NGOMAYAMPWITA
Member
- Aug 23, 2015
- 32
- 19
Kina mama kumbe wana nguvu namna hii halafu mnataka 50 50 njia rahisi kuwanyamazisha kina mama hawa turuhusu ushoga watakoma kuingilia mambo ya kiume
Kiongozi wa kiroho anazungumzia matatizo ya ndoa za watu kwasababu ya siasa ......Alafu badala ya kuja kukanusha maswali ya Dr Slaa anakuja kusema mambo ya ndani ....haya ndio matatizo ya uaskofu wa kupeana na mkeo .....maadili zero ....
Maghufuli awaambia Wakazi wa Tanga kua HATAWAANGUSHA!!Uhuru???
Pilipili inawasha.. lkn huwezi zunguka soko zima ukaikosa.
Ila sasa wote washakua tatizo!!Lissu alisema tatizo ni mama slaa yeye hakuwa na tatizo ila josephine eeh........ ni shidaaaaaa
hivi Gwajima ni nani wa kuzungumza nawananchi wakamsikiliza....!!
mkutano wa gwajima waandishi wameonekana kumshangilia Lowasa na kuamua kumzomea muuliza swali ambaye hakupangwa pale alipombana gwajima! Huyu mtu analitakia nini taifa hili?
Only in Tanzania mtu mwenye kesi mahakamani anaweza kufanya haya. Nchi ya ajabu sana hii!
Upumbavu ni kuamini kila asemacho Gwajima
Hiii ya kurekodi waumini wake imekaaje wakuu, siku zikija kuvuja hizo audio watu watapoteana.
Nimeamini nani kama Askofu ananirekodi?
gwajima ana cheo gani chadema?
kwanini ni maaskofu tu ndo wanajiingiza kwenye siasa, na hatusikii masheikh na maimamu? what wrong kwenye ukristo?