Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Mbona naona kama anaongea umbea uliochanganyikana na ujinga?
Eti anawachimba usalama wa taifa mkwara,huwezi kupambana na TISS ndugu Gwajima.

We si umesema tulioko hapa hatuna kazi? Unakubaliana na mimi kuwa ujauzito wako unakusumbua??? Ni unafiki kuchangia thread hii kwa maneno yako ya awali..............
 
Waandishi nao wananunuliwa labda ndio maana wanashindwa kuuliza maswali ya hivi.

Lowasa na fedha zake wanaitumbukuza nchi vitani, inakuwaje waandishi wanaonyesha wazi kumshangilia na kuzomea wenye mtazamo tofauti? Si kawaida waandishi kushangilia upande wa Lowasa kama vile nao ni wakereketwa! Jamani fedha zinaangamiza taifa! Gwajima ameonyesha wazi analipwa na Lowasa eti ooh Lowasa ananisaidia nikimuita anakuja haraka! Wapi?
 
Gwajima yuko sahihi kabisa au ni sahihi slaa alivyosema maaskofu wamehongwa na lowasa watubu?
 
Gwajima anaonyesha meseji aliyotumiwa na Dr. Slaa kuhusu kustaafu kwake siasa

Gwajima: Kama Dr. Slaa anakaja aje atoke hapa akane aone mambo ya mshenga yalivyo, watu wanashangaa Slaa anaweza kufanya haya! Si yeye ni mama. Slaa alikuwa adili, sasa uzoefu wa ndoa hana, bora sisi wachungaji tunaoa.

Nilimpa maneno ya matumaini, nitamtafuta mkewe niongee nae, nilimtafuta mkewe rose garden. Nilianza mimi kumbembeleza amruhusu baba aendelee na hayo maelezo nimeyarokodi na mimi ni mtu wa kurekodi. Alisema ameshawaambia watu yeye atakuwa first lady, siku iliyofata tarehe 28, nilimuita yule mama Kibo complex.

Tukakaa ndani ya gari yake, nilikuwa mimi na mtu mwingine, niliendelea kurekodi tena. Ilikuwa ni siku Lowassa anapokea kadi bahari beach, nawaonyesha hio sio kwa mumuone Slaa mbaya. Saa nane mchana akasema nimekubali Slaa arudi aingie kazini kwa sharti mkutano wa kumpokea Lowassa ufutwe. Nikamwambia hilo halitatokea milele.

Watu wengi sana wametumwa kuongea na yule mama, akiwemo mzee Ndesamburo ambae alishindwa kumpata yule mama, kumbe yule mama anaongea kwa karibu sana na mchungaji Max hivyo akampeleka Ndesa.

Mchungaji Max:-Ilifika mahali chama kiliacha majukumu yote kumpata yule mama kuongea na Ndesamburo, yule mama alisema CHADEMA wanacheza mpaka waongee nami, alisema CHADEMA ni waongo na wanafiki, kwanini watufanya mpaka tumekosa urais. Mpaka juzi nilikuwa nawasiliane nae lakini maongezi yake kwa ujumla anasema kwanini wameachwa kugombea Urais, kwa jinsi alivyokuwa anaongea nikajua hata Dokta hawezi kuchomoka.

Slaa alisema Josephine amemfungia Serena, ukweli mimi naufahamu, ishu ipo kwa mkewe, Dr tumeshampoteza.

Gwajima:-


UPDATE
Askofu Gwajima ahoji..."Kama Dr Slaa anaongozwa na kuendeshwa na mke wake kiasi hiki, Je angekua Rais nchi ingeongozwa na mke wake?"

Askofu pia anasema ....."Dr Slaa wa leo sio Dr Slaa wa mwaka mmoja uliopita!"
 
Nakiona kile ambacho kilijitokeza 1995 kwa kakobe ndicho kinachojitokeza,

Ki maadili, mchungaji haruhusiwi kutoa mambo ya familia za watu puplic, ametaja pia swala la liz 1
Sina uhakika kama hayo aliyoyasema ni yake..

Huenda anafanya compan ila hatari yake anapaswa kuwa na akiba ya maneno,

Dr, alisema kama ni kweli.. hakusema wamechukua..
Hakuwataja waisilam hum ndan yy kawataja..

Ninaamin sasa kuwa kwel alitembea na flora, na akamtengenezea kasi..

Ila mwisho wa mambo haya ni octoba 25,

Hamjapewa nchi mnakuwa na jeuri je mkipewa si ndo itakuwa balaa??
 
Basi tena !
Maskini weee!
Na mihogo ndiyo basi tena itakosa mlaji !
Au atakua anaiagiza ?
 
Hii imekuwa pigo kwa waliokuwawanamtumia kwani upinzanini umepata nguvu mara mbili ya ilivyokuwa kwa majibu ya maaskofu na mashekhe..nilisema haya..siasa chafu hazima mwanya now days..
 
mkutano wa gwajima waandishi wameonekana kumshangilia Lowasa na kuamua kumzomea muuliza swali ambaye hakupangwa pale alipombana gwajima! Huyu mtu analitakia nini taifa hili?

Tulia damu ya mwangosi na mzimu wake unanena na waandishi tumeichukia ccm kutuondolea Uhuru was habari
 
Lowasa na fedha zake wanaitumbukuza nchi vitani, inakuwaje waandishi wanaonyesha wazi kumshangilia na kuzomea wenye mtazamo tofauti? Si kawaida waandishi kushangilia upande wa Lowasa kama vile nao ni wakereketwa! Jamani fedha zinaangamiza taifa! Gwajima ameonyesha wazi analipwa na Lowasa eti ooh Lowasa ananisaidia nikimuita anakuja haraka! Wapi?

Ukikereketwa sana na wewe itisha Press Conf uwaambie watanzania.
 
Namashaka na uwezo wa kitengo cha propaganda CCM hivi hamuoni kwamba hiyo mbinu ya kumchafua Lowassa kwa tuhuma za ufisadi na udini hazifanyi kazi?

nawashauri badilisheni mbinu nyingine kama kweli mnataka kubaki madarakani ,

1}Lowassa ni taasisi sio mtu mmoja kama mnavyodhani.

2}Taasisi Iliyojijenga zaidi ya miaka 30, mitandao kila kona ya nchi, huwezi kuchafua kwa tuhuma nyepesi zisizo na ushahidi .

3} Yawapasa kuchunguza kwanini toka mmeanza kumchafua badala ya wafuasi kupungua ndio wanazidi kuongezeka??


Tafakari kwa makini tafuteni mbinu nyingine , huo ni ushauri wa bure kabisa.

___________________________________________________________________________________________
 
Safi sana Gwajima dr mihogo itambidi akae kimyaa maana akiendelea zaidi ataaibika zaidi ya hapo . Nguvu ya mungu ya mabadiliko inafanya kazi hakuna wa kuizuia .
 
Back
Top Bottom