30 hawakuchukua mlungura?? wale viapo na wewe kula kiapo mbele za Mungu kama hukusema hayo maneno ,, dr alikuwa jasiri siku nyingi kuyasema haya kabla hata 2015 leo eti mnakuja kutuambia tatizo urais,, kwani dr slaa ameanza kumuita leo LOWASSA fisadi?? Gwajima hiyo ngoma huiwezi tunakuona kituko au mkurupukaji tu kama lissu,, ndio wale mliitwa vifaranga na ZZK,, sio bure ila kuna shida mahali inawasukuma lakini ni muda ndio utasema,, GWAJIMA leo amekuwa lulu na watanzania mnamsikiliza wakati enzi zile watu wako msituni wanapambana yeye alikuwa bize na kanisa lake,, hana jasho wala damu kwenye harakati hizi za kujikomboa baadala yake tunamuona kama kibaraka tu,, slaa ametoka jasho na damu kwenye hizi harakati na wengine mlikuwa mkila tu keki ya taifa kwa kuchangisha waumini wenu eti leo mko Mbele kuwakebehi mtu kama dr slaa... Jibu hoja gwajima na kutengeneza ushahidi utakaofanya watu wakuamini na si hizi sinema..


Gwajima hakwenda kujibu ishu za Ufisadi kwa sababu sio ishu aliyoshambuliwa kwayo na slaa

Alikua anajibu ishu ya yeye kuitwa mshenga na kuwa yeye ndiye aliyemwombea Lowasa kuingia CHADEMA
 
Gwajima ana cheo gani chadema?
kwanini ni maaskofu tu ndo wanajiingiza kwenye siasa, na hatusikii masheikh na maimamu? what wrong kwenye ukristo?
 
Nimesikia mengi naona hii nchi ni maskofu ndio wamekua wavurugaji na wazia v kama ingelikua mashekhe ndio wanafanya hivi leo vyombo vyote na magazti yangelikua yanandika kuusu waislam kuibgilia maswala ya siasa na . Kuitwa udini
Leo naona tunakua tunapangia urais na viobgozi wanaojiita maskofu maraprotestant mara katolik
Waislam naona borana nyie mzinduke sijawaikuona hali hii kwa mashehe hata siku moja toka nipate ufaham ndani ya nchi yangu
 
Mwaka huu CCM wakii twist ngoma hivi, inawafuata huko huko haiwaachii!

Yaani timbwili timbwili mpaka mwisho ## Mpaka kieleweke!!
 
Dah maskini kamanda kavua gwanda kavaa kanga kweli mwanamke katuvua nguo
 
Siku nitakayorudi kumjibu Slaa akinisemesha, nitasema Slaa alivyokutana na watu wa usalama wa taifa Afrika kusini. Usalama mtapomuongoza tena huyo mtu wenu wenu atukane maaskofu, nitawalipua na bomu na macho yenu hamtafungua tena.

by the way Dr Slaa, Gwajima, Lowasa, magufuri watapita nchi itabaki lazima tufike mahali tuheshimu mamlaka za nchi.
Tatizo ni JK. Alipaswa kuwa mkali kidogo. Ameshusha hadhi ya urais na mamlaka zote za serikali. Yaani yeye kila kitu ni kucheka tu na kugawa vyeo kwa marafiki zake. Matokeo yake ndo haya sasa. Huwezi kujua yupi ni yupi na nchi inakwenda tu kama boya. Rais ajaye atakuwa na kazi kubwa kurudisha hadhi ya taasisi ya urais na taasisi nyinginezo za nchi. Hovyo kabisa!
 
Hiii ya kurekodi waumini wake imekaaje wakuu, siku zikija kuvuja hizo audio watu watapoteana.

Nimwamini nani kama Askofu ananirekodi?
 
watanzania ndoa ya dr slaa sie haituhusu, hayo ni mambo binafsi na kujadili mambo binafisi ya mtu kwenye social media ni upumbavu uliokithiri kila mtu anamapungufu yake kwenye ndoa yake. HAPA KAZI TU.

yale anayo yaongea dr slaa juu ya mtu. Hayo ndio sio upumbavu? Mwiba utokea ulipo ingilia ndugu.

Wacheni dr. Apewe vidonge vyake. Yeye sindio anajidai mtakatifu kuliko wote sasa amekutana na mtoto wa mjini. Anapewa za uso.
 
Teheheheheheh.. mbona una hasira sana bosi!? Slaa ni baba mdogo au mjomba???

Umahiri gani wa kumwambia mtumishi mwenzie wa Mungu mpumbavu? mbona hakujibu maswali yake akaanza kujibu wale wanaopata bahasha za Lowasa tu?
 
TanzaniaDaima litaandika :
GWAJIMA AWAACHA WATANZANIA MIDOMO WAZI, AMKAMUA DR SLAA KWEUPE .

Mawio litaandika :
DR SLAA AVULIWA NGUO NA GWAJIMA.

Mwanahalisi:
KICHWA CHA DR SLAA, DEREVA WAKE NI MKEWE - GWAJIMA.

Uhuru litaandika:
~gwajima awavua nguo UKAWA.

~asema dr magufuli atashinda kwa 95%
 
Back
Top Bottom