Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Avae kwanza yeye maana alishavuliwa kitambo na Dr. Bishop uchwara tu huyo. Analeta ushenga kwenye siasa. Ameone viti anavyowauzia waumini TZS 1,000.00 kila ibada hazitoshi. Bishop wa wapi huyu! aliulizwa swali moja tu na Kova, akazimia wiki nzima. Apeleke mahaba yake na Lowassa kanisani kwake lakini sio kwenye siasa za nchi yetu. Mabishop kama hawa hawana tofauti na Kibwetele. waumini wake mwangalieni sana huyu, wenzenu Uganda walichomwa moto.
Futa Povu basi kwenye engo za mdomo..
 
Press Conference ya Askofu Josephat Gwajima itarushwa online live kupitia Ustream kuanzia saa saba kamili Mchana. Bonyeza link hii:

http://www.ustream.tv/channel/18929505

mbona hamna kitu?
 
Back
Top Bottom