BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Atajijua
Kalikurupushaje Dude? Hiyo video ni rejea ya Sept 2015. Usidhani ni mpya mtu kaamua kufunua makaburi. Na ukweli ambao haupingiki chanzo cha mvurugano upinzani kwa ujumla ni Lowassa kuhamia Chadema na moja kwa moja kupewa nafasi ya kuwa mgombea kukiwa na watu waliokuwa wamejipanga kwa muda mrefu kwa nafasi hizo.Sawa, tatizo ni kwamba Dr. Slaa mwenyewe alihusika katika kumkaribisha Lowassa na kulingana na watu wake wa karibu alishakubali maamuzi ya kikao. Kumbe huko nyuma first lady in waiting alishachora red line! Lakini tukiyaacha hayo nini hasa lengo la Dr. Slaa katika kutoa matamshi anayoyatoa hivi leo baada ya kuukwaa ubalozi? Kwa nini asichutame tu ale kivulini na kuacha kulikurupusha dude?
Naunga mkono hoja kwa sababu kwa sababu kuna siku nilikutana na Dr. Slaa akiwa na wife tukazungumza kidogo niliuliza kuhusu Eyre kugombea urais 2015, wife ndio alitoa msimamo fulani!. Kwa vile mazungumzo yale yalikuwa sio formal, nayaregard as off the record.
P
Mkuu Kabombe, mbona sijasema alizungumza nini zaidi ya kueleza tuu kuwa tulikutana?.Pasco acha udaku,tutakuogopa hata tukikutana tutashindwa kuongea mambo ya kawaida tu,kwa kuogopa usije kuyatumia huku kama reference
Mkuu Chabusalu, off the record ni kutosema kilichozungumzwa. Lakini watu wata guess ni haki yao. Hii sio mara ya kwanza.Ni off record isiyo off record, nadhani kuna watu watahisi na kupatia nini kilizungumzwa kwenye hiyo "off record"!
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.Pasco acha udaku,tutakuogopa hata tukikutana tutashindwa kuongea mambo ya kawaida tu,kwa kuogopa usije kuyatumia huku kama reference