CHADEMA overdoing imepoteza ushawishi ndani ya Zanzibar!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,121
Reaction score
31,640
Kamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani.

Dr Wilbrod Slaa na Marehemu Edward lowassa walitambua hili na waliwekeza katika hili.

Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza ushawishi ndani ya visiwa vya Zanzibar....hivyo hakuna namna wanaweza kuikamamata dola kwa kosa hili la kimkakati.
Ni CCM pekee imeweza kubalance ushawishi huu muhimu kwa muda wote
 
Hivi iweje iwe ni lazima kuwa na wanachama bara na visiwani?

Kama wao waliunganisha vyama vyao vya bara na visiwani ni wao.

Ila kulazimisha kila chama ni lazima kiwe na wanachana pande zote ni uonevu kwa sababu tunawajua ndugu zetu wa upande wa pili ni wanafiki.

Sasa Chadema na Zanzibar wapi na wapi??

Wanatuchelewesha sana kwa sheria kandamizi kama hii.
 
Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza ushawishi ndani ya visiwa vya Zanzibar....hivyo hakuna namna wanaweza kuimamata dola kwa kosa hili la kimkakati.
Kuliwahi kutokea wakati wowote katika siasa za Tanzania Chadema iliwahi kuwa na ushawishi wowote wa maana Zanzibar?, wamewahi kuwa na shehia hata moja?, mwakilishi hata mmoja?, mbunge hata mmoja?.
P
 
Walichokipata kikubwa CHADEMA kutoka Zanzibar ni chama chao kufungiwa
 
Kamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani.
Dr Wilbrod Slaa na Marehemu Edward lowassa walitambua hili na waliwekeza katika hili.
Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza ushawishi ndani ya visiwa vya Zanzibar....hivyo hakuna namna wanaweza kuimamata dola kwa kosa hili la kimkakati.
Ni CCM pekee imeweza kubalance ushawishi huu muhimu kwa muda wote
Hoja yako haina mashiko. Katiba yetu haina kima cha chini cha kura za Zanzibar kinachotakiwa ili mgombea atangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea anaweza kupata hata 1% tu ya kura za Zanzibar na bado akawa mshindi wa kiti cha Rais.
 
Kuliwahi kutokea wakati wowote katika siasa za Tanzania Chadema iliwahi kuwa na ushawishi wowote wa maana Zanzibar?, wamewahi kuwa na shehia hata moja?, mwakilishi hata mmoja?, mbunge hata mmoja?.
P
Said issa
 
Hivi kwanini CAF haiandamani tunapoleka timu mbili ndani ya taifa moja

Unajua inafanya nione maisha ni maigizo
 
Hoja yako haina mashiko. Katiba yetu haina kima cha chini cha kura za Zanzibar kinachotakiwa ili mgombea atangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea anaweza kupata hata 1% tu ya kura za Zanzibar na bado akawa mshindi wa kiti cha Rais.
kwani asilimia 1 ni ndogo?
 
Kuliwahi kutokea wakati wowote katika siasa za Tanzania Chadema iliwahi kuwa na ushawishi wowote wa maana Zanzibar?, wamewahi kuwa na shehia hata moja?, mwakilishi hata mmoja?, mbunge hata mmoja?.
P
ndio sababu ya muda wote ya kushindwa na CCM
 
Hivi iweje iwe ni lazima kuwa na wanachama bara na visiwani?

Kama wao waliunganisha vyama vyao vya bara na visiwani ni wao.

Ila kulazimisha kila chama ni lazima kiwe na wanachana pande zote ni uonevu kwa sababu tunawajua ndugu zetu wa upande wa pili ni wanafiki.

Sasa Chadema na Zanzibar wapi na wapi??

Wanatuchelewesha sana kwa sheria kandamizi kama hii.
Muungano ni msingi wa Taifa hili...
 
Zenji haina mvuto kwakua ni sehemu ya mkoa ndani ya tanganyika. Kama ilivyo katavi au manyoni.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwani hao unaowasifia bila kuiba(reference goli la mkono tena wao wenyewe wanaongea waziwazi) na 🔫 wanatoboa?
 
Kamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani.

Dr Wilbrod Slaa na Marehemu Edward lowassa walitambua hili na waliwekeza katika hili.

Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza ushawishi ndani ya visiwa vya Zanzibar....hivyo hakuna namna wanaweza kuikamamata dola kwa kosa hili la kimkakati.
Ni CCM pekee imeweza kubalance ushawishi huu muhimu kwa muda wote
CDM tunapambania uhuru wa Tanganyika toka mikononi mwa wazanzibari
 
Back
Top Bottom