Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Huyu mchungaji Ana maswali ya ajabu.....tumsikie

Hatuhitaji hayo anayoyazungumzia huyo,, Tunachohitaji ajibu yale yaliyotoka kwenye mdomo wa dr slaa na sio masuala binafsi ya familia ya dr,, dr alisema LOWASSA ni fisadi kwa sababu a,b na c na gwajima alikuwa mshenga mpaka akasema maaskofu 30 kati ya 34 wamehongwa sasa gwajima anatakiwa ayatolee haya ufafanuzi kwa ushahidi na sio kupiga porojo zilezile za akina mbatia, alete ushahidi kwanini LOWASSA sio fisadi na awalete hao maaskofu wale viapo na si hizi porojo..

Gwajima amejibu kipande cha ushenga kwa Lowassa,na kuhusu ufisadi muhusika alisema mwenye ushahidi aende mahakani,mbn yanazungumzwa majukwaani tu??
 
BAADHI YA NUKUU ZA GWAJIMA KWENYE
PRESS YA LEO.!
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=%22]#" Ni[/URL] kweli mimi ni mshenga kwa sababu Mara
nyingi viongozi sisi Wa kiroho niwapatanishi.
Kama lowasa hakwenda kwa mganga wa kienyeji
akaja kwangu kiongozo wa kiroho ni jambo zuri"
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=%22]#" Baada[/URL] Lowassa kupitishwa kuwa Mgombea
Urais wa CHADEMA, ule usiku Josephine alikataa
kumpokea mumewe nyumbani. Alimwambia
Dr.Slaa rudi Ulipotoka. Dr.Slaa alijitetetea akiwa
ameshika mlango Wa nyumba, lakini Mama
alimfukuza, Dr.Slaa akaenda kulala kwenye gari"
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=%22]#" Ni[/URL] lituma sms nikamwambia Mama naomba
umfugulie baba, Mama akakataa Hadi asubuhi
nilimbembeleza Mama, hatimaye alifungua
Asubuhi"
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=%22]#" Dr.Slaa[/URL] akanitumia sms saa saba na dakika13,
akisema nimeachana na siasa kwa sababu
familia yangu haitaki."
Gwajima anaonesha sms yenyewe kwa waandishi
wa habari, kisha anaendelea,
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=%22]#" Ijaribuni[/URL] hii namba kudhibitisha kama ni ya
Dr.Slaa. (Anawapa waandishi namba ya Slaa).
Mpigieni mdhibitishe kuwa ni yeye kabla
hajabadilisha, maana anaweza kubadilisha kisha
atoke aje akane"
#" [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=%22]#" Ni[/URL] limtafuta tena mke Wa Slaa na kumsihi
amsimbane mumewe, lakini alikataa na akasema
watu wanajua mimi naenda kuwa First Lady, na
nimeshaanza biashara zangu Malysia,
watanionaje"-malisa Godlisten
 
Kwani kamchukua mke wako mkuu? Au una wivu na F Mbasha

Jamaa anapotosha umma. Yeye na dr wote wanafiki tu. huyu anakula hela Za Richmond kutoka kwa Lowassa na huyu mwingine anakula hela za escrow kutoka CCM
 
Alichokisema Lembeli kwamba ukitaka kuona utupu wa kuku subiri upepo. Sasa ule wa mm yetu Mshmbsh huo hapo anao Gwajima. Mimi simo na sheria zenu za makosa ya mitandao.
 
Naomba Mwenye Audio Ya Aliyoyasema Gwajima Leo Atuwekee Tuiskie Maana Wengine Hatujamskia
 
Aseme leo, si ameandaa mwenyewe shughuri sasa anakimbia wapi tena? na mie nina swali kwake, tunataka kujua kanisa lake linahusiana vipi na siasa za CDM/Ukawa, na je ni sahihi kama taasisi ya kidini kuhusika akitivuli katika siasa?

Mbona mnapenda kupotosha? Unasikia nchi haina DINI ila wananchi wanadini unaelewa nini hapo
 
Josephine ndiye adui wa Dr. Slaa. Dr. anaishi umatekani. Mke anamfungia Serena Hotel. Nje kuna ulinzi hatakiwi kuonanana watu wasiopangwa na Ccm pamoja na Josephine. Akitoka anakwenda chini ya usalama wa taifa.

Hapa ni dhahiri hata cha ksuema anaambiwa na siku akileta za kuleta Josephine siyo mtu!.

Sasa ninapata picha pana sana inayoungana na kuleta ukweli usio shaka.

Dr. Slaa yuko umatekani.

Josephine Mshumbusi si binadamu!

Iko namna ya kumkomboa Dr. Slaa kutoka kwa anaconda. Mungu anaweza!.

shikamoo mkuu
 
Haha mkuu punguza hasira, nimemsikiliza mwanzo mwisho ila sijaona mahali alipo tukana TISS labda hapa unaweza nisaidia na mimi nijie mkuu alivyowatukana

Siku nitakayorudi kumjibu Slaa akinisemesha, nitasema Slaa alivyokutana na watu wa usalama wa taifa Afrika kusini. Usalama mtapomuongoza tena huyo mtu wenu wenu atukane maaskofu, nitawalipua na bomu na macho yenu hamtafungua tena.

by the way Dr Slaa, Gwajima, Lowasa, magufuri watapita nchi itabaki lazima tufike mahali tuheshimu mamlaka za nchi.
 
gwajima hakuna cha maana alichokiongea

TULIA WEWE GAMBA!..Kama hakuna cha maana alichokiongea Gwajima MWAMBIE KIBARAKA WENU MNAYEMTUMIA(DR.MIHOGO) AJARIBU KUTOKA HADHARANI NA KUONGEA PUMBA ZAKE TENA AONE HUO UCHAFU WAKE ALIOFANYA KULE SOUTHAFRICA UTAKAVYOWEKWA HADHARANI,ALAFU GWAJIMA NI MTUMISHI SIO MWANASIASA HIVYO KAMA ULITEGEMEA AONGEE KAMA YALE YA SLAA IMEKULA KWAKO...KIZURI NI AMEONGEA KWA UFUPI LAKINI AMEMPA SLAA ONYO! NA KAMA ANABISHA AJITOKEZE TENA KUNENA UPUUZI WAKE ALAFU AONE,ACHA KUSHADADIA USIYOYAJUA "GWAJIMA NI MTU WA KARIBU SANA KWA SLAA" HIVYO ZIPO SIRI NYINGI ANAZIFAHAMU HADI ZA KIMAHUSIANO YA SLAA ILA HATAKIWI KUZIWEKA WAZI MAANA SIO MAADILI YA UASKOFU WAKE!
 
Slaa hana uzoefu na ndoa, na hiyo itamcost milele, tunda la mti wa kati sio la kuanza nalo ukubwani, linataka experience!
 
Back
Top Bottom