Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Aseme leo, si ameandaa mwenyewe shughuri sasa anakimbia wapi tena? na mie nina swali kwake, tunataka kujua kanisa lake linahusiana vipi na siasa za CDM/Ukawa, na je ni sahihi kama taasisi ya kidini kuhusika akitivuli katika siasa?

Alikuwa ni rafiki wa Lowassa tangu akiwa CCM. Kwenye mkutano wa kutangaza nia wa Lowassa, Gwajima alienda. Mbona hapo hujasema km alikuwa anajihusisha na CCM?
 
Mda mrefu anautumia kutuambia mambo ya familia ya dr slaa wakati ya kwake naye tunayajua na kina mbasha,,, jibu hoja gwajima tupé uthibitisho kwa nini hawa maaskofu 30 hawakuchukua mlungura?? wale viapo na wewe kula kiapo mbele za Mungu kama hukusema hayo maneno ,, dr alikuwa jasiri siku nyingi kuyasema haya kabla hata 2015 leo eti mnakuja kutuambia tatizo urais,, kwani dr slaa ameanza kumuita leo LOWASSA fisadi?? Gwajima hiyo ngoma huiwezi tunakuona kituko au mkurupukaji tu kama lissu,, ndio wale mliitwa vifaranga na ZZK,, sio bure ila kuna shida mahali inawasukuma lakini ni muda ndio utasema,, GWAJIMA leo amekuwa lulu na watanzania mnamsikiliza wakati enzi zile watu wako msituni wanapambana yeye alikuwa bize na kanisa lake,, hana jasho wala damu kwenye harakati hizi za kujikomboa baadala yake tunamuona kama kibaraka tu,, slaa ametoka jasho na damu kwenye hizi harakati na wengine mlikuwa mkila tu keki ya taifa kwa kuchangisha waumini wenu eti leo mko Mbele kuwakebehi mtu kama dr slaa... Jibu hoja gwajima na kutengeneza ushahidi utakaofanya watu wakuamini na si hizi sinema..

..kama huyo babu katoka jasho na damu ndio aachwe tu mawazo ya demu wake ayapeleke ofisini chadema sio,km akili zako fupi sn ni vizuri utulie usome michango ya wengine..
Gwajima karekodi everything sijui unalialia nn? kutumika kubaya yani sshv yule mzee yuko uchiii sababu ya mashetani ya demu wake.!!
 
Gwanjima kasema ukweli, magamba njooni tena na Dr slaa wenu awalipue kabisa...
 
Uko Sahihi Mkuu Mimi Ni Mpaka Rangi Kucha ,wateja Wangu Wengi Wanapenda niwapake rangi inayofanana na bendera ya chadema Na Si CCM
 
"Roketi Ronja walioitumia kwa Dr. Slaa, marisasi yamemkosa adui, na moto umewaunguza wenyewe" Mshenga Askofu Gwajima
 
Huu uchaguzi strategy zinazotumika si mchezo-Lowassa yuko background halafu wapambe,s are leaving no stone unturned- Kubenea nae mbeya kamaliza kabisa Mwakyembe-yaani CCM sijui watapenya vipi- yaani kama tuko mamtoni vile
 
Hivi watu wanaosema Gwajima kamshumbulia mtu binafsi mlitaka Gwajima ajibu hoja gani za Slaa zaidi ya hizo maana Slaa alimshambulia Gwajima personal zaidi ndio maana na yeye kajibu vile alivyoshutumiwa au mlitaka Gwajima ajibu issue za Richmond? Watanzania bana wakati gwajima anaitwa mshenga na maaskofu walivyoambiwa wamepewa rushwa wala hamkuona kama hizo ni personal attacking..sasa uyo mshenga ndio na yeye kaeleza ilivyokua sijui ata mlitaka Gwajima ajibu vipi. Na Slaa alisema kabisa kuwa Gwajima ndio kamwambia kuwa maaskofu wamehongwa, sasa mlitaka Gwajima ajibu vipi zaidi ya yeye kueleza ilivyokua

Watu ni mizigo hawataki elewaa wala kufahamu....wamekomaa na misimamo yao tu!
 
Sorry mposaji umemjua Lakin? Slaa katika ubora wake
 
Huyu slaa anajiaibisha sana hivi si alikuwaga padri kwani hawezi kurudia tena upadriNisaidieni?
Yaani uwe Padri, tamaa za kidunia zikuingie ujivue u-padre ukatiane weeee na kuzalisha uzalishe (kama ni kweli) kisha ukishatosheka uurudie tena u-padre??? Sijui kama hii inaruhusiwa Malkia wangu!!
 
kwa kifupi yule josephine ni mchawi sana....kamloga mzee wa watu na ukichanganya na laana ya kukimbia wito basi mzee mihogo kachanginyikiwa kabisa
 
ccm tumieni mbinu nyingine...semeni mtaunda serikali ya umoja wa taifa..hii italeta impact....
 
Kimaadili hayupo sawa lakini kwetu sisi hana kosa kwa kutuweka wazi.
Kweli kimaadili siyo sawa, kama vile ilivyokuwa siyo sawa kwa CDM kuongozwa na Katibu ambaye ni first Lady badala ya DR. slaa.
 
waimbeee ngonjera zetu ila watuachie amani ya nchi yetu na pia mwenye maamuzi ya mwisho ni mtanzania na si maneno mengi

Haya ndio yakuzungumza ndugu lakini tukitaka kuegemea kila mtu upande mmoja tutaumana sana.
 
Back
Top Bottom